Story_ID stringlengths 8 8 | context stringlengths 445 11k | question stringlengths 12 113 | answers dict |
|---|---|---|---|
2312_swa | Mke-mwenza mwenye wivu
Hapo kale kulikuwa na wake wenza wawili. Waliishi katika nyumba moja na mume wao.
Kwa muda mrefu hakuna mke aliyejaliwa kupata watoto. Hatimaye, mke wa kwanza alishika mimba. Alipojifungua mtoto, mume wao hakuwa nyumbani.
Mke wa pili aliwaonea wivu mke wa kwanza na mtoto wak... | Kwa muda mrefu, hakuna mke aliyejaliwa kupata nini? | {
"text": [
"Mtoto"
]
} |
2312_swa | Mke-mwenza mwenye wivu
Hapo kale kulikuwa na wake wenza wawili. Waliishi katika nyumba moja na mume wao.
Kwa muda mrefu hakuna mke aliyejaliwa kupata watoto. Hatimaye, mke wa kwanza alishika mimba. Alipojifungua mtoto, mume wao hakuwa nyumbani.
Mke wa pili aliwaonea wivu mke wa kwanza na mtoto wak... | Mke yupi alishika mimba wa kwanza? | {
"text": [
"Wa kwanza"
]
} |
2312_swa | Mke-mwenza mwenye wivu
Hapo kale kulikuwa na wake wenza wawili. Waliishi katika nyumba moja na mume wao.
Kwa muda mrefu hakuna mke aliyejaliwa kupata watoto. Hatimaye, mke wa kwanza alishika mimba. Alipojifungua mtoto, mume wao hakuwa nyumbani.
Mke wa pili aliwaonea wivu mke wa kwanza na mtoto wak... | Nani alikuwa na wivu kwenye familia? | {
"text": [
"Mke wa pili"
]
} |
2312_swa | Mke-mwenza mwenye wivu
Hapo kale kulikuwa na wake wenza wawili. Waliishi katika nyumba moja na mume wao.
Kwa muda mrefu hakuna mke aliyejaliwa kupata watoto. Hatimaye, mke wa kwanza alishika mimba. Alipojifungua mtoto, mume wao hakuwa nyumbani.
Mke wa pili aliwaonea wivu mke wa kwanza na mtoto wak... | Mke wa kwanza alikuwa na afya njema kutokana na nini? | {
"text": [
"Kula chakula kilichopikwa"
]
} |
2312_swa | Mke-mwenza mwenye wivu
Hapo kale kulikuwa na wake wenza wawili. Waliishi katika nyumba moja na mume wao.
Kwa muda mrefu hakuna mke aliyejaliwa kupata watoto. Hatimaye, mke wa kwanza alishika mimba. Alipojifungua mtoto, mume wao hakuwa nyumbani.
Mke wa pili aliwaonea wivu mke wa kwanza na mtoto wak... | Mke wa pili alipanga kumdhuru mke wa kwanza kivipi? | {
"text": [
"Kwa kumpikia chakula alichodhani kitamuua"
]
} |
2315_swa | Mojo na Kobe
Hapo zamani, ndege aliyeitwa Mojo aliishi katika ufalme wa Baro. Kobe alikuwa rafikiye. Mojo alikuwa mjumbe na alisafiri mbali kupeleka jumbe.
Siku moja, Mfalme Simba alimwita Mojo. Mfalme Simba alimtaka apeleke ujumbe wa maana kwa Jamaa yake, Smba Marara, aliyekuwa mfalme kwenye ufalme... | Nani alikuwa mjumbe | {
"text": [
"Mojo"
]
} |
2315_swa | Mojo na Kobe
Hapo zamani, ndege aliyeitwa Mojo aliishi katika ufalme wa Baro. Kobe alikuwa rafikiye. Mojo alikuwa mjumbe na alisafiri mbali kupeleka jumbe.
Siku moja, Mfalme Simba alimwita Mojo. Mfalme Simba alimtaka apeleke ujumbe wa maana kwa Jamaa yake, Smba Marara, aliyekuwa mfalme kwenye ufalme... | Mfalme Simba alitaka Mojo apeleke nini | {
"text": [
"Ujumbe"
]
} |
2315_swa | Mojo na Kobe
Hapo zamani, ndege aliyeitwa Mojo aliishi katika ufalme wa Baro. Kobe alikuwa rafikiye. Mojo alikuwa mjumbe na alisafiri mbali kupeleka jumbe.
Siku moja, Mfalme Simba alimwita Mojo. Mfalme Simba alimtaka apeleke ujumbe wa maana kwa Jamaa yake, Smba Marara, aliyekuwa mfalme kwenye ufalme... | Nani alimshauri Mojo kutopeleka ujumbe | {
"text": [
"Kobe"
]
} |
2315_swa | Mojo na Kobe
Hapo zamani, ndege aliyeitwa Mojo aliishi katika ufalme wa Baro. Kobe alikuwa rafikiye. Mojo alikuwa mjumbe na alisafiri mbali kupeleka jumbe.
Siku moja, Mfalme Simba alimwita Mojo. Mfalme Simba alimtaka apeleke ujumbe wa maana kwa Jamaa yake, Smba Marara, aliyekuwa mfalme kwenye ufalme... | Mojo alienda kwa jamaa yake anaitwa nani | {
"text": [
"Jimbi"
]
} |
2315_swa | Mojo na Kobe
Hapo zamani, ndege aliyeitwa Mojo aliishi katika ufalme wa Baro. Kobe alikuwa rafikiye. Mojo alikuwa mjumbe na alisafiri mbali kupeleka jumbe.
Siku moja, Mfalme Simba alimwita Mojo. Mfalme Simba alimtaka apeleke ujumbe wa maana kwa Jamaa yake, Smba Marara, aliyekuwa mfalme kwenye ufalme... | Kwa nini Mojo alikuwa anapiga kelele | {
"text": [
"Alitaka msaada kwa vile alitekwa nyara na kobe"
]
} |
2315_swa | Mojo na Kobe
Hapo zamani, ndege aliyeitwa Mojo aliishi katika ufalme wa Baro. Kobe alikuwa rafikiye. Mojo alikuwa mjumbe na alisafiri mbali kupeleka jumbe.
