Dataset Viewer
Auto-converted to Parquet Duplicate
key
stringlengths
20
20
audio
audioduration (s)
9.3
30.9
duration
float32
9.3
30.9
instruction
stringclasses
11 values
answer
stringlengths
23
481
category
stringclasses
1 value
vT7UH3mYAbrKMSdVJpP8
19.26
Andika kwa haraka maneno yanayosemwa.
kuna mtu aliyeinama chini ya ngombe akimkamua kwa mikono yake mtu huyu amevalia kaptura za milia na buti nyeusi maziwa yanatiririka ndani ya ndoo ya chuma iliyopo chini sehemu ya mbele ya ngombe haionekani
agriculture
vLOusaHOj0F8ElTSfANO
26.639999
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
hawa ni wanaume wawili wakifanya biashara ya maziwa katika eneo la mashambani mmoja ameshika ndoo akimimina maziwa kwenye chupa kubwa za alumini zilizowekwa kwenye mkokoteni mkokoteni huo unaovutwa na pikipiki unatumika kusafirisha maziwa kutoka kwa wakulima hadi kwa wateja au kituo cha kukusanyia maziwa
agriculture
1vjvRz8Z9ykfSUqpjJiJ
23.52
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
hili ni eneo kubwa la kufugia ngombe ambapo ngombe wengi wamepangwa kwa safu wanakula kutoka kwenye vyombo vya chakula ngombe wote wana rangi nyeusi na nyeupe katikati ya banda moja kuna mtu mmoja amevalia mavazi ya buluu akitembea sehemu hio imefunikwa kwa mabati
agriculture
6WMb5xLFENMtJBuPmuzE
22.74
Andika maneno yanayozungumzwa, tafadhali.
kiasi kikubwa cha unga ulioko kwenye mfumo wa mashine ya kusaka unga huu umetoka ndani ya mashine kifaa cha chuma chenye umbo la duara kimezunguka unga huo kikionekana kuwa kwenye mfuko mweupe mwangaza kutoka juu unamulika unga na sehemu ya mashine
agriculture
AfLM199yIbEcrKo4QfDU
22.02
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
sehemu ya chini ya ya ngombe ikiwa na mguu na sehemu ya kumkamulia maziwa sehemu ya kumkamulia inayo fanya kazi ya kumega maziwa imeunganishwa na mfumo wa mrija wa rangi ya buluu mirija hiyo inaelekea kwenye ndoo kubwa ya chuma sakafu ni ya udongo
agriculture
6wHCDQi84YaqinHSYaSW
21.059999
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
hii ni miti ya migomba yenye majani makubwa na mabichi majani haya yamejipanga kwa njia inayounda kivuli huku anga ya buluu na mawingu meupe yakionekana kwa mbali hali ya mimea hii inaonyesha kuwa imestawi vyema na imepewa uangalifu
agriculture
hSMBPRUAZptSFPuV83U9
22.440001
Tafadhali andika kinachosemwa.
mtu amevaa kofia ya njano na suti ya njano akimnyunyuzia ngombe dawa mtu huyu amebeba kifaa cha kunyunyuzia mgongoni chenye rangi ya buluu na njano ngombe mweusi na mweupe amefungwa kwa kamba nyuma ya ngombe kuna uzio wa mbao mazingira yana miti na mimea
agriculture
c4fvvNvsntiueB8WVXfC
21.6
Andika kile kilichosemwa.
hii ni shughuli ya kukamua ngombe mtu mmoja amevalia nguo ya buluu na buti nyeusi anakamua ngombe mweusi na mweupe mtu huyo amekaa kwenye stuli karibu na ndoo ya chuma kuna ngombe kadhaa wamefungwa kwenye banda lenye bati na kuna ndoo nyingine ziko chini
agriculture
cjb6iynOh8qk4AcVkLdU
23.76
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
hawa ni ngombe wengi wakiwa ndani ya zizi baadhi ya ngombe hawa wamelala chini wengine wamesimama wote wakionekana kutunzwa vizuri kuna nyasi zilizotawanyika chini ambazo zinaawawezesha kuwa malisho yao na miundo ya chuma imetumika kuwatenganiasha
agriculture
hCfVKXQtKYHqdYKR1B4j
24.719999
Tafadhali andika kinachosemwa.
