Dataset Viewer
Auto-converted to Parquet Duplicate
text
stringlengths
5
25.1k
label
int64
0
5
Chanzo cha picha, Getty Images Pazia limeshushwa katika kampeni za Ligi Kuu ya 2023-24, huku Manchester City ikiweka historia kwa kunyakua taji la nne mfululizo. Miezi 12 iliyopita Riyad Mahrez alikuwa sehemu ya kusherehekea kombe la The Blues lakini baada ya winga huyo wa Algeria kuhamia Saudi Arabia mabingwa hao hawa...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Manchester United wanaweza kubadilisha meneja wao, wakati Manchester City wanafikiria kumruhusu mchezaji nyota kuondoka ... Mauricio Pochettino yuko kwenye rada ya Manchester United na Bayern Munich baada ya kuondoka Chelsea kwa "makubaliano ya pande zote".(Standard), Meneja wa Stuttgart ...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Meneja wa Burnley Vincent Kompany, 38, ni miongoni mwa watu wanaopigiwa upatu kuchukua nafasi ya Thomas Tuchel huko Bayern Munich . (Fabrizio Romano) Aston Villa wanakaribia kufikia makubaliano ya kumnunua tena mchezaji wa Luton Town na kiungo wa kati wa zamani wa Uingereza Ross Barkley ...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Manchester United wanataka takriban asilimia 75 ya pauni milioni 75 walizolipa Borussia Dortmund kwa winga wa Uingereza Jadon Sancho, 24, ambaye atahitaji kupunguzwa mshahara wake wa pauni 275,000 kwa wiki ikiwa klabu hiyo ya Bundesliga itakamilisha dili la kumsaini tena(Sun) RB Leipzig ...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Aston Villa wana nia ya kumsajili kiungo wa kati wa Chelsea na England Conor Gallagher, 24, na huenda wakamtumia fowadi wa Colombia Jhon Duran, 20, kama sehemu ya mkataba huo. (Telegraph – Subscription required) Mshambulizi wa Brentford na England Ivan Toney, 28, anasakwa na Tottenham kam...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Tyson Fury alishindwa kwa pointi nchini Saudi Arabia huku Oleksandr Usyk akiwa bingwa wa kwanza wa ndondi za uzani mzito zaidi kushikilia mikanda minne duniani. Katika usiku uliosheheni ujuzi wa kila aina kutoka kwa mabondia hao Tyson Fury alianza vyema mechi hiyo lakini akaokolewa na ken...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Newcastle United wanataka kumsajili mlindalango wa Arsenal na England Aaron Ramsdale na wako tayari kulipa pauni milioni 15 kwa ajili ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26. (Telegraph) Crystal Palace na Fulham zote zimetuma mawakala wao kumtazama kiungo wa kati wa Fiorentina na Morocco...
2
Chanzo cha picha, PA Media Tumemwona kama mchezaji na tunamfahamu kama meneja, lakini Mikel Arteta ni nani hasa? Katika wiki ya mwisho ya msimu wa kusisimua wa Ligi Kuu ya Uingereza, meneja wa Arsenal alimualika mwandishi wa BBC Sport Guillem Balague nyumbani kwake kwa mahojiano ya kipekee ya saa moja. Arteta anazungum...
2
Chanzo cha picha, Reuters Cristiano Ronaldo ameongoza orodha ya Forbes ya wanariadha wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani kwa mara ya nne katika maisha yake ya soka, huku Jon Rahm mcheza gofu akipanda hadi nafasi ya pili. Ronaldo pia aliongoza orodha hiyo mwaka jana baada ya kuhamia klabu ya soka ya Saudi Arabia ya A...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Napoli wanavutiwa na mshambuliaji wa England Mason Greenwood, ambaye yuko Getafe kwa mkopo kutoka Manchester United, lakini huenda wakakabiliwa na ushindani kutoka kwa Juventus ikiwa wanataka kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22. (Corriere dello Sport - kwa Kiitaliano) Atletic...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Manchester United wanataka kumsajili mshambuliaji wa Uingereza Ollie Watkins kutoka Aston Villa kwani mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 analingana na wasifu wa mchezaji ambaye wanataka kumsajili. (Talksport) Arsenal wanafikiria kuwasilisha dau la pauni milioni 60 kumnunua mshambuliaji...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Manchester City ilipata shujaa mpya kutoka kwa nyota wao wakubwa katika harakati zao za kunyakua taji la nne mfululizo la ligi ya Premier. Pep Guardiola alichukua hatua ya tahadhari alipomtoa kipa Ederson, huku City wakiwa kifua mbele kwa bao 1-0, baada ya mlinda lango namba moja kupata p...
