id int64 1 3.99k | text stringlengths 9 123 | audio audioduration (s) 1.24 11 | audio_language stringclasses 1
value | is_studio bool 1
class | speaker_id int64 246 246 |
|---|---|---|---|---|---|
1 | Mimbilingani daima hukua vizuru chini ya hali ya joto kiasi | swa | true | 246 | |
2 | Mashamba wakati mwingine ni changamoto kwa wakulima | swa | true | 246 | |
3 | Wakulima wahimizwe kulima kahawa | swa | true | 246 | |
4 | Uganda inaangazia kilimo | swa | true | 246 | |
5 | Baadhi ya mimea hufa kwa kukosa mwanga wa jua | swa | true | 246 | |
6 | Ni wapi tunaweza pata aina nzuri na sugu ambazo zinauzwa sana | swa | true | 246 | |
7 | Mashina ya muhogo yahitajika kwa kupanda | swa | true | 246 | |
8 | Bustani ina mimea ya nyanya yenye ugonjwa | swa | true | 246 | |
9 | Unapataje taarifa ya soko la viazi vitamu | swa | true | 246 | |
10 | Kituo cha redio kimetupa jukwaa la kuuza mboga zetu | swa | true | 246 | |
11 | Simu ya mkononi zimewezesha kupata taarifa za dawa ya maharagwe | swa | true | 246 | |
12 | Mwezi uliopita nilihitaji habari kuhusu matunda ya pashoni | swa | true | 246 | |
13 | Taarifa ya soko la ndizi zitolewe kwa wakulima wote | swa | true | 246 | |
14 | Mkulima anahitaji habari kuhusu makampuni ambayo yana miche bora ya nyanya | swa | true | 246 | |
15 | Baadhi ya maduka ambayo wakulima wanaweza kupata mbolea na vifaa bora vya kupandia | swa | true | 246 | |
16 | Vipindi vya kilimo vya redio vinatoa taarifa ya jinsi ya kupata nyenzo za kupanda muhogo | swa | true | 246 | |
17 | Kuna aina kadhaa ya muhogo ambayo hukua katika eneo hilo | swa | true | 246 | |
18 | Wakulima wanapopata taarifa kuhusu mlipuko wa magonjwa mapema inawasaidia kujipanga vyema | swa | true | 246 | |
19 | Wakulima wanaweza kufaidika sana kutokana na ushauri wa kudhibiti magonjwa | swa | true | 246 | |
20 | Kila Jumatatu wakulima hupewa ushauri kuhusu ukuzaji wa kahawa | swa | true | 246 | |
21 | Wakulima wanahitaji ushauri wa hali ya hewa ili kuwasaidia kujipanga vyema | swa | true | 246 | |
22 | Wizara imetoa ushauri kwa wakulima jinsi ya kupanda muhogo | swa | true | 246 | |
24 | Unashauriwa kila mtu katika wilaya kuwa na bustani | swa | true | 246 | |
25 | Baadhi ya mazoea muhimu katika kilimo:nafasi, kupalilia,wadudu na udhibiti wa magonjwa | swa | true | 246 | |
26 | Wakulima wanapewa jukwaala kuuliza maswali yote yanayohusiana na kilimo | swa | true | 246 | |
27 | Wakulima wanashauriwa kukuza mazao mbali mbali na mahitaji makubwa | swa | true | 246 | |
28 | Dawa kadhaa zinazopendekezwa wakati wa kunyunyizia maharagwe | swa | true | 246 | |
29 | Kilima ina faida nyingi kwa wakulima wadogo wadogo | swa | true | 246 | |
30 | Uzalishaji wa aina tofauti ya mazao ndio itasaidia mtu huyo | swa | true | 246 | |
31 | Tunapata habari juu ya jinsi ya kuhifadhi mazao yetu kutoka kwa matangazo ya redio | swa | true | 246 | |
33 | Taarifa juu ya jinsi ya kukuza matunda na mboga ni muhimu sana kwa wakulima | swa | true | 246 | |
34 | Taarifa kuhusu utabiri wa hali ya hewa na maandalizi ya bustani kwa ajili ya kupanda | swa | true | 246 | |
