input stringlengths 5 25.1k ⌀ | label stringclasses 6
values | instructions-text stringlengths 279 25.4k |
|---|---|---|
TANZANIA imefanya maboresho makubwa na kutengeneza mazingira rahisi ya uwekezaji kwa ajili ya mtu yeyote kuwekeza nchini bila usumbufu. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameliambia Bunge jana kwamba miongoni mwa mazingira hayo ni pamoja kuweka mfumo wa kielektroniki, unaowezesha wawekezaji kuomba leseni, ardhi na ithibati ... | KITAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
TANZANIA imefanya maboresho makubwa na kutengeneza mazingira rahisi ya u... |
NA AMON MTEGA-SONGEA JESHI la Polisi mkoani Ruvuma linamshikilia Patrick Malindisa (29) mkazi wa Mtaa wa Namanyigu Manispaa ya Songea kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi Athanasi Malindisa (70) kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani na kidevuni na kisha kutaka kuufukia kwenye shimo alilochimba ndani ya nyumba y... | KITAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
NA AMON MTEGA-SONGEA JESHI la Polisi mkoani Ruvuma linamshikilia Patrick ... |
JANETH MUSHI-ARUSHA KIGOGO anayefanya kazi katika Taasisi ya kusimamia na
kudhibiti Viuatilifu Tanzania(TPRI),Aristerico Silayo, anayedaiwa kumbaka mtoto
wake amekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa baada ya Mahakama ya Hakimu
Mkazi Arusha kuamuru shauri lililokuwa likimkabili lianze upya. Mahakama hiyo jana ilipanga... | KITAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
JANETH MUSHI-ARUSHA KIGOGO anayefanya kazi katika Taasisi ya kusimamia na... |
DORTMUND, UJERUMANI SHABIKI wa klabu ya Borussia Dortmund, amefariki dunia juzi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mainz 05, kwenye Uwanja wa Signal Park. Katika mchezo huo, Dortmund ilifanikiwa kushinda mabao 2-0 ambayo yalifungwa na Marco Reus pamoja na mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester United, Shinji ... | MICHEZO | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
DORTMUND, UJERUMANI SHABIKI wa klabu ya Borussia Dortmund, amefariki duni... |
LONDON, ENGLAND NYOTA wa zamani ambaye aliwika katika klabu ya Liverpool na Tottenham, Jamie Redknapp, amedai bao la mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud, bado halijafikia kuingia katika mabao 20 bora yaliyowahi kufungwa kwenye soka. Giroud amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii wiki hii baada ya kufunga bao mwi... | MICHEZO | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
LONDON, ENGLAND NYOTA wa zamani ambaye aliwika katika klabu ya Liverpoo... |
NA JESSCA NANGAWE WAKATI kipa wa Simba, Said Mohammed Nduda akitarajiwa kuondoka wiki ijayo kuelekea India kwa matibabu, beki wa timu hiyo, Shomary Kapombe, atarejea uwanjani kuanza mazoezi mepesi. Kapombe na Nduda ameendelea kukosa mechi za awali za Ligi Luu kutokana na kuwa majeruhi tangu kuanza kwa msimu mpya wa Li... | MICHEZO | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
NA JESSCA NANGAWE WAKATI kipa wa Simba, Said Mohammed Nduda akitarajiwa ... |
Na IBRAHIM YASSIN-NKASI
MATUMAINI ya kupata mavuno mengi ya mahindi katika Wilaya ya Nkasi, mkoani Rukwa, yameanza kupotea baada ya wadudu waharibifu wa mazao aina ya viwavi jeshi kuvamia mashamba ya wakulima na kuyaharibu vibaya.