2
Chanzo cha picha, Reuters Bayern Munich wana mpango wa kumnunua kiungo wa kati wa Manchester United Bruno Fernandes msimu huu wa joto na wanaamini kuwa wanaweza kumpata mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno mwenye umri wa miaka 29 kwa sababu ya hali ya kufadhaika Old Trafford. (Independent) Wachezaji kadhaa wakuu wa Baye...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Klabu za Ligi Kuu ya Saudia (Saudi Pro) zina nia ya kumsajili kiungo wa kati wa Manchester United na Brazil Casemiro, 32, na kiungo wa kati wa Ureno mwenye umri wa miaka 29 Bruno Fernandes. (Telegraph - usajili unahitajika) Arsenal wanakaribia kumpoteza mlinzi Reuell Walters, 19, baada ya...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Wakati Manchester United wakisaka bao la kusawazisha dhidi ya Arsenal siku ya Jumapili, anga ya buluu juu ya Old Trafford ilitoa nafasi ya ngurumo na mvua kubwa. Hali hiyo inaweza kuwa kielelezo kwa msimu wa Man United, ambapo matumaini ya kumenyana na The Gunners pamoja na Manchester Cit...
2
Chanzo cha picha, Getty Images "Katika soka kila wakati kuna uwezekano." Hayo yalikuwa maneno ya mkufunzi wa Arsenal Mikel Arteta baada ya ushindi wao wa bao 1-0 dhidi ya Manchester United kuwarudisha kileleni mwa jedwali la Ligi ya Premia na kuweka kimyang’anyiro cha kuwania taji hilo kuelekea wiki ya mwisho ya msimu....
2
Chanzo cha picha, Getty Images Liverpool wanavutiwa na winga wa Newcastle mwenye umri wa miaka 23 Anthony Gordon, ambaye alianza kucheza soka katika klabu ya Everton. (Star) Mkataba wowote kwa Gordon unaweza kukatiza matumaini ya Arsenal ya kumsajili mshambuliaji wa Newcastle mwenye umri wa miaka 24 raia wa Uswidi Alex...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Mabingwa wa Saudi Pro League Al-Hilal wana uhakika wa kumsajili mshambuliaji wa Tottenham na Brazil Richarlison msimu huu, huku Spurs wakiwa tayari kutoa ofa kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27. (Mail) Tottenham wanaweza kumbadilisha Richarlison kwa Eberechi Eze wa Crystal Palace, 2...
2
Chanzo cha picha, Gettu Images Mustakabali wa kiungo wa kati wa Uingereza Jordan Henderson mwenye umri wa miaka 33 katika klabu ya Ajax umetiwa shaka baada ya timu hiyo ya Uholanzi kushindwa kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa kwa msimu wa pili mfululizo. (Athletic - subscription required) Ripoti zinazomuhusisha kiungo wa kati...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Chelsea watafanya tathmini ya mwisho wa msimu kufuatia mchezo wao wa mwisho wa ligi msimu huu dhidi ya Bournemouth, ambapo wataamua mustakabali wa meneja Mauricio Pochettino. (Telegraph) Arsenal inamtazama mlinda lango wa zamani na mchezaji wa kimataifa wa Poland Wojciech Szczesny, 34, pa...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Aston Villa wana imani kuwa wanaweza kuzishinda Arsenal na Manchester United katika kumsajili winga Mfaransa Michael Olise, 22, kutoka Crystal Palace. (Football Transfers) Tottenham wako tayari kumpa meneja Ange Postecoglou fedha za kusajili mshambuliaji, beki wa kati na kiungo wa kati ms...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Manchester United hawana nia ya kumfukuza meneja Erik ten Hag kabla ya fainali ya Kombe la FA mnamo Mei 25. (Telegraph - usajili unahitajika) Hata hivyo, Mholanzi Ten Hag atafutwa kazi mwishoni mwa msimu huu. (Football Insider) Kocha wa Bayern Munich Thomas Tuchel ana nia ya kuwa meneja w...
