Dataset Viewer
Auto-converted to Parquet Duplicate
question
stringclasses
5 values
answer
stringclasses
5 values
context
stringclasses
5 values
story_id
stringclasses
5 values
Pengo alimhonga nani
mhuni mmoja
Pengo adaiwa nauli na wanafunzi, inabidi akimbilie msaada wa mkewe Ni muda sasa tangu Sindwele afike Sidindi kumtafuta Pengo. 聭Lazima atakuwa ameshaambiwa kuwa nimekuwa nikimtafuta. Mbona yeye hajajaribu kunitafuta?聮 Sindwele alijiuliza na kushangaa iwapo mwenzake huyo naye alikuwa akiugua yale maradhi ya walimu na wa...
3862
Majirani walipomwona mtoto, wote walifanya nini
Walirudi nyuma
锘縈toto Punda Siku moja, msichana mdogo aliona umbo la ajabu kwa umbali. Umbo hilo lilipokaribia, aligundua kwamba lilikuwa mwanamke mja mzito. Kwa ushupavu, msichana huyo alimkaribia yule mwanamke mja mzito. Jamaa zake wakasema, "Hatuna budi kumkaribisha akae nasi. Tutamlinda hadi atakapomzaa mtoto w...
2328
Ni vipi binti Kidawa alipoteza usichana wake
Kwa kupachikwa mimba
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Binti Kidawa alikuwa msichana wa kipekee katika familia ya Bwana na Bibi Hamida. Alikuwa msichana wa mcha mungu sana alimpenda mungu sana kwani alienda kanisani kila siku na maombi yasiyo kwisha. Alikuwa kidato cha nne akisubiria mtihani wake wa kitaifa. Darasani alikuwa namba moja kwa...
3191
Hapo awali ni nini kilisababisha ajali
ulevi na mihadarati
MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA Ajali ni kadhia lenye madhara mengi na hutokea ghafla. Ajali huwa haitokei kisadfa bali hutokea kwa sababu ya binadamu kupuuza mambo fulani. Ajali za barabarani husababishwa na kutofuata alama za barabarani, kutotia sheria za uendeshaji gari ...
0171
Matawi ya Mtende yalitumika kufanya nini
Kuezeka paa za vyumba
锘縈hogo na Mtende Hapo zamani, Mhogo na Mtende waliishi kijijini Koowa. Kama marafiki, walitembeleana kila siku. Walikuwa wakulima waliofanya kazi kwa bidii katika mashamba yao. Katika mwaka mmoja, kulikuwa na ukosefu wa mvua. Mimea yote ilikauka. Watu wakakosa chakula. Mhogo na Mtende waliamua kwenda ...
2308
README.md exists but content is empty.
Downloads last month
13