35 | Majadiliano mengine ya redio yanaweka wazi soko nzuri kwa mazao ya wakulima | swa | true | 246 | |
36 | Mpango wa kilimo uliofanywa kwenye redio husaidia wakulima kujua msimu mzuri wa kupanda | swa | true | 246 | |
37 | Wakulima wanapata ujuzi wa kupanda mbegu na magonjwa yanayoathiri mazao yao | swa | true | 246 | |
38 | Mashirika fulani hutoa taarifa kwa wakulima juu ya pembejeo za mazao kupitia kwa redio | swa | true | 246 | |
39 | Ndege wamekula nguzo zote za mahindi katika bustani ya mwanamke huyo | swa | true | 246 | |
40 | Jani hili la manjano lenye msingi wa zambarau lina ugonjwa | swa | true | 246 | |
41 | Jani lina mtari ya njano na kutu katkati | swa | true | 246 | |
42 | Kutu ya majani ya mahindi husababisha ncha ya jani kukauka | swa | true | 246 | |
43 | Baadhi ya majani yenye ugonjwa yamekauka | swa | true | 246 | |
44 | Baadhi ya majani ya njano kwenye mimea hii yamekunjwa upande mmoja | swa | true | 246 | |
45 | Moja ya dalili za kutu ya majani ya mahindi na ukungu wa mahindi ni majani kuwa ya njano | swa | true | 246 | |
47 | Mabaka kwenye majani sio ishara nzuri kwa mazao ya chakula | swa | true | 246 | |
48 | Sehemu ya juu ya mmea wa mahindi umeliwa na mbuzi hawa wanaozurura | swa | true | 246 | |
50 | Kupalilia ni mazoea ya ukulima bora ambao kila mmoja anatakiwa aujue | swa | true | 246 | |
51 | Mtama ni mzuri na wenye afya na hii itatupa mazao bora | swa | true | 246 | |
52 | Nadhani mmea huu una ugonjwa kwa sababu majani yake yote ni ya manjano | swa | true | 246 | |
53 | Tuna uwezekano mkubwa wa kukosa mavuno kutoka kwa mmea huu | swa | true | 246 | |
54 | Baadhi ya mimea ya karanga imeliwa na mchwa | swa | true | 246 | |
55 | Madoadoa ya kahawia katikati ya majani yaliyoathirika | swa | true | 246 | |
56 | Jani lililoathiriwa huenda lilitokana na hali mbaya ya hewa | swa | true | 246 | |
57 | Wanyama wanaozurura kwenye bustani wameharibu mazao yote | swa | true | 246 | |
58 | Majani haya yenye ugonjwa yanakauka kwa sababu yanaandamwa na magugu | swa | true | 246 | |
59 | Mavuno duni ya ndizi inatokana na ugonjwa wa kutu ya mahindi | swa | true | 246 | |
60 | Kudumaa kwa migomba inatokana na magugu katika bustani | swa | true | 246 | |
61 | Mmea ulioharibiwa unaweza kuwa umeliwa na viwavi jeshi | swa | true | 246 | |
62 | Bustani inahitajika kupaliliwa kwa sababu iko katika sehemu ya misitu | swa | true | 246 | |
63 | Shina la juu limeliwa na viwavi jeshi | swa | true | 246 | |
64 | Mahindi yapo kwenye bustani ya kichaka na yana kutu ya majani | swa | true | 246 | |
65 | Mmea wa viazi una majani ya njano yenye madoa ya kahawia kwa majani | swa | true | 246 | |
66 | Mmea huu una majani ya njano yenye madoa ya kahawia kati ya mishipa | swa | true | 246 | |
67 | Majani ya nyanya ni ya manjano na kavu | swa | true | 246 | |
68 | Majani yana maganda kwa sababu ya wadudu | swa | true | 246 | |
69 | Kwa kawaida madoa meupe kwenye majani ya mahindi huletwa na wadudu | swa | true | 246 | |
71 | Madoa meupe ya mahindi yanatokana na viwavi jeshi | swa | true | 246 | |
72 | Majani ya muhogo yana mstari wa njano chini | swa | true | 246 | |