2
Chanzo cha picha, Reuters Mshindi mara mbili wa mbio za marathon katika mashindano ya Olimpiki Eliud Kipchoge anasema alihofia maisha ya familia yake wakati wa kampeni ya unyanyasaji mtandaoni dhidi yake ambayo ilimhusisha kimakosa na kifo cha mwanariadha mwenzake wa Kenya wa mbio za marathon Kelvin Kiptum. Kiptum, msh...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Mshambulizi wa Liverpool na Uruguay Darwin Nunez ameibuka kama lengo kuu la kushtukiza kwa Barcelona, ​​huku mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 akionekana kama mbadala wa mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski, 35.(Sun) Nunez amechochea uvumi wa kuondoka Liverpool majira ya joto kw...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Arsenal wako tayari kusikiliza ofa za kumuuza mshambuliaji wa Brazil Gabriel Jesus, 27, msimu huu wa joto. (Football Insider) Kiungo wa kati wa Ghana Thomas Partey, 30, na Jesus wanasemekana kuwa kwenye rada za vilabu kadhaa nchini Saudi Arabia huku kandarasi za kiasi kikubwa cha fedha ...
2
Chanzo cha picha, GETTY IMAGES Wahasibu wa vilabu vya Premier League hufurahi kuwauza wachezaji – na kuzalisha faida nzuri - na kusaidia kufuata sheria kali za kifedha. Everton, Nottingham Forest na Leicester zote zimekumbwa na ukiukaji wa kanuni za fedha huku vilabu kama Chelsea, Tottenham, Aston Villa, Newcastle na W...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Meneja wa Manchester United Erik ten Hag ndiye anayetarajiwa kuchukua nafasi ya Thomas Tuchel anayeondoka Bayern Munich. (Falk Christian) Mshambuliaji wa Liverpool na Uruguay Darwin Nunez, 24, analengwa na Barcelona msimu huu kama mbadala wa mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski, 35. ...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Kocha wa zamani wa Bayern Munich wa Chelsea Thomas Tuchel ni miongoni mwa orodha ya Manchester United ya watu wanaoweza kuchukua nafasi ya Erik ten Hag iwapo Mholanzi huyo ataondoka msimu wa joto. (Times) Lakini Tuchel amefungua milango ya kusalia Bayern Munich baada ya msimu huu licha ya...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Manchester United wako mbioni kumsajili kiungo wa kati wa Crystal Palace na Ufaransa chini ya umri wa miaka 21 Michael Olise, 22. (ESPN) Juventus wanaongoza katika kinyang'anyiro cha kumsajili mashambuliaji wa Manchester United na Uingereza Mason Greenwood, 22, ambaye yuko kwa mkopo kati...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Arsenal wako tayari kupokea ofa ya kumuuza mshambuliaji wao wa Brazil Gabriel Jesus, 27, wakati wa majira ya joto ya msimu huu. (Athletic- Usajili unahitajika) The Gunners wana matumaini kuwa kiungo wa kati wa Italia Jorginho, 32, atapuuza nia ya Juventus, Lazio na Napoli kutaka kumsajili...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Manchester United haitarajii klabu yoyote kufikia thamani ya £70m ya mshambuliaji wa Uingereza Marcus Rashford, 26, msimu huu wa joto. (ESPN) Paris St-Germain wamepiga breki nia yao ya kutaka kumnunua Rashford na watafuatilia malengo mengine ya uhamisho kabla ya dirisha la kiangazi. (i Sp...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Liverpool wanatarajia Mohamed Salah atasalia katika klabu hiyo na wanataka mshambuliaji huyo wa timu ya taifa ya Misri mwenye umri wa miaka 31 kuwa sehemu ya kikosi chao msimu ujao. (The Athletic-Usajili unahitajika) Mkurugenzi wa michezo wa Liverpool ajaye, Richard Hughes ataongoza mazun...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Mshambuliaji wa Nigeria Victor Osimhen ataondoka Napoli msimu huu wa joto, huku Chelsea na PSG zikitarajiwa kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25. (Gazetta - kwa Kiitaliano) Crystal Palace wanahofia kwamba beki wa England mwenye thamani ya pauni milioni 55 Marc Guehi huenda akaon...