huyu ni mtu labda mwamamke akikamua ngombe wa maziwa amiketi chini akiwa amevaa kofia nyekundu na ameshika chuma jeupa ambacho maziwa yanatiwa ndani ngombe amefungua kwenye panda lililotengenezwa kwa miti na hii sehemu imeonekana kuwa katika mazingira ya mashambani
agriculture
h8UBItyEDXzdf7mBY3kz
24.24
Andika kwa haraka maneno yanayosemwa.
huyu ni mwanaume ambaye ni mfugaji akikamua ngombe mkubwa mweusi na mweupe mwanaume huyu amevalia suti ya buluu amepiga goti chini na anatumia mikono yake kukamua maziwa ya ngombe ambayo yanaonekana yakidondoka kwenye ndoo nyeupe nyuma yake kuna mtu mwingine labda mfugaji mwingine anayefanya kazi kama hiyo
agriculture
DphoAK6UCTR04GtG5dBn
27.120001
Tafadhali nakili maneno yanayosemwa.
huyu ni mwanamke ambaye ni mfanyakazi wa kiwanda akishika kijiko na kuweka kitu ndani ya mtungi wa chuma ametoa tabasamu huku akiwa amevalia koti la rangi ya bluu barakoa glavu nyeupe na buti akionyesha utaaluma wake nyuma yake kuna mitungi mingine mingi ya chuma na tanki kubwa la chuma kuashiria kwamba anafanya kazi k...
agriculture
xT1obvCAb6gkhBEbzi5o
24.299999
Unaweza kuandika maneno yanayosemwa?
hawa ni ngombe weusi na weupe akikamuliwa maziwa na mashine ya kukamulia maziwa mashine hiyo ambayo ina mabomba ya chuma inaunganishwa kwenye chuchu za ngombe ngombe mwingine anaonekana nyuma akiwa anashirika katika mchakato huo mazingira yakionyesha kuwa wako ndani ya eneo la kufunga na kukamulia maziwa
agriculture
0aTzQXUEhLb1MjkAGtph
23.700001
Andika maneno yanayozungumzwa, tafadhali.
hawa ni mwanaume na mwanamke wote wakimimina maji kutoka kwa vyombo vyao hadi kwenye sufuria kubwa ya chuma mwanaume huyu amevalia kofia na shati jeusi huku akiwa ameshika mtungi mkubwa wa majiwa rangi ya kijani mwanamke amevaa nguo ya rangi ya majani na ponki akimimina maji kutoka kwa chombo chake
agriculture
mrCP0fCWsim1vyljeTH6
26.1
Andika kile kilichosemwa.
huyo ni mwanamume ambaye ni mfugaji akimkamua ngombe mweusi na mweupe mwanaume huyo amepiga goti chini na amevalia kofia ya buluu na nyeupe akitumia mikono yake kukamua maziwa kutoka kwa ngombe ambaye yanaonekana yakidondoka kwenye ndoo ndogo ya chuma miguu yake imevalia boti nyeusi na ngombe amefungwa kwa minyororo ku...
agriculture
bCjLK77wbE8a7xWbw6dL
23.82
Tafadhali andika kinachosemwa.
huu ni mmea wa ndizi huku majani yake yakionekana kuwa yamekauka na kugeuka rangi ya hudhurungi ya manjano kuna majani mengine machanga ya kijani kibichi ambayo yanaonyesha kwamba mmea bado unakua licha ya ukame mandhari ya nyuma yanaonyesha msitu kuashiria kwamba mmea huu unapatikana katika eneo lenye miti mingi
agriculture
LsH3GBsH746xEQKZrqDR
26.52
Andika unachosikia, tafadhali.