73 | Moja ya upungufu wa kawaida katika mimea ya machungwa ni kuwa na njano ya ncha ya majani | swa | true | 246 | |
74 | Majani ya mahindi yamejaa mashimo kwa sababu yanaliwa na wadudu | swa | true | 246 | |
75 | Mkulima katika kijiji cha Bukujju alituonyesha baadhi ya mimea yenye magonjwa katika bustani | swa | true | 246 | |
76 | Katika wilaya ya Kayumga,bustani mingi ina mimea ya mahindi yenye ugonjwa | swa | true | 246 | |
77 | Kuna mimea mingi ya maharagwe yenye ugonjwa katika eneo hilo | swa | true | 246 | |
78 | Rangi ya kahawia kwenye majani ya kahawa ni matokeo ya kutu ya kawaida | swa | true | 246 | |
79 | Kiwavi jeshi anakula tawi la mahindi | swa | true | 246 | |
80 | Uwepo wa magugu kwenye bustani husababisha majani ya mahindi kugeuka manjano | swa | true | 246 | |
81 | Mmea wa mahindi una kutu kwa sababu ya ugonjwa huo | swa | true | 246 | |
82 | Nafaka za mmea huu wa mahindi ni wa kiwango kikubwa ambayo sio kawaida | swa | true | 246 | |
83 | Ugonjwa wa michirizi ya mahindi hufanya mistari ya kati kwenye tawi na kugeuka manjano | swa | true | 246 | |
84 | Mbuzi wamekula mahindi katika bustani | swa | true | 246 | |
85 | Moja ya dalili kwa mmea ulioathiriwa na ugonjwa wa michirizi ya mahindi ni majani ya manjano | swa | true | 246 | |
86 | Jani la mahindi limeliwa na viwavi jeshi | swa | true | 246 | |
87 | Mmea umeathiriwa na ugonjwa wa mahindi kwa sababu jani lina rangi ya kijivu | swa | true | 246 | |
88 | Mahindi yameathiriwa na viwavi jeshi | swa | true | 246 | |
90 | Watu wenye mashamba madogo wanafanya mazoezi ya kilimo ili kujikimu maishani | swa | true | 246 | |
91 | Serikali inawahimiza wananchi vifaa bora ili kupata mazao bora | swa | true | 246 | |
92 | Wakulima hawana soko la mahindi | swa | true | 246 | |
93 | Unaweza imarisha mavuno yako kwa njia zifuatazo | swa | true | 246 | |
94 | Ufugaji wa nyuki huleta chakula na mapato | swa | true | 246 | |
95 | Mahitaji ya sungura yamekuwa yakiongezekakatika siku za hivi karibu | swa | true | 246 | |
96 | Wakulima nchini Uganda wanapitia changamoto nyingi zinazoambatana na magonjwa ya mimea na hali ya anga | swa | true | 246 | |
97 | Mjuzi katika kilimo na lishe alitawala tuzo za chakula | swa | true | 246 | |
98 | Kuchelewa kupuliza ndio sababu chakula tulicho nacho kimeharibika | swa | true | 246 | |
99 | Je kutupilia mbali kwa mikopo inaweza kuimarisha uchumi? | swa | true | 246 | |
100 | Kuwa makini jinsi unavyotumiwa pesa zako | swa | true | 246 | |
101 | Maonyesho ni njia moja ya uuzaji bidhaa mpya | swa | true | 246 | |
102 | Kukodisha ni njia mojawapo ya kutumia mali zisizo tumiwa | swa | true | 246 | |
103 | Kunazo nafasi kubwa ya uwekezaji katika viwanda vya kibinafsi | swa | true | 246 | |
104 | Benki nyingi zinapeana mikopo | swa | true | 246 | |
105 | Siku hizi shule zinaangazia kuwafundisha wasomi jinsi ya kuendesha biashara | swa | true | 246 | |
106 | Uanzishaji wa viwanda yaweza kuwasaidia Waganda kupata kazi | swa | true | 246 |
End of preview. Expand in Data Studio
README.md exists but content is empty.
- Downloads last month
- 12