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Bayern Munich wanapanga uhamisho mwingine wa kumnunua mlinzi wa Manchester City Muingereza Kyle Walker, baada ya kushindwa kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 msimu uliopita wa joto. (Star) Mmiliki mwenza wa Manchester United Sir Jim Ratcliffe amekutana na wakala bora Jorge Me...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Manchester United wako tayari kumwachia mlinzi wa zamani wa Ufaransa Raphael Varane, 31, kuondoka bure mkataba wake utakapokamilika msimu huu wa joto. (Mirror) Barcelona wanatazamia kuimarisha safu yao ya mashambulizi huku mshambuliaji wa Liverpool na Colombia Luis Diaz, 27, akiwa mmoja ...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Winga wa Crystal Palace Mfaransa Michael Olise, 22, atakuwa tayari kuhamia Manchester United msimu ujao.(90min) Manchester United wana imani dau la kati ya £60-70m litatosha kumsajili beki wa Uingereza Jarrad Branthwaite, 21, kabla ya Juni 30, na hivyo kuiruhusu Everton kujumuisha ada hiy...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Manchester United wanavutiwa na mshambuliaji wa Brentford na England Ivan Toney na wanaamini kwamba mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 ataleta uzoefu na uongozi kwenye kikosi chao (90min) Hata hivyo, Tottenham wanaweza kumnunua Toney iwapo kutakuwa na ushindani wa kutosha kuipata sahih...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Arsenal na Manchester City wanafikiria kumnunua kiungo wa kati wa Newcastle United na Brazil Bruno Guimaraes, 26. (Telegraph) Kiungo wa kati wa Ureno Bernardo Silva ameamua kuondoka Manchester City na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30, ambaye ana kipengee cha kumuachilia cha pauni m...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Meneja wa Brighton Roberto de Zerbi ndiye mgombea anayeongoza kuchukua nafasi ya Ten Hag ikiwa ataondoka Old Trafford, na Seagulls wanamfikiria kocha mkuu wa Burnley Vincent Kompany kama mbadala wake. (Teamtalk) West Ham watafanya mazungumzo na kocha mkuu wa Sporting Lisbon Ruben Amorim, ...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Barcelona wana nia ya kumsajili mshambuliaji wa Liverpool mwenye umri wa miaka 27 raia wa Colombia Luis Diaz msimu huu wa joto. (Sport - kwa Kihispania) Wolves inawazingatia kipa wa Arsenal Muingereza Aaron Ramsdale, 25, mlinda lango wa Liverpool na Jamhuri ya Ireland, Caoimhin Kelleher...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Real Madrid wanaongoza katika kinyang'anyiro cha kumsajili kiungo wa Manchester City na Ureno Bernardo Silva mwenye umri wa miaka 29 msimu huu. (Star) Barcelona wanatarajiwa kumenyana na Real, huku rais wa klabu hiyo Joan Laporta akipatia kipaumbele usajili wa Silva. (Sport - kwa Kihispan...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Meneja wa zamani wa Real Madrid Zinedine Zidane anafuatilia kwa karibu hali ya meneja wa Manchester United Erik ten Hag na angependelea kuinoa Old Trafford badala ya Bayern Munich. (L'Equipe, via Get French Football News) Bayern Munich haijawasiliana na mchezaji wa zamani wa kimataifa wa ...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Mshambuliaji wa Bayern Munich, Jamal Musiala anaibuka kama shabaha kuu ya Manchester City msimu wa joto, huku Chelsea pia wakifuatilia hali ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani. (Guardian) Hata hivyo, Bayern hawana nia ya kumuuza Musiala na wanatayarisha ofa ya mkataba mpya kwa mche...