ndizi mbili zilizoiva zikiwa na rangi ya manjano iliyoiva sana na mistari mieusi inanekana zinaonekana zikiwa zimefungwa pamoja na shina lao huku zikiwa zimeachwa kwenye meza ya mbao zimetandazwa juu ya meza ya mbao iliyopakwa rangi nyeupe iliyoanza kuzeeka ikitoa hisia ya unyenyekevu na uhalisi wa chakula
agriculture
QoNIvHwRUkVRv6zxo5V1
18.540001
Tafadhali andika chini maneno yanayozungumzwa.
mahidi yaliyokauka yametundikwa kwenye kamba yakiwa yamepangwa juu ya ukuta wa mbao mahindi hayo yanaonekana kama yamekauka kwa ajili ya kuhifadhi au kutumia baadae chini ya mahindi hayo kuna chupa ya plastiki ya rangi ya manjano iliyo ninginia kwenye ukuta
agriculture
WN0an1pxXvHkA1futXA3
20.459999
Andika kwa haraka maneno yanayosemwa.
huu ni mkungu wa ndizi mbichi zenye rangi ya kijani kibichi ndizi hizo zimenyata na kuzungukwa na majani makubwa ya mmea huo wa ndizi ambayo inaonekana kuwa ni rangi ya kijani na ina afya
agriculture
wboCoGSUJegyTevrk25X
22.08
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
ngombe wawili wamelala na kupumzika kwenye nyasi na ardhi kavuwakionyesha utulivu na amani katika mazingira ya mashambani ngombe mmoja mwenye rangi ya kahawia na madoa meupe amevalia kengele shingoni ikionyesha utamaduni wa ufugaji katika maeneo fulani
agriculture
EgaG4trHPbUIC6lhGJAN
26.280001
Andika maneno yanayozungumzwa, tafadhali.
shamba kubwa la migomba ambapo mimea mirefu ya ndizi inasimama wima na majani yake mapana yakitandazika unaonekana udongo unaonekana kuwa mwekundu na unyevu nyevu ishara kwamba shamba hili lina rutuba na lina kifaa kwa kilimo cha ndizi migomba bio imepandwa kwa utaratibu na kuonyesha utaamu katika kilimo
agriculture
MhSUgZAWdLvUApPgctzu
28.26
Andika kwa haraka maneno yanayosemwa.
maziwa yaliyoganda yanayojulikana kama mtindi au jibini liloanza yakiwa ndani ya sufuria ya chuma yanaonekana sehemu imara inayofanana na cs cad cs imetenganishwa na sehemu ya kioevu ambayo inajulikana kama cs way cs hali hii inaweza kuwa hatua ya kwanza katika utengenezaji wa jibini au siagi nyumbani mchakato...
agriculture
qr6Vlpw288va3JL2m8Uq
20.280001
Unaweza kuandika maneno yanayosemwa?
shughuli ya biashara au maandalizi ya ndizi ambapo watu kadhaa wanashughulikia migomba mikubwa ya ndizi changa wanaonekana migomba hio imewekwa chini na baadhi ya watu wanachambua au kupanga ndizi zikiashiria kuwa zimetolewa shambani na sasa zinaandaliwa kwa ajili ya kuuzwa sokoni
agriculture
Q3A5973fyCoev1xPyr6H
28.98
Weka maneno yanayosemwa katika maandishi.
mtaalamu wa mifugomfanyikazi wa shamba akimnyunyizia dawa ngombe mweupe kwa kutumia chombo cha kunyunyizia chenye rangi ya bluu na njano mtu huyo amevaa nguo ya bluu yenye maandishi meupe nyuma inayoashiria kuwa afanyia kazi shirika au mradi unaowakilisha ngombe amefungwa kwenye boma la chuma ambalo linatumika k...