Siku moja, Mfalme Simba alimwita Mojo. Mfalme Simba alimtaka apeleke ujumbe wa maana kwa Jamaa yake, Smba Marara, aliyekuwa mfalme kwenye ufalme... | Ndege Mojo aliishi katika ufalme upi? | {
"text": [
"Baro"
]
} |
2315_swa | Mojo na Kobe
Hapo zamani, ndege aliyeitwa Mojo aliishi katika ufalme wa Baro. Kobe alikuwa rafikiye. Mojo alikuwa mjumbe na alisafiri mbali kupeleka jumbe.
Siku moja, Mfalme Simba alimwita Mojo. Mfalme Simba alimtaka apeleke ujumbe wa maana kwa Jamaa yake, Smba Marara, aliyekuwa mfalme kwenye ufalme... | Nani alikuwa mfalme wa Baro? | {
"text": [
"Simba"
]
} |
2315_swa | Mojo na Kobe
Hapo zamani, ndege aliyeitwa Mojo aliishi katika ufalme wa Baro. Kobe alikuwa rafikiye. Mojo alikuwa mjumbe na alisafiri mbali kupeleka jumbe.
Siku moja, Mfalme Simba alimwita Mojo. Mfalme Simba alimtaka apeleke ujumbe wa maana kwa Jamaa yake, Smba Marara, aliyekuwa mfalme kwenye ufalme... | Nani alikuwa rafiki ya ndege Mojo? | {
"text": [
"Kobe"
]
} |
2315_swa | Mojo na Kobe
Hapo zamani, ndege aliyeitwa Mojo aliishi katika ufalme wa Baro. Kobe alikuwa rafikiye. Mojo alikuwa mjumbe na alisafiri mbali kupeleka jumbe.
Siku moja, Mfalme Simba alimwita Mojo. Mfalme Simba alimtaka apeleke ujumbe wa maana kwa Jamaa yake, Smba Marara, aliyekuwa mfalme kwenye ufalme... | Jamaa yake ndege Mojo aliitwa nani? | {
"text": [
"Jimbi"
]
} |
2315_swa | Mojo na Kobe
Hapo zamani, ndege aliyeitwa Mojo aliishi katika ufalme wa Baro. Kobe alikuwa rafikiye. Mojo alikuwa mjumbe na alisafiri mbali kupeleka jumbe.
Siku moja, Mfalme Simba alimwita Mojo. Mfalme Simba alimtaka apeleke ujumbe wa maana kwa Jamaa yake, Smba Marara, aliyekuwa mfalme kwenye ufalme... | Nani alimwokoa ndege Mojo kutoka kwa mtego wa wavu? | {
"text": [
"Jimbi"
]
} |
2320_swa | Msitu wenye nyoka
Kijiji cha Sinyaire kimezungukwa na milima na misitu. Nyoka wengi huishi ndani ya misitu hiyo. Wanakijiji walimwita Unyalego nyoka aliyekuwa mkubwa zaidi. Nyoka huyo aliwameza mbuzi na kondoo wakiwa wazima.
Siku moja, Apiyo, Ajoh na Atieno walienda msituni kutafuta kuni. Bibi aliwaony... | Kijiji kipi kilizungukwa na milima na misitu | {
"text": [
"Sinyaire"
]
} |
2320_swa | Msitu wenye nyoka
Kijiji cha Sinyaire kimezungukwa na milima na misitu. Nyoka wengi huishi ndani ya misitu hiyo. Wanakijiji walimwita Unyalego nyoka aliyekuwa mkubwa zaidi. Nyoka huyo aliwameza mbuzi na kondoo wakiwa wazima.
Siku moja, Apiyo, Ajoh na Atieno walienda msituni kutafuta kuni. Bibi aliwaony... | Wasichana walienda msituni kutafuta nini | {
"text": [
"Kuni"
]
} |
2320_swa | Msitu wenye nyoka
Kijiji cha Sinyaire kimezungukwa na milima na misitu. Nyoka wengi huishi ndani ya misitu hiyo. Wanakijiji walimwita Unyalego nyoka aliyekuwa mkubwa zaidi. Nyoka huyo aliwameza mbuzi na kondoo wakiwa wazima.
Siku moja, Apiyo, Ajoh na Atieno walienda msituni kutafuta kuni. Bibi aliwaony... | Taja mojawapo ya baadhi ya vitu walivyobeba wasichana | {
"text": [
"Upanga"
]
} |
2320_swa | Msitu wenye nyoka
Kijiji cha Sinyaire kimezungukwa na milima na misitu. Nyoka wengi huishi ndani ya misitu hiyo. Wanakijiji walimwita Unyalego nyoka aliyekuwa mkubwa zaidi. Nyoka huyo aliwameza mbuzi na kondoo wakiwa wazima.
Siku moja, Apiyo, Ajoh na Atieno walienda msituni kutafuta kuni. Bibi aliwaony... | Nani aliwakanya wenzake kuzungumza | {
"text": [
"Apiyo"
]
} |
2320_swa | Msitu wenye nyoka
Kijiji cha Sinyaire kimezungukwa na milima na misitu. Nyoka wengi huishi ndani ya misitu hiyo. Wanakijiji walimwita Unyalego nyoka aliyekuwa mkubwa zaidi. Nyoka huyo aliwameza mbuzi na kondoo wakiwa wazima.
Siku moja, Apiyo, Ajoh na Atieno walienda msituni kutafuta kuni. Bibi aliwaony... | Kwa nini Ajoh hamwamini bibi | {
"text": [
"Alidhani bibi alikuwa anawaonea wivu"
]
} |
2320_swa | Msitu wenye nyoka
Kijiji cha Sinyaire kimezungukwa na milima na misitu. Nyoka wengi huishi ndani ya misitu hiyo. Wanakijiji walimwita Unyalego nyoka aliyekuwa mkubwa zaidi. Nyoka huyo aliwameza mbuzi na kondoo wakiwa wazima.