2
Chanzo cha picha, GETTY IMAGES Manchester City na Real Madrid zilicheza mechi yao ya robo fainali ambapo City waliondolewa katika michuano hiyo na Real Madrid. Mechi hiyo hatahivyo ilikuwa kubwa kuwapima wachezaji wawili wa England wanaopigania jezi moja ya England, Phil Foden wa Manchester City na Jude Belligham wa Re...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Barcelona na Manchester City wamefanya mazungumzo na wawakilishi wa kiungo wa kati wa RB Leipzig na Uhispania Dani Olmo, 25, wiki iliyopita. (Mundo Deportivo – kwa Kihispania) Chelsea na Barcelona ni miongoni mwa klabu kadhaa za Ulaya zinazofikiria kumnunua mshambuliaji wa Roma mwenye umr...
2
Chanzo cha picha, AL HILAL SPORTS CLUB Takriban mwaka mmoja baada ya kuanza kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan, klabu yenye mafanikio makubwa zaidi ya soka nchini humo, Al Hilal, inasema inaendelea kucheza ili kutoa " bughudha" kwa watu nchini Sudan. Mzozo huo umesababisha vifo vya zaidi ya watu 14,000 na ku...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Manchester United wanapanga kumuuza winga wa Brazil Antony, 24, msimu wa joto kwa kiwango "kinachokubalika", huku winga wa Crystal Palace Mwingereza Michael Olise, 22 akiwindwa na United. (Rudy Galetti via X) Inter Milan wanavutiwa na mlinzi wa Manchester United na England Aaron Wan-Bissa...
2
Manchester City wanaweza kutumia vyema nia ya Lucas Paqueta ya kuondoka West Ham msimu ujao - lakini iwapo tu uchunguzi wa Shirikisho la Soka kuhusu madai ya ukiukaji wa kamari uliofanywa na kiungo huyo wa kati wa Brazil, 26, utatupiliwa mbali. (Guardian) Kipengele cha Paqueta cha pauni milioni 85 cha kumtoa West Ham ...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Manchester City wanaongoza kinyang'anyiro cha kumsajili mshambuliaji wa Bayern Munich Mjerumani Jamal Musiala, 21 - lakini Liverpool , Barcelona na Paris St-Germain wote pia wanamtaka nyota huyo . (Independent) Brentford wanatarajia mshambuliaji wa Uingereza Ivan Toney kuondoka katika kl...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Arsenal na Chelsea wanamfuatilia kwa karibu mshambuliaji wa Brentford na England Ivan Toney, 28, ambaye atagharimu hadi £40m msimu huu wa joto. (Florian Plettenberg) Wakala wa mshambuliaji wa Uswidi Viktor Gyokeres anasema itakuwa vigumu kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 kusalia S...
2
Ni jambo ambalo wachambuzi wa masuala ya michezo wameanza kulifikiria, kwa sababu timu ya Arsenal imeshinda kwa mara ya nane mfululizo, na siku ya Jumamosi walichukua nafasi ya kwanza katika ligi ya Uingereza. Kila mwaka, inapofika mwisho wa ligi, utabiri hufanywa na kompyuta ambayo hutumiwa kutabiri michezo. Liverpool...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Manchester City na Real Madrid zilifunga mabao sita katika mchezo wa kusisimua na kuhitimisha robo fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya mkondo wa kwanza kwa sare ya 3-3 katika uwanja wa Bernabeu. Kikosi cha Pep Guardiola kiliongoza katika dakika ya pili wakati Bernardo Silva alipopiga mkwaju...
2
Chanzo cha picha, EPA Tottenham inamfuatilia mshambuliaji wa Athletic Bilbao mwenye umri wa miaka 21 Nico Williams, ambaye ana kipengele cha kuachiliwa kwa pauni milioni 42.8 katika mkataba wake. (Telegraph - usajili unahitajika) Williams anaweza kusalia kwa msimu mwingine Athletic Bilbao kabla ya Barcelona kujaribu ku...