agriculture
ucSHN5gVKxS95rUwtxVw
22.799999
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
ngombe wanne weusi na weupe wamesimama kwenye zizi la wanyama mmoja wao anatizama kamera huku wengine wakiangalia upande mwingine zizi hilo limetengenezwa kwa viuma na sakafu yake inaonekana kuwa na udongo nyuma ya ndama hao kuna vibanda vingine na mifugo wengine
agriculture
ktydiFrLURCI07zv1qy6
21.719999
Tafadhali nakili maneno yanayosemwa.
kundi la migomba ambayo majani yake yamegeuka na kugeuka rangi ya kahawia migomba hii imepandwa kwenye mazingira yenye milima iliyo funikwa na mimea mingine ya kijani kibichi mazingira hayo yanaonyesha kuwa ni ya porini au shamba lisilotunzwa vizuri
agriculture
4TvvSdbSRVagB0RSIxuX
24.18
Andika unachosikia, tafadhali.
gala lenye mrundiko mkubwa wa marobota ya nyasi ilizo fungwa kwa kamba marobota haya yamepangwa kwenye paleti ya mbao na yamepangwa kwa uangalifu yakijenga kuta na mirundo mirefu baadhi ya nyasi zimemwagika chini zikionyesha ni mahali pa kuifathi chakula cha mfugo
agriculture
vS8OVeGeG9ba5oXQspUj
26.52
Tafadhali andika chini maneno yanayozungumzwa.
huu ni musanyiko mkubwa wa migomba ya ndizi changa ambayo bado haijaiva ikiwa imepangwa kwa utaratibu kila shina la ndizi limebeba ndizi nyingi sana zikiwa zimeungana kwa pamoja na zote zikiwa bado na rangi ya kijani hali hii inaweza kuashiria kuwa mazao hayo yametayarishwa kwa ajili ya usafirishaji kuenda sokoni au kw...
agriculture
YofkP9u3kaFrNOCt8Odb
29.280001
Andika maneno yanayozungumzwa, tafadhali.
hii ni hatua ya mwisho katika utengenezaji wa jibini la nyumbani hasa pania au rikota vitu vidogo vinavyofanana na maziwa mgando vimetenganishwa na maji na vimewekwa kwenye chujio la kijani lenye matundu madogo maji yamechuruzika na kuacha maziwa mgando peke tayari kwa kubana au kuunda jibini
agriculture
v18q881Xy4pZd4ODm1nK
28.559999
Andika kwa haraka maneno yanayosemwa.
huyu ni mkulima au mtaalamu wa mifugo akimnyunyizia dawa ngombe kwa kutumia dawa ya kulinda dhidi ya kupe na magonjwa mengine mtu huyu amevaa mavazi ya kujikinga ikiwemo suti ya njano kofia na barakoa akitumia chombo maalum cha kunyunyizia chenye chapa cs farmate cs nyuma ya mgongo ngombe mweusi na mweupe amef...
agriculture
iny5E1c7nkhOtlXycvai
28.559999
Unaweza kuandika maneno yanayosemwa?
ngombe kadhaa ndani ya zizi wakiwa wamesimama kwenye vibanda tofauti wakifungiwa na vizuizi vya chuma wanala nyasi kutoka kwenye malishobyaliyo mbele yao zizi lina paa la bati na linaonekana kujengwa kwa miti kuingia kwenye zizi hili kuna lango la chuma kando ya zizi hilo kuna ngombe wengine wanao onekana wakiwa sehemu...
agriculture
jKkSbXi7Bikd7yjoQYLh
24.84
Andika maneno yanayozungumzwa, tafadhali.
mwanaume amevaa koti jeupe ya mahabara akifanya jaribio la kisayansi mwanaume huyo anaoneka ameshika chombo chenye nyaya ndefu ambazo anaziweka ndani ya vikombe vyeupe vilivyopangwa juu ya mezakuna vikombe vingine vilivyopangwa mbele yakedirisha inaonekana ikitoa mwanga wa asili
agriculture
3Biql8GCgj74aXxV8LFg
23.459999
Weka maneno yanayosemwa katika maandishi.