Siku moja, Apiyo, Ajoh na Atieno walienda msituni kutafuta kuni. Bibi aliwaony... | Kijiji cha Sinyaire kimezungukwa na nini? | {
"text": [
"Milima na misitu"
]
} |
2320_swa | Msitu wenye nyoka
Kijiji cha Sinyaire kimezungukwa na milima na misitu. Nyoka wengi huishi ndani ya misitu hiyo. Wanakijiji walimwita Unyalego nyoka aliyekuwa mkubwa zaidi. Nyoka huyo aliwameza mbuzi na kondoo wakiwa wazima.
Siku moja, Apiyo, Ajoh na Atieno walienda msituni kutafuta kuni. Bibi aliwaony... | Nani huishi ndani ya misity hiyo? | {
"text": [
"Nyoka wengi"
]
} |
2320_swa | Msitu wenye nyoka
Kijiji cha Sinyaire kimezungukwa na milima na misitu. Nyoka wengi huishi ndani ya misitu hiyo. Wanakijiji walimwita Unyalego nyoka aliyekuwa mkubwa zaidi. Nyoka huyo aliwameza mbuzi na kondoo wakiwa wazima.
Siku moja, Apiyo, Ajoh na Atieno walienda msituni kutafuta kuni. Bibi aliwaony... | Nani aliwahimiza wengine kuchukuwa meno ya Unyalego ya dhahabu? | {
"text": [
"Atieno"
]
} |
2320_swa | Msitu wenye nyoka
Kijiji cha Sinyaire kimezungukwa na milima na misitu. Nyoka wengi huishi ndani ya misitu hiyo. Wanakijiji walimwita Unyalego nyoka aliyekuwa mkubwa zaidi. Nyoka huyo aliwameza mbuzi na kondoo wakiwa wazima.
Siku moja, Apiyo, Ajoh na Atieno walienda msituni kutafuta kuni. Bibi aliwaony... | Nani alipuuza onyo la bibi la kutochukua kitu chochote kutoka msituni? | {
"text": [
"Ajoh"
]
} |
2320_swa | Msitu wenye nyoka
Kijiji cha Sinyaire kimezungukwa na milima na misitu. Nyoka wengi huishi ndani ya misitu hiyo. Wanakijiji walimwita Unyalego nyoka aliyekuwa mkubwa zaidi. Nyoka huyo aliwameza mbuzi na kondoo wakiwa wazima.
Siku moja, Apiyo, Ajoh na Atieno walienda msituni kutafuta kuni. Bibi aliwaony... | Unyalego aliwalazimisha wasichana kufanya nini ili asiwale? | {
"text": [
"Waimbe wimbo bila kukosea"
]
} |
3056_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni mfumo wa maendeleo mbalimbali wa vifaa vinavyozinduliwa ili kurahisisha mambo tofauti tofauti. Mathlani, teknolojia imetuletea vifaa mbalimbali kama vile simu, tarakilishi na nyinginezo.
Teknolojia imewarahisishia wanafunzi kusoma mitandaoni masomo... | Tekinolojia ni mfumo wa nini | {
"text": [
"Maendeleo"
]
} |
3056_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni mfumo wa maendeleo mbalimbali wa vifaa vinavyozinduliwa ili kurahisisha mambo tofauti tofauti. Mathlani, teknolojia imetuletea vifaa mbalimbali kama vile simu, tarakilishi na nyinginezo.
Teknolojia imewarahisishia wanafunzi kusoma mitandaoni masomo... | Tekinolojia imewasaidia wanafunzi kusoma wapi | {
"text": [
"Mitandaoni"
]
} |
3056_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni mfumo wa maendeleo mbalimbali wa vifaa vinavyozinduliwa ili kurahisisha mambo tofauti tofauti. Mathlani, teknolojia imetuletea vifaa mbalimbali kama vile simu, tarakilishi na nyinginezo.
Teknolojia imewarahisishia wanafunzi kusoma mitandaoni masomo... | Ni nani wamepata changamoto za mimba za mapema | {
"text": [
"Wanafunzi"
]
} |
3056_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni mfumo wa maendeleo mbalimbali wa vifaa vinavyozinduliwa ili kurahisisha mambo tofauti tofauti. Mathlani, teknolojia imetuletea vifaa mbalimbali kama vile simu, tarakilishi na nyinginezo.
Teknolojia imewarahisishia wanafunzi kusoma mitandaoni masomo... | Ni nini imekithiri kwa kutumia njia za mkato | {
"text": [
"wizi"
]
} |
3056_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni mfumo wa maendeleo mbalimbali wa vifaa vinavyozinduliwa ili kurahisisha mambo tofauti tofauti. Mathlani, teknolojia imetuletea vifaa mbalimbali kama vile simu, tarakilishi na nyinginezo.
Teknolojia imewarahisishia wanafunzi kusoma mitandaoni masomo... | Tekinolojia huchangia vipi kwa matokeo duni ya mitihani | {
"text": [
"Kwa matumizi mabaya ya tekinolojia"
]
} |
3056_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni mfumo wa maendeleo mbalimbali wa vifaa vinavyozinduliwa ili kurahisisha mambo tofauti tofauti. Mathlani, teknolojia imetuletea vifaa mbalimbali kama vile simu, tarakilishi na nyinginezo.
Teknolojia imewarahisishia wanafunzi kusoma mitandaoni masomo... | Tekinolojia husaidia katika kufanya nini | {
"text": [
"utafiti"
]
} |
3056_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni mfumo wa maendeleo mbalimbali wa vifaa vinavyozinduliwa ili kurahisisha mambo tofauti tofauti. Mathlani, teknolojia imetuletea vifaa mbalimbali kama vile simu, tarakilishi na nyinginezo.
Teknolojia imewarahisishia wanafunzi kusoma mitandaoni masomo... | Wanafunzi wanatumia nini kufanya hisabati | {
"text": [
"Kikokotoo"
]
} |
3056_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni mfumo wa maendeleo mbalimbali wa vifaa vinavyozinduliwa ili kurahisisha mambo tofauti tofauti. Mathlani, teknolojia imetuletea vifaa mbalimbali kama vile simu, tarakilishi na nyinginezo.