2
Chanzo cha picha, GETTY IMAGES Huenda Arsenal walifurahia kutimka Harry Kane alipoondoka Tottenham na kwenda Bayern Munich majira ya joto. Lakini anarejea Kaskazini mwa London akijaribu kuwaondoa vijana hao wa Mikel Arteta katika Ligi ya Mabingwa Ulaya. The Gunners wanawakaribisha Bayern katika mechi ya Jumanne ya robo...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola anaamini kuwa Real Madrid watadhamiria kulipiza kisasi baada ya kuwalaza wababe hao wa Uhispania katika harakati za kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa msimu uliopita. City iliifunga Real 5-1 kwa jumla ya mabao 5-1 katika nusu fainali. Hata hivyo, Gu...
2
Chanzo cha picha, Reuters Mohamed Salah anatarajiwa kuwaniwa na vilabu vya Saudi Pro League tena msimu huu wa joto huku Al-Ittihad wakijiandaa kutoa pauni milioni 70 kwa mshambuliaji huyo wa miaka 31 wa Liverpool na Misri. ( Talksport) Chelsea wanajaribu kuwapiku wapinzani wao na kutoa ofa ya pauni milioni 43 kwa msh...
2
Chanzo cha picha, Reuters Inter Milan wanaweza kumnunua fowadi wa Ufaransa Anthony Martial wakati kandarasi ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 na Manchester United itakapokamilika msimu huu wa joto - ikiwa watashindwa kumsajili mshambuliaji wa Iceland Albert Gudmundsson, 26, kutoka Genoa . (Gazzetta dello Sport -...
2
Chanzo cha picha, Rex Features Kiungo wa kati wa Manchester City Muingereza Kalvin Phillips, 28, ambaye kwa sasa yuko kwa mkopo West Ham, amepangwa kama mmoja wa walengwa wa Fulham msumu ujao. (Football Transfers). Phillips anaweza kujiunga tena na klabu ya kwao Leeds United ikiwa wako tayari kulipa £30-£40m. (Football...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Paris St-Germain wako tayari kulipa pauni milioni 111.5 ili kumsajili mshambuliaji wa tumu ya taifa ya Nigeria Victor Osimhen, 25, kutoka Napoli msimu huu. (Corriere dello Sport - kwa Kiitaliano) Chelsea wanaendelea kutafuta mshambuliaji mbadala wa Osimhen, huku mchezaji wa kimataifa wa U...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Mshambuliaji wa Ureno Joao Felix anasema mchezaji mwenzake wa kimataifa Bernardo Silva, 29, anataka kuhamia Barcelona, ​​huku kiungo huyo wa kati wa Manchester City akihusishwa na klabu hiyo ya Catalan mara kadhaa hivi majuzi. (Gerard Romero) Liverpool wameanza mazungumzo na mkufunzi wa S...
2
Chanzo cha picha, Simba Instagram Klabu mbili kongwe za soka Simba na Yanga kutoka Afrika Mashariki nchini Tanzania, Ijumaa hii April 5 zinakabiliwa na kibarua kizito cha kuwania kutinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya mabingwa Afrika kwa mara ya kwanza, zitakaposhuka dimbani katika ncha mbili tofauti za Afrika; Kaska...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Newcastle United wanahofia huenda wakahitaji kumuuza kiungo wa Brazil Bruno Guimaraes, 26, ili kukidhi sheria za kifedha za Ligi ya England. Miamba wa Ufaransa Paris St-Germain wanaongoza katika mbio hizo, huku Manchester United na Arsenal pia wakiwa na hamu. (Sun) Tottenham pia wameungan...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Liverpool na Bayern Munich wanatathmini upya mipango yao baada ya kocha Xabi Alonso kuamua kusalia Bayer Leverkusen, huku Barcelona wakitazamia kukamilisha dili la kumnunua kocha wa Sporting Lisbon Ruben Amorim kama mbadala wa Xavi anayeondoka. (Independent) Hata hivyo, bodi ya Barcelona ...
2
Chanzo cha picha, Getty Images Newcastle wanatarajiwa kurejelea azma yao ya kumnunua mlinda lango wa Arsenal Muingereza Aaron Ramsdale, 25, msimu huu wa joto huku wakimlenga kipa mwenye umri mdogo zaidi. (Mail) Newcastle wanajiandaa kupokea ofa kutoka kwa Arsenal na Tottenham, ambazo huenda zikagharimu pauni milioni 10...
2
End of preview. Expand in Data Studio
README.md exists but content is empty.
Downloads last month
3