Wadudu hao wamekuwa wakiharibu zaidi mazao ya mahindi kwa kula majani, kitoto ... | KITAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
Na IBRAHIM YASSIN-NKASI
MATUMAINI ya kupata mavuno mengi ya mahin... |
Timu ya JKT Tanzania imefanikiwa kuwazuia Mabingwa watetezi wa Simba kuendelea kutamba baada ya kuipachika goli moja kwa bila. Dakika ya 27 ya Mchezo huo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara JKT walifanikiwa kupata goli baada ya Adam Adam kufunga goli la Kichwa. Bao la Adam Adam akiifungua milango ya Simba dakika ya... | MICHEZO | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
Timu ya JKT Tanzania imefanikiwa kuwazuia Mabingwa watetezi wa Simba kue... |
KATIBU Mkuu wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) Godfrey Mngereza ame- sema Tamasha la Utama- duni la Afrika Mashariki (JAMEFEST) limetoa elimu na kuwanufaisha watu wengi kiuchumi na kisiasa. Akizungumza na gazeti hili Mngereza alisema mbali na wajasiriamali waliotumia fursa kuuza bidhaa zao pia, kuna hoteli na watu w... | MICHEZO | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
KATIBU Mkuu wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) Godfrey Mngereza ame- s... |
Mkali huyo aliyetua JKT Ruvu msimu huu akitokea Azam FC, alisema ana imani kubwa na kocha mpya Abdalaah Kibadeni kutokana na uwezo wa ufundishaji aliokuwa nao, hivyo kutua kwake kutabadili mwenendo wao mbovu walioanza nao msimu huu.“Namfahamu Kibadeni ni kocha mwenye uwezo mkubwa wa kufundisha, naamini anaweza kutusai... | MICHEZO | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
Mkali huyo aliyetua JKT Ruvu msimu huu akitokea Azam FC, alisema ana ima... |
Promosheni hiyo itakayojulikana kama ‘Pata Patia na NMB’ itadumu kwa miezi sita, ina lengo la kuhamasisha wateja kujiwekea akiba katika akaunti zao na kuweza kujishindia fedha.Kaimu Mkuu Kitengo cha wateja binafsi, Boma Raballa alisema “NMB imeanzisha promosheni hii kwa lengo maalumu la kuhamasisha wateja wake kujiwek... | UCHUMI | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
Promosheni hiyo itakayojulikana kama ‘Pata Patia na NMB’ itadumu kwa mie... |
WATENDAJI wa mifuko ya hifadhi ya jamii wametakiwa kuhakikisha wanatii na kutekeleza kwa ufanisi maagizo ya Rais John Magufuli aliyotoa kuhusu wastaafu.Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama ametoa agizo hilo wakati alipotembelea ofisi za Mfuko wa Pe... | KITAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
WATENDAJI wa mifuko ya hifadhi ya jamii wametakiwa kuhakikisha wanatii n... |
NA KULWA MZEE
-DAR ES SALAAM MFANYABIASHARA Yusufali Manji (41), anayekabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi, amekataa mbele ya mahakama kutetewa na Wakili Peter Kibatala, kutokana na kile alichosema ni sababu za kisiasa. Manji alitoa kauli hiyo jana mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Isaya Arufani, kabla hajatoa uamuzi ... | KITAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
NA KULWA MZEE
-DAR ES SALAAM MFANYABIASHARA Yusufali Manji (41), anayek... |
Simba na Yanga zinatarajiwa kumenyana Jumapili hii kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam katika mechi ya raundi ya pili ya Ligi Kuu Bara.Ninja, ambaye katika mechi za hivi karibuni amekuwa akicheza kwa kiwango kikubwa, aliliambia gazeti hili jana kuwa kukutana na Simba kwake si mara ya kwanza hivyo anaifahamu presha ya... | MICHEZO | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
Simba na Yanga zinatarajiwa kumenyana Jumapili hii kwenye Uwanja wa Taif... |
BUNGE limepitisha azimio la kumfungia Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) kuhudhuria mikutano mitatu ya Bunge baada ya kukutwa na kosa la kutoa kauli aliyoithibitisha kuwa Bunge ni dhaifu.Kutokana na uamuzi huo, Lema hatashiriki Mkutano wa 15 ambao ni Mkutano wa Bajeti unaoendelea sasa, Mkutano wa 16 utaka... | KITAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