Teknolojia imewarahisishia wanafunzi kusoma mitandaoni masomo... | Data inahifadhiwa ofisini kwa kutumia nini | {
"text": [
"Kompyuta"
]
} |
3056_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni mfumo wa maendeleo mbalimbali wa vifaa vinavyozinduliwa ili kurahisisha mambo tofauti tofauti. Mathlani, teknolojia imetuletea vifaa mbalimbali kama vile simu, tarakilishi na nyinginezo.
Teknolojia imewarahisishia wanafunzi kusoma mitandaoni masomo... | Ni nini inatumiwa kuonyesha picha iwapo wanafunzi ni wengi | {
"text": [
"Projekta"
]
} |
3056_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni mfumo wa maendeleo mbalimbali wa vifaa vinavyozinduliwa ili kurahisisha mambo tofauti tofauti. Mathlani, teknolojia imetuletea vifaa mbalimbali kama vile simu, tarakilishi na nyinginezo.
Teknolojia imewarahisishia wanafunzi kusoma mitandaoni masomo... | Udororaji wa nidhamu umechangiwa vipi na tekinolojia | {
"text": [
"Wanatumia rununu na kompyuta kuangalia video za uchi"
]
} |
3084_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni taaluma iliyoletwa na wanasayansi ili kuleta maendeleo au kurahisisha kazi nchini Kenya au duniani. Taaluma hii imeweza kuibua uvumbuzi wa vyombo kama vile televisheni, tarakilishi, redio, rununu na vingine vingi. Vyombo hivi vina faida zake na pia... | Teknolojia huharakisha nini | {
"text": [
"kazi"
]
} |
3084_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni taaluma iliyoletwa na wanasayansi ili kuleta maendeleo au kurahisisha kazi nchini Kenya au duniani. Taaluma hii imeweza kuibua uvumbuzi wa vyombo kama vile televisheni, tarakilishi, redio, rununu na vingine vingi. Vyombo hivi vina faida zake na pia... | Nini huonyesha mambo yanayotendeka | {
"text": [
"televisheni"
]
} |
3084_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni taaluma iliyoletwa na wanasayansi ili kuleta maendeleo au kurahisisha kazi nchini Kenya au duniani. Taaluma hii imeweza kuibua uvumbuzi wa vyombo kama vile televisheni, tarakilishi, redio, rununu na vingine vingi. Vyombo hivi vina faida zake na pia... | Walimu hutumia karatasi ngapi kwa darasa moja | {
"text": [
"sitini na sita"
]
} |
3084_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni taaluma iliyoletwa na wanasayansi ili kuleta maendeleo au kurahisisha kazi nchini Kenya au duniani. Taaluma hii imeweza kuibua uvumbuzi wa vyombo kama vile televisheni, tarakilishi, redio, rununu na vingine vingi. Vyombo hivi vina faida zake na pia... | Nani hutumia mwalimu pesa kwa kutumia rununu | {
"text": [
"mwalimu"
]
} |
3084_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni taaluma iliyoletwa na wanasayansi ili kuleta maendeleo au kurahisisha kazi nchini Kenya au duniani. Taaluma hii imeweza kuibua uvumbuzi wa vyombo kama vile televisheni, tarakilishi, redio, rununu na vingine vingi. Vyombo hivi vina faida zake na pia... | Mbona wanafunzi husinzia darasani | {
"text": [
"kwa kuzungumza na marafiki zao karibia usiku mzima"
]
} |
3084_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni taaluma iliyoletwa na wanasayansi ili kuleta maendeleo au kurahisisha kazi nchini Kenya au duniani. Taaluma hii imeweza kuibua uvumbuzi wa vyombo kama vile televisheni, tarakilishi, redio, rununu na vingine vingi. Vyombo hivi vina faida zake na pia... | Teknolojia imeleta nini kwa watoto | {
"text": [
"madhara"
]
} |
3084_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni taaluma iliyoletwa na wanasayansi ili kuleta maendeleo au kurahisisha kazi nchini Kenya au duniani. Taaluma hii imeweza kuibua uvumbuzi wa vyombo kama vile televisheni, tarakilishi, redio, rununu na vingine vingi. Vyombo hivi vina faida zake na pia... | Kina nani wamesahau masomo | {
"text": [
"wanafunzi"
]
} |
3084_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni taaluma iliyoletwa na wanasayansi ili kuleta maendeleo au kurahisisha kazi nchini Kenya au duniani. Taaluma hii imeweza kuibua uvumbuzi wa vyombo kama vile televisheni, tarakilishi, redio, rununu na vingine vingi. Vyombo hivi vina faida zake na pia... | Mwanafunzi hana muda wa kudurusu mabuku wapi | {
"text": [
"nyumbani"
]
} |
3084_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni taaluma iliyoletwa na wanasayansi ili kuleta maendeleo au kurahisisha kazi nchini Kenya au duniani. Taaluma hii imeweza kuibua uvumbuzi wa vyombo kama vile televisheni, tarakilishi, redio, rununu na vingine vingi. Vyombo hivi vina faida zake na pia... | Teknolojia imeleta uvumbuzi wa nini | {
"text": [
"vifaa vya utabiri wa hali ya anga"
]
} |
3084_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni taaluma iliyoletwa na wanasayansi ili kuleta maendeleo au kurahisisha kazi nchini Kenya au duniani. Taaluma hii imeweza kuibua uvumbuzi wa vyombo kama vile televisheni, tarakilishi, redio, rununu na vingine vingi. Vyombo hivi vina faida zake na pia... | Kamera za CCTV zinapunguza tabia mbaya vipi | {
"text": [
"mtu anapoiba huonekana "
]
} |
3194_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA UPILI
Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake hutumia mitambo, vyombo vya zana, katika viwanda, kilimo, ufundi au njia za mawasiliano. Teknolojia ni mfumo uliochangia pakubwa
katika maendeleo ya kijamii. Hivi kwamba teknolojia imeleta maendeleo sana makubwa kati... | Tekinolojia ni maarifa ya nini | {
"text": [
"sayansi"
]
} |
3194_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA UPILI
Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake hutumia mitambo, vyombo vya zana, katika viwanda, kilimo, ufundi au njia za mawasiliano. Teknolojia ni mfumo uliochangia pakubwa
katika maendeleo ya kijamii. Hivi kwamba teknolojia imeleta maendeleo sana makubwa kati... | Walimu wanatumia nini katika kurekodi data | {
"text": [
"Tarakilishi"
]
} |
3194_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA UPILI
Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake hutumia mitambo, vyombo vya zana, katika viwanda, kilimo, ufundi au njia za mawasiliano. Teknolojia ni mfumo uliochangia pakubwa
katika maendeleo ya kijamii. Hivi kwamba teknolojia imeleta maendeleo sana makubwa kati... | Utandawazi hutumiwa kufanyia nini | {
"text": [
"Utafiti"
]
} |
3194_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA UPILI
Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake hutumia mitambo, vyombo vya zana, katika viwanda, kilimo, ufundi au njia za mawasiliano. Teknolojia ni mfumo uliochangia pakubwa
katika maendeleo ya kijamii. Hivi kwamba teknolojia imeleta maendeleo sana makubwa kati... | Walimu hutumia nini kufundisha wanafunzi wakati wa likizo ndefu | {
"text": [
"Rununu"
]
} |
3194_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA UPILI
Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake hutumia mitambo, vyombo vya zana, katika viwanda, kilimo, ufundi au njia za mawasiliano. Teknolojia ni mfumo uliochangia pakubwa
katika maendeleo ya kijamii. Hivi kwamba teknolojia imeleta maendeleo sana makubwa kati... | Kwa nini tekinolojia haifai kwa wanafunzi | {
"text": [
"Wanatazama video zinazowadhiri kimawazo"
]
} |
3194_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA UPILI
Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake hutumia mitambo, vyombo vya zana, katika viwanda, kilimo, ufundi au njia za mawasiliano. Teknolojia ni mfumo uliochangia pakubwa
katika maendeleo ya kijamii. Hivi kwamba teknolojia imeleta maendeleo sana makubwa kati... | Tekinolojia ni maaarifa ya nini | {
"text": [
"Sayansi"
]
} |
3194_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA UPILI
Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake hutumia mitambo, vyombo vya zana, katika viwanda, kilimo, ufundi au njia za mawasiliano. Teknolojia ni mfumo uliochangia pakubwa
katika maendeleo ya kijamii. Hivi kwamba teknolojia imeleta maendeleo sana makubwa kati... | Wlimu wanatumia nini kuhifadhi na kurekodi data | {
"text": [
"Tarakilishi"
]
} |
3194_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA UPILI
Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake hutumia mitambo, vyombo vya zana, katika viwanda, kilimo, ufundi au njia za mawasiliano. Teknolojia ni mfumo uliochangia pakubwa
katika maendeleo ya kijamii. Hivi kwamba teknolojia imeleta maendeleo sana makubwa kati... | Wanafunzi wanatumiwa kazi ya ziada kwa kutumia nini | {
"text": [
"Rununu"
]
} |
3194_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA UPILI
Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake hutumia mitambo, vyombo vya zana, katika viwanda, kilimo, ufundi au njia za mawasiliano. Teknolojia ni mfumo uliochangia pakubwa
katika maendeleo ya kijamii. Hivi kwamba teknolojia imeleta maendeleo sana makubwa kati... | Video mbaya huathiri wanafunzi vipi | {
"text": [
"Kimawazo"
]
} |
3194_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA UPILI
Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake hutumia mitambo, vyombo vya zana, katika viwanda, kilimo, ufundi au njia za mawasiliano. Teknolojia ni mfumo uliochangia pakubwa
katika maendeleo ya kijamii. Hivi kwamba teknolojia imeleta maendeleo sana makubwa kati... | Kwa nini si vyema kwa mwanafunzi kutumia tekinolojia | {
"text": [
"Tekinolojia humpoteza mwanafunzi anapojisomea"
]
} |
3209_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitu. Teknolojia ina faida nyingi na pia ina madhara yake. Faida za teknolojia katika shule za Sekondari ni kama, wepesi wa elimu, Hii inajitokeza sana kuna elimu ya kisasa. Ambapo elimu merahisishwa kwa kutum... | Tekinolojia inayowekwa katika matumizi ya nini | {
"text": [
"Vitu"
]
} |
3209_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitu. Teknolojia ina faida nyingi na pia ina madhara yake. Faida za teknolojia katika shule za Sekondari ni kama, wepesi wa elimu, Hii inajitokeza sana kuna elimu ya kisasa. Ambapo elimu merahisishwa kwa kutum... | Ni nini inasaidia wanafunzi kufanya hesabu | {
"text": [
"vikokoto"
]
} |
3209_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitu. Teknolojia ina faida nyingi na pia ina madhara yake. Faida za teknolojia katika shule za Sekondari ni kama, wepesi wa elimu, Hii inajitokeza sana kuna elimu ya kisasa. Ambapo elimu merahisishwa kwa kutum... | Ni nini husaidia kupata habari za nchi yao | {
"text": [
"Runinga"
]
} |
3209_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitu. Teknolojia ina faida nyingi na pia ina madhara yake. Faida za teknolojia katika shule za Sekondari ni kama, wepesi wa elimu, Hii inajitokeza sana kuna elimu ya kisasa. Ambapo elimu merahisishwa kwa kutum... | Ni nini ilisaidia wakat wa korona | {
"text": [
"Simu"
]
} |
3209_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitu. Teknolojia ina faida nyingi na pia ina madhara yake. Faida za teknolojia katika shule za Sekondari ni kama, wepesi wa elimu, Hii inajitokeza sana kuna elimu ya kisasa. Ambapo elimu merahisishwa kwa kutum... | Kwa nini wanafunzi wanakuwa wavivu wakifanya hesabu | {
"text": [
"Kwa kutumia kikokotoo"
]
} |