BUNGE limepitisha azimio la kumfungia Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless L... |
RAIS John Magufuli amesema serikali itaendelea kumuenzi mgunduzi wa madini ya tanzanite, Jumanne Ngoma pamoja na kazi zake nzuri na amesisitiza kuwa Mzee Ngoma ni shujaa wa taifa.Ahadi hiyo ilitolewa wakati wa maziko ya mzee huyo, yaliyofanyika mwishoni mwa wiki, nyumbani kwake katika kijiji cha Makanya wilaya ya Same... | KITAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
RAIS John Magufuli amesema serikali itaendelea kumuenzi mgunduzi wa madi... |
RABAT, MOROCCO UFALME wa Morocco umelaani vikali vitendo vya Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika Nkosazana Dlamini-Zuma, unayeamini anahujumu maombi ya taifa hilo kurejea katika umoja huo. Mfalme Mohammed VI alitangaza rasmi nia ya Morocco kujiunga tena Umoja wa Afrika (AU) wakati akitoa hotuba nchini Rwanda Julai 17... | KIMATAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
RABAT, MOROCCO UFALME wa Morocco umelaani vikali vitendo vya Mwenyekiti w... |
Mbunge wa Kahama Mjini (CCM) Jumanne Kishimba ameiomba Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi itoe msamaha kwa watu wenye bangi waisalimishe Polisi iuzwe huko Serikali ipate mapato.Amesema Wizara hiyo inaweza kutoa msamaha kwa miezi sita kwa bangi iliyopo kama inavyofanywa kwenye silaha ili bangi hiyo iuzwe kwa usimamizi wa... | KITAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
Mbunge wa Kahama Mjini (CCM) Jumanne Kishimba ameiomba Wizara ya Mambo y... |
MWANAMITINDO mwenye jina kubwa nchini Kenya, Annabel Onyango na meneja wa kundi la muziki la Sauti Sol, Marek Fuchs, wanataraji kufunga ndoa ya kihistoria nchini hapo. Kwa mujibu wa mtandao wa Kenyamoja, wachumba hao wa muda mrefu watafunga ndoa hiyo Septemba 19 na sherehe itafanyika katika hoteli ya Great Rift Valley ... | BURUDANI | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
MWANAMITINDO mwenye jina kubwa nchini Kenya, Annabel Onyango na meneja wa... |
Msanii wa Bongofleva hapa nchini, Gigy Money, ametoa dongo kwa baadhi ya watu ambao walikuwa wanamdharau na kumchukulia poa wakati anaanza kazi ya muziki. Gigy Money ameieleza EATV na EA Radio Digital, kuwa ilifika hatua watu wanamsema na kumshambulia mitandaoni pia walijaribu kumchonganisha na Serikali ili mradi wamsh... | BURUDANI | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
Msanii wa Bongofleva hapa nchini, Gigy Money, ametoa dongo kwa baadhi ya ... |
Kauli hiyo ilitolewa na Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Khamis Ali Mzee katika hafla ya ufunguzi wa makocha wa leseni C ya wiki mbili inayofanyika kwenye Uwanja wa Amaan mjini Unguja.Mzee alisema kukamilika kwa mfumo huo kutapelekea kuonesha hali ya michezo yote ya Zanzibar inavyoendelea.Alisema suala la kuandaa mfumo... | MICHEZO | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
Kauli hiyo ilitolewa na Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Khamis Ali Mzee ... |
Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Soka Tanzania bara Simba wameendelea kutembeza kichapo kwa kile anayekatiza mbele yao na kuzidi kujihakikishia nafasi ya kutwaa tena ubingwa. Katika uwanja wa Taifa leo ulipigwa mchezo kati ya mabingwa hao na anayewafuata katika msimano mwaka huu Azam Fc. A post shared by Azam Sports (... | MICHEZO | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Soka Tanzania bara Simba wameendelea kut... |
Na Kulwa Mzee-Dar es Salaam
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia huru mke wa bilionea Msuya, Miriam Msuya na mwenzake, baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kugoma kuifanyia mabadiliko hati ya mashtaka ingawa alipewa siku tatu kufanya hivyo.