3209_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitu. Teknolojia ina faida nyingi na pia ina madhara yake. Faida za teknolojia katika shule za Sekondari ni kama, wepesi wa elimu, Hii inajitokeza sana kuna elimu ya kisasa. Ambapo elimu merahisishwa kwa kutum... | Ni maariga gani yaliyowekwa kwa matumizi ya vitu | {
"text": [
"Tekinolojia"
]
} |
3209_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitu. Teknolojia ina faida nyingi na pia ina madhara yake. Faida za teknolojia katika shule za Sekondari ni kama, wepesi wa elimu, Hii inajitokeza sana kuna elimu ya kisasa. Ambapo elimu merahisishwa kwa kutum... | Ni nini inawezesha wanafunzi kusoma kwa urahisi | {
"text": [
"Vikokotoo"
]
} |
3209_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitu. Teknolojia ina faida nyingi na pia ina madhara yake. Faida za teknolojia katika shule za Sekondari ni kama, wepesi wa elimu, Hii inajitokeza sana kuna elimu ya kisasa. Ambapo elimu merahisishwa kwa kutum... | Wanafunzi wanatumia nini kusoma masomo tofautitofauti | {
"text": [
"Kompyuta"
]
} |
3209_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitu. Teknolojia ina faida nyingi na pia ina madhara yake. Faida za teknolojia katika shule za Sekondari ni kama, wepesi wa elimu, Hii inajitokeza sana kuna elimu ya kisasa. Ambapo elimu merahisishwa kwa kutum... | Wanafunzi wanatumia nini kutazama video chafu | {
"text": [
"Simu"
]
} |
3209_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia ni maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitu. Teknolojia ina faida nyingi na pia ina madhara yake. Faida za teknolojia katika shule za Sekondari ni kama, wepesi wa elimu, Hii inajitokeza sana kuna elimu ya kisasa. Ambapo elimu merahisishwa kwa kutum... | Ni vipi wanafunzi wanakuwa wavivu kwa hisabati | {
"text": [
"Wanatumia kikokotoo kufanya hesabu badala ya kufikiria"
]
} |
3211_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknologia ni mfumo mpya ulioibuka baada ya mambo ya kale katika shule za sekondari,
teknologia imesaidia sana kuendesha masomo kwa haraka. Kwa mfano, utumiaji wa tarakilishi
shuleni. Tarakilishi imefanya walimu kuitumia ilik kunog Fanya manafunzi waweze kuelew... | Ni nini inasaidia kujua kinachoaendelea nchini yetu | {
"text": [
"Runinga"
]
} |
3211_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknologia ni mfumo mpya ulioibuka baada ya mambo ya kale katika shule za sekondari,
teknologia imesaidia sana kuendesha masomo kwa haraka. Kwa mfano, utumiaji wa tarakilishi
shuleni. Tarakilishi imefanya walimu kuitumia ilik kunog Fanya manafunzi waweze kuelew... | Ni nini imefanya kazi kuwa rahisi | {
"text": [
"Tarakilishi"
]
} |
3211_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknologia ni mfumo mpya ulioibuka baada ya mambo ya kale katika shule za sekondari,
teknologia imesaidia sana kuendesha masomo kwa haraka. Kwa mfano, utumiaji wa tarakilishi
shuleni. Tarakilishi imefanya walimu kuitumia ilik kunog Fanya manafunzi waweze kuelew... | Ni nini husaidia mawasiliano baina ya walimu na wanafunzi | {
"text": [
"Simu"
]
} |
3211_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknologia ni mfumo mpya ulioibuka baada ya mambo ya kale katika shule za sekondari,
teknologia imesaidia sana kuendesha masomo kwa haraka. Kwa mfano, utumiaji wa tarakilishi
shuleni. Tarakilishi imefanya walimu kuitumia ilik kunog Fanya manafunzi waweze kuelew... | Usagaji unaletwa na nini | {
"text": [
"Kutazama video za ngono"
]
} |
3211_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknologia ni mfumo mpya ulioibuka baada ya mambo ya kale katika shule za sekondari,
teknologia imesaidia sana kuendesha masomo kwa haraka. Kwa mfano, utumiaji wa tarakilishi
shuleni. Tarakilishi imefanya walimu kuitumia ilik kunog Fanya manafunzi waweze kuelew... | Ubakaji shuleni unaletwa na nini | {
"text": [
"Pigia watu wasiostahili simu"
]
} |
3211_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknologia ni mfumo mpya ulioibuka baada ya mambo ya kale katika shule za sekondari,
teknologia imesaidia sana kuendesha masomo kwa haraka. Kwa mfano, utumiaji wa tarakilishi
shuleni. Tarakilishi imefanya walimu kuitumia ilik kunog Fanya manafunzi waweze kuelew... | Ni nini inasaidia kwendesha masomo kwa haraka | {
"text": [
"Tekinolojia"
]
} |
3211_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknologia ni mfumo mpya ulioibuka baada ya mambo ya kale katika shule za sekondari,
teknologia imesaidia sana kuendesha masomo kwa haraka. Kwa mfano, utumiaji wa tarakilishi
shuleni. Tarakilishi imefanya walimu kuitumia ilik kunog Fanya manafunzi waweze kuelew... | Nini husaidia wanafunzi kujua kinachoendelea katika nchi yetu | {
"text": [
"Runinga"
]
} |
3211_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknologia ni mfumo mpya ulioibuka baada ya mambo ya kale katika shule za sekondari,
teknologia imesaidia sana kuendesha masomo kwa haraka. Kwa mfano, utumiaji wa tarakilishi
shuleni. Tarakilishi imefanya walimu kuitumia ilik kunog Fanya manafunzi waweze kuelew... | Mawasiliano baina ya mwalimu na mzazi yanatumia nini | {
"text": [
"Simu"
]
} |
3211_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknologia ni mfumo mpya ulioibuka baada ya mambo ya kale katika shule za sekondari,
teknologia imesaidia sana kuendesha masomo kwa haraka. Kwa mfano, utumiaji wa tarakilishi
shuleni. Tarakilishi imefanya walimu kuitumia ilik kunog Fanya manafunzi waweze kuelew... | Wanafunzi wanaenda katika chumba cha tarakilishi na kukosa kufuata nini | {
"text": [
"Maagizo"
]
} |