Uamuzi huo ulitolewa jana mbele ya Hakimu Mkazi Godfrey... | KITAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
Na Kulwa Mzee-Dar es Salaam
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemw... |
MOSCOW, URUSI MAANDALIZI yameanza kwa mkutano utakaowakutanisha wawakilishi kutoka Urusi na Mshauri Mkuu wa Masuala ya Usalama wa Marekani, John Bolton, ambao unatarajiwa kufanyika wiki ijayo mjini Geneva nchini Uswisi. Taarifa hiyo imetolewa jana mjini hapa na msemaji wa Ikulu, Dmitry Peskov. Alisema kila kitu kina... | KIMATAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
MOSCOW, URUSI MAANDALIZI yameanza kwa mkutano utakaowakutanisha wawaki... |
JOTO la wabunge wa upinzani kuvihama vyama vyao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), linazidi kuongezeka baada ya Mbunge wa Jimbo la Serengeti kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA,) Marwa Chacha kutangaza kukihama chake na kujiunga na chama tawala.Hatua ya Chacha inafikisha idadi ya watano wakiwemo ... | KITAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
JOTO la wabunge wa upinzani kuvihama vyama vyao na kujiunga na Chama Cha... |
“HUDUMA tunazotoa ni nzuri na zina hadhi ya kimataifa. Abiria hachukui zaidi ya dakika saba kukaguliwa na abiria anayewasili anachukua dakika tatu kupata huduma za uhamiaji hadi anatoka nje ya jengo.”“Kwa Watanzania wenye pasipoti za kielektroniki, wanatumia sio zaidi ya sekunde 15 kwa sababu wanajihudumia wenyewe kup... | KITAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
“HUDUMA tunazotoa ni nzuri na zina hadhi ya kimataifa. Abiria hachukui z... |
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye amesema haijakatazwa mtu kumiliki zaidi ya kadi moja za simu ilimradi ziwe za mitandao tofauti.“Tunatamani kila Mtanzania awe na ‘line’ moja ya simu kwa mtandao mmoja, akitaka nyingine atoe taarifa,” amesema.Nditiye ameyasema hayo bungeni wakati wa kip... | KITAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye amese... |
Na JENNIFER ULLEMBO RIADHA ni moja ya michezo inayopendwa duniani kwa asilimia kubwa, kwani mbali na kuwapa watu fedha kwa kufanya vizuri katika mashindano mbalimbali, pia umekuwa ukisaidia kuimarisha na kutunza afya. Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) lilianzisha mpango wa kuandaa mashindano katika baadhi ya mikoa kw... | AFYA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
Na JENNIFER ULLEMBO RIADHA ni moja ya michezo inayopendwa duniani kwa as... |
Na ANDREW MSECHU -DAR ES SALAAM IKIWA imebaki miezi michache kuelekea Uchaguzi Mkuu, Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk
Ali Mohamed Shein, ametoa onyo kwa watu wanaotaka kuvuruga amani na katu
serikali hatomvulia mtu yeyote kwa kisingizio cha kudai haki. Kutokana na hali hiyo amesema kwa sasa ... | KITAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
Na ANDREW MSECHU -DAR ES SALAAM IKIWA imebaki miezi michache kuelekea Uch... |
WAKUU wa Mikoa ya Tabora na Geita, wamesema Jukwaa la Fursa za Biashara lililofanywa na Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) katika mikoa yao, limesaidia kuwajengea wananchi na wawekezaji uelewa kuhusu fursa za biashara na uwekezaji katika mikoa hiyo.Katika Mkoa wa Geita, jukwaa hilo la fursa za biashara na uwekezaji... | UCHUMI | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
WAKUU wa Mikoa ya Tabora na Geita, wamesema Jukwaa la Fursa za Biashara ... |
Na ASHA BANI-DAR ES SALAAM NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, amesema kuanzishwa kwa mradi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), kutasaidia kukuza uchumi wa nchi. Ulega ambaye pia ni Mbunge wa Mkuranga, amesema mradi huo ambao ulianzishwa na Kampuni ya Raddy Fibre Solution (LTD) unatarajiwa k... | KITAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
Na ASHA BANI-DAR ES SALAAM NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ul... |
Na Esther Mnyika, Dar es Salaam MBUNGE wa Ubungo, Saeed Kubenea (Chadema), amesema chama hicho hakitamvumilia kiongozi yeyote anayetaka kurudisha nyuma harakati za kuleta maendeleo na kuwataka wananchi wa jimbo hilo kutoa taarifa za kiongozi anayekwenda kinyume cha taratibu ili aweze kuchukuliwa hatua. Akizungumza na ... | KITAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
Na Esther Mnyika, Dar es Salaam MBUNGE wa Ubungo, Saeed Kubenea (Chadema)... |
Akizungumza na waandishi wa habari juzi, Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama alisema Nape amekubali kuwa mgeni rasmi katika tamasha hilo ambalo litaanzia Geita Machi 26 na kumalizikia Kahama Machi 28.“Maandalizi kuelekea Tamasha la Pasaka yanaendelea vema na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa wazi... | MICHEZO | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