3211_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknologia ni mfumo mpya ulioibuka baada ya mambo ya kale katika shule za sekondari,
teknologia imesaidia sana kuendesha masomo kwa haraka. Kwa mfano, utumiaji wa tarakilishi
shuleni. Tarakilishi imefanya walimu kuitumia ilik kunog Fanya manafunzi waweze kuelew... | Kwa nini shule huweza kuchomeka | {
"text": [
"Kwa vile wanfunzi hawafuati maagizo"
]
} |
3215_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia in mfumo mpya uloibuka baada ya vyombo vya kale vya mawasiliano kutoweka. Teknolojía imeimarisha maisha ya watu wengi hapa nchini. Tukizungumzia vyombo vya mawasiliano, vya usafiri hasa na hospitali. Tukiangazia vyombo vya mawasiliano huwa na faida ya... | Ni nini husaidia katika mawasiliano | {
"text": [
"Rununu"
]
} |
3215_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia in mfumo mpya uloibuka baada ya vyombo vya kale vya mawasiliano kutoweka. Teknolojía imeimarisha maisha ya watu wengi hapa nchini. Tukizungumzia vyombo vya mawasiliano, vya usafiri hasa na hospitali. Tukiangazia vyombo vya mawasiliano huwa na faida ya... | Mitandao hutumiwa kuwaibia watu nini | {
"text": [
"Raslimali"
]
} |
3215_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia in mfumo mpya uloibuka baada ya vyombo vya kale vya mawasiliano kutoweka. Teknolojía imeimarisha maisha ya watu wengi hapa nchini. Tukizungumzia vyombo vya mawasiliano, vya usafiri hasa na hospitali. Tukiangazia vyombo vya mawasiliano huwa na faida ya... | Ni nini hupotosha maadili | {
"text": [
"Tekinolojia"
]
} |
3215_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia in mfumo mpya uloibuka baada ya vyombo vya kale vya mawasiliano kutoweka. Teknolojía imeimarisha maisha ya watu wengi hapa nchini. Tukizungumzia vyombo vya mawasiliano, vya usafiri hasa na hospitali. Tukiangazia vyombo vya mawasiliano huwa na faida ya... | Tekinolojia katika usafiri una madhara gani | {
"text": [
"Husababisha ajali"
]
} |
3215_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia in mfumo mpya uloibuka baada ya vyombo vya kale vya mawasiliano kutoweka. Teknolojía imeimarisha maisha ya watu wengi hapa nchini. Tukizungumzia vyombo vya mawasiliano, vya usafiri hasa na hospitali. Tukiangazia vyombo vya mawasiliano huwa na faida ya... | Ni vipi tekinolojia ni muhimu katika utengenezaji wa vyakula | {
"text": [
"Kwa kutengeza soda na vyakula tofauti"
]
} |
3215_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia in mfumo mpya uloibuka baada ya vyombo vya kale vya mawasiliano kutoweka. Teknolojía imeimarisha maisha ya watu wengi hapa nchini. Tukizungumzia vyombo vya mawasiliano, vya usafiri hasa na hospitali. Tukiangazia vyombo vya mawasiliano huwa na faida ya... | Ni nini imeimarisha maisha | {
"text": [
"Tekinolojia"
]
} |
3215_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia in mfumo mpya uloibuka baada ya vyombo vya kale vya mawasiliano kutoweka. Teknolojía imeimarisha maisha ya watu wengi hapa nchini. Tukizungumzia vyombo vya mawasiliano, vya usafiri hasa na hospitali. Tukiangazia vyombo vya mawasiliano huwa na faida ya... | Wanafunzi wanapotoka nini | {
"text": [
"Maadili"
]
} |
3215_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia in mfumo mpya uloibuka baada ya vyombo vya kale vya mawasiliano kutoweka. Teknolojía imeimarisha maisha ya watu wengi hapa nchini. Tukizungumzia vyombo vya mawasiliano, vya usafiri hasa na hospitali. Tukiangazia vyombo vya mawasiliano huwa na faida ya... | Tekinolojia katika zahanati imeimarisha nini | {
"text": [
"Matibabu"
]
} |
3215_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia in mfumo mpya uloibuka baada ya vyombo vya kale vya mawasiliano kutoweka. Teknolojía imeimarisha maisha ya watu wengi hapa nchini. Tukizungumzia vyombo vya mawasiliano, vya usafiri hasa na hospitali. Tukiangazia vyombo vya mawasiliano huwa na faida ya... | Ajali hewani nna majini huleta nini | {
"text": [
"Maangamizi"
]
} |
3215_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Teknolojia in mfumo mpya uloibuka baada ya vyombo vya kale vya mawasiliano kutoweka. Teknolojía imeimarisha maisha ya watu wengi hapa nchini. Tukizungumzia vyombo vya mawasiliano, vya usafiri hasa na hospitali. Tukiangazia vyombo vya mawasiliano huwa na faida ya... | Kwa nini tekinolojia husababisha madhara kwa chakula | {
"text": [
"Kwa vile chakula hutengenezwa kwa kemikali"
]
} |
3224_swa | ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU
Methali hii inamaanisha kuwa siku zote usiposikia wasia wa wakubwa wako mabaya yatakukumba. Methali hii inatumika kukanya watu dhidhi ya kutosikia mawaidha, wasikuje kujuta baadae maishani.
Katika kitongoji cha Bima, palishi mwanamwali mmoja aliyeitwa Kipusa. Ama kweli Kipusa alifana... | Ni nini jina la Kitongoji | {
"text": [
"Bima"
]
} |
3224_swa | ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU
Methali hii inamaanisha kuwa siku zote usiposikia wasia wa wakubwa wako mabaya yatakukumba. Methali hii inatumika kukanya watu dhidhi ya kutosikia mawaidha, wasikuje kujuta baadae maishani.
Katika kitongoji cha Bima, palishi mwanamwali mmoja aliyeitwa Kipusa. Ama kweli Kipusa alifana... | Kitongoji cha Bima paliishi mwanamwali anaitwa nani | {
"text": [
"Kipusa"
]
} |
3224_swa | ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU
Methali hii inamaanisha kuwa siku zote usiposikia wasia wa wakubwa wako mabaya yatakukumba. Methali hii inatumika kukanya watu dhidhi ya kutosikia mawaidha, wasikuje kujuta baadae maishani.
Katika kitongoji cha Bima, palishi mwanamwali mmoja aliyeitwa Kipusa. Ama kweli Kipusa alifana... | Kipusa alikuwa na tabia ya kupenda nani | {
"text": [
"Wanaume"

Katika kitongoji cha Bima, palishi mwanamwali mmoja aliyeitwa Kipusa. Ama kweli Kipusa alifana... | Kipusa alikata kamba baada ya muda upi | {
"text": [
"Mwezi mmoja"
]
} |
3224_swa | ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU
Methali hii inamaanisha kuwa siku zote usiposikia wasia wa wakubwa wako mabaya yatakukumba. Methali hii inatumika kukanya watu dhidhi ya kutosikia mawaidha, wasikuje kujuta baadae maishani.
Katika kitongoji cha Bima, palishi mwanamwali mmoja aliyeitwa Kipusa. Ama kweli Kipusa alifana... | Kipusa angefanya nini kuepuka kifo | {
"text": [
"Angejisitiri na kuwaheshimu waume za watu"
]
} |
3224_swa | ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU
Methali hii inamaanisha kuwa siku zote usiposikia wasia wa wakubwa wako mabaya yatakukumba. Methali hii inatumika kukanya watu dhidhi ya kutosikia mawaidha, wasikuje kujuta baadae maishani.
Katika kitongoji cha Bima, palishi mwanamwali mmoja aliyeitwa Kipusa. Ama kweli Kipusa alifana... | Katika kijiji cha Bima paliishi mwanamwali alijulikana kama nani | {
"text": [
"Kipusa"
]
} |
3224_swa | ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU
Methali hii inamaanisha kuwa siku zote usiposikia wasia wa wakubwa wako mabaya yatakukumba. Methali hii inatumika kukanya watu dhidhi ya kutosikia mawaidha, wasikuje kujuta baadae maishani.
Katika kitongoji cha Bima, palishi mwanamwali mmoja aliyeitwa Kipusa. Ama kweli Kipusa alifana... | Watu walimsifia Kipusa kwa sababu gani | {
"text": [
"Uzuri"
]
} |
3224_swa | ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU
Methali hii inamaanisha kuwa siku zote usiposikia wasia wa wakubwa wako mabaya yatakukumba. Methali hii inatumika kukanya watu dhidhi ya kutosikia mawaidha, wasikuje kujuta baadae maishani.
Katika kitongoji cha Bima, palishi mwanamwali mmoja aliyeitwa Kipusa. Ama kweli Kipusa alifana... | Kipusa alikuwa na tabia ya kupenda nani | {
"text": [
"Wanaume"
]
} |
3224_swa | ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU
Methali hii inamaanisha kuwa siku zote usiposikia wasia wa wakubwa wako mabaya yatakukumba. Methali hii inatumika kukanya watu dhidhi ya kutosikia mawaidha, wasikuje kujuta baadae maishani.
Katika kitongoji cha Bima, palishi mwanamwali mmoja aliyeitwa Kipusa. Ama kweli Kipusa alifana... | Baada ya miezi ngapi Kipusa alikata kamba | {
"text": [
"Moja"
]
} |
3224_swa | ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU
Methali hii inamaanisha kuwa siku zote usiposikia wasia wa wakubwa wako mabaya yatakukumba. Methali hii inatumika kukanya watu dhidhi ya kutosikia mawaidha, wasikuje kujuta baadae maishani.
Katika kitongoji cha Bima, palishi mwanamwali mmoja aliyeitwa Kipusa. Ama kweli Kipusa alifana... | Kwa nini ngono za ovyo ni hatari | {
"text": [
"Huleta mimba na maradhi"
]
} |
3233_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Imebainika kwamba uvumbuzi wa teknolojia katika shule za sekondari umeleta madhara mengi kwa wanafunzi. Vilevile uvumbuzi huu wa teknologia una faida kwa wanafunzi wa shule za sekondari.
Tukiangazia hasa uvumbuzi wa tarakilishi katika shule za sekondari, tunaon... | Wanafunzi wanasoma kwa kutumia nini | {
"text": [
"Tarakilishi"
]
} |
3233_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Imebainika kwamba uvumbuzi wa teknolojia katika shule za sekondari umeleta madhara mengi kwa wanafunzi. Vilevile uvumbuzi huu wa teknologia una faida kwa wanafunzi wa shule za sekondari.
Tukiangazia hasa uvumbuzi wa tarakilishi katika shule za sekondari, tunaon... | Tekinolojia imewafanya wanafunzi kuwa nini | {
"text": [
"Wajinga"
]
} |
3233_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Imebainika kwamba uvumbuzi wa teknolojia katika shule za sekondari umeleta madhara mengi kwa wanafunzi. Vilevile uvumbuzi huu wa teknologia una faida kwa wanafunzi wa shule za sekondari.
Tukiangazia hasa uvumbuzi wa tarakilishi katika shule za sekondari, tunaon... | Wanafunzi wanatumia muda wao mwingi kusoma nini | {
"text": [
"Tarakilishi"
]
} |
3233_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Imebainika kwamba uvumbuzi wa teknolojia katika shule za sekondari umeleta madhara mengi kwa wanafunzi. Vilevile uvumbuzi huu wa teknologia una faida kwa wanafunzi wa shule za sekondari.
Tukiangazia hasa uvumbuzi wa tarakilishi katika shule za sekondari, tunaon... | Mwanafunzi anatumia nini kufanya hesabu | {
"text": [
"Kikokotoo"
]
} |
3233_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Imebainika kwamba uvumbuzi wa teknolojia katika shule za sekondari umeleta madhara mengi kwa wanafunzi. Vilevile uvumbuzi huu wa teknologia una faida kwa wanafunzi wa shule za sekondari.
Tukiangazia hasa uvumbuzi wa tarakilishi katika shule za sekondari, tunaon... | Tekinolojia inafanya wanafunzi wavivu kivipi | {
"text": [
"Wanakosa kufikiria mambo madogo"
]
} |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.