Akizungumza na waandishi wa habari juzi, Mwenyekiti wa Kamati ya maandal... |
BARAZA Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) katika kujiandaa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwakani, limewataka Waislamu nchini kama sehemu ya Watanzania, kujitokeza kwa wingi katika hatua zote za mchakato utakapoanza ikiwamo kushiriki kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura, kugombea na kuchagua.Aidha, Ba... | KITAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
BARAZA Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) katika kujiandaa kwa ajili ... |
Hatua hiyo ya kutenga ekari 160 katika eneo la Jitegemee, upande wa barabara ya Mandela inayolenga kuongeza ufanisi wa bandari hiyo kubwa hapa nchini na kuifanya kuwa shindani.Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe alitangaza hatua hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam katika mkutano wa kuhitimisha ziara ya u... | UCHUMI | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
Hatua hiyo ya kutenga ekari 160 katika eneo la Jitegemee, upande wa bara... |
Rais wa Sudan, Omar Al- Bashir anadaiwa kuwa tayari kuandaa mazungumzo ya amani kati ya mahasimu wawili wakuu wa Sudan Kusini, Rais Salva kiir na Riek Machar. Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Sudan ilitangaza kwamba ilitangaza pendekezo la Rais Bashir liliwasilishwa kwa Rais Kiir na ujumbe wa Sudan uliotembelea Juba ... | KIMATAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
Rais wa Sudan, Omar Al- Bashir anadaiwa kuwa tayari kuandaa mazungumzo y... |
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ukosefu wa uadilifu ni eneo ambalo lilitia doa utendaji wa sekta binafsi hususani pale ambapo ilishirikiana na Serikali.Ameyasema hayo wakati anafungua Mkutano Mkuu wa 18 wa mwaka wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwa niaba ya Rais John Magufuli.Katika mkutano huo uliofan... | KITAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ukosefu wa uadilifu ni eneo ambalo ... |
Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) linatekeleza mchakato wa marekebisho ya katiba na limetoa siku 30 kwa wadau na wanatasnia ya filamu nchini kutoa maoni yao kwa rasimu ili kuwa na katiba yenye tija kwa tasnia hiyo. Rasimu ya TAFF iliundwa na kupelekwa kwa wadau na baada ya kikao cha utendaji kazi kati ya Bodi ya Fi... | MICHEZO | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) linatekeleza mchakato wa marekebish... |
OFISA Usalama wa Shirika la Posta Tanzania, George Mwamgabe (44) na mwenzake, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa mashitaka mawili likiwamo la kusafi risha dawa za kulevya aina ya heroin.Mbali na Mwamgabe, mshitakiwa mwingine ni Abdulrahman Msimu (54) ambaye ni dereva na mka... | KITAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
OFISA Usalama wa Shirika la Posta Tanzania, George Mwamgabe (44) na mwen... |
Na John Dande -Dar es Salaam WAKAZI zaidi ya 500,000 wanatarajia kulipwa fidia kupisha mradi wa ujenzi wa Mto Msimbazi ili kuepusha madhara yanayotokea wakati wa mvua. Akizungumza mjini hapa jana wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua madhara yanayotokea kwa wanaoishi pembezoni mwa mto huo pindi mvua zinaponyesha, ... | KITAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
Na John Dande -Dar es Salaam WAKAZI zaidi ya 500,000 wanatarajia kulipw... |
WAZIRI wa Nchi, Ofi si ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo amewataka viongozi na wawakilishi vya vyama vya siasa, kuhakikisha wanatoa maoni yenye tija ili kutengeneza kanuni zilizo bora, zitakazosimamia uchaguzi wa serikali za mitaa.Aidha, Jafo amesema uchaguzi wa serikali za mitaa unatarajia ... | KITAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
WAZIRI wa Nchi, Ofi si ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Se... |
Na Eliza Hombo, Dodoma
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema amesema Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imekuwa ikiwatesa na kuwasumbua wafanyabishara hasa katika miji mikubwa ya Dar es Salaam, Arusha na Mbeya.
Lema alitoa kauli hiyo bungeni jana wakati akiuliza swali la papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, Kassim... | KITAIFA | Below is an instruction that describes a task. Write a response that appropriately completes the request.
### Instruction:
Categorize the news article into one of the 6 categories:
UCHUMI
KITAIFA
MICHEZO
KIMATAIFA
BURUDANI
AFYA
Input:
-- --
Na Eliza Hombo, Dodoma
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema amese... |
End of preview. Expand in Data Studio
README.md exists but content is empty.
- Downloads last month
- 4