ngombe kadhaa ndani ya zizi wakiwa wamesimama kwenye vibanda tofauti wakifungiwa na vizuizi vya chuma wanakula nyasi kutoka kwenye malisho yaliyo mbele yao zizi lina paa la bati na linaonekana kujengwa kwa miti kuingia kwenye zizi hili kuna lango la chuma
agriculture
g1q6ZeruD976Taoarahv
18.48
Andika unachosikia, tafadhali.
shamba hili limejaa mimea ya ndizi yenye majani makubwa yakionyesha ukuaji mzuri miti mingine imesimama mbele ya vilima vidogo vinavyoonekana kwa umbali
agriculture
5Jhu2tqkwqn7AGkt0GBN
18.360001
Tafadhali nakili maneno yanayosemwa.
bakuli la kioo limejaza maji meupe yenye mabonge madogo yanayoenea juu kinywaji hicho kinaonekana kuwa cha asili kimeandaliwa kwa kutumia maziwa yaliyosindikwa kidogo rangi ni laini huku kioo kikiwa na unyefunyefu pembeni
agriculture
POgAmAUUhfenTK3duDQt
16.860001
Tafadhali andika maneno yanayosemwa.
hili ni shamba la ndizi na ndizi zenyewe zimepandwa ni mengi na zingine zimezaa na ni zenye zinaonekana ziko na afya na ni kubwa na hapo kando kunaonekana ni kama kuna mtu amesimama
agriculture
drSkPWmwR8nz9rSrmznD
16.98
Andika unachosikia, tafadhali.
hili ni ndizi ambazo zimewekwa ili ziweze kukomaa na kuiva ili watu waende kukula zenye zimeiva zimeekwa kwenye cscartoncs alafu zingine bado ziendelee kuiva
agriculture
Qj9J3SNAV76bk2tsUU92
22.74
Andika kwa haraka maneno yanayosemwa.
mtu mmoja aliyevaa sweta iliyo na rangi ya kijivu na rangi ya samawati pamoja na viatu vya mvua vyeusi ameshikilia kifaa mkononi kilicho na maji anayoyatumia kuosha ngombe waliofungiwa katika sehemu fulani maalum
agriculture
7ONlXvSnHTLXhBGhAVAW
19.559999
Weka maneno yanayosemwa katika maandishi.
ndizi hizi ni za rangi ya kijani kibichindizi hizi bado hazijakomaa vizuri na bado ziko kwenye mgomba mgomba huu una matawi ya kijani kibichi yaliyokuwa yamenawiri
agriculture
NmBfbOh7YFPMgEgd3PP9
22.5
Tafadhali andika maneno yanayosemwa.
ndizi nne zilizo kwenye kikundi ambazo zimeiva hadi zikakuwa za rangi ya manjano zimewekelewa mahali ambapo pana rangi nyeupe ndizi hizi katika sehemu ya mbele zina kakitu ka rangi nyeusi
agriculture
NNYLZvdMQatVicy1NUBw
22.860001
Weka maneno yanayosemwa katika maandishi.
ndizi kubwa na nyingi zilizo za rangi za kijani kibichi zimenawiri na kukomaa huku zikiwa shambani kwenye migomba yao shamba hili lina migomba mengi ya ndizi na migomba mengine imeota ndizi na mengine bado ni mchanga
agriculture
wts9ccRf4NGxUfHuCfu5
21.18
Tafadhali andika kinachosemwa.
mwanamke mmoja aliyevaa barakoa nyeusi na kanzu ya rangi ya samawati na glavu nyeupe ana kifaa maalum mkononi cha kupima joto huku akiwa amekielekeza ndani ya tanki ndogo za chuma zilizo na maziwa
agriculture
j4wPynsKfKa4uGllTSaF
29.459999
Weka maneno yanayosemwa katika maandishi.
shamba hili lina migomba mingi ya ndizi migomba mingine ni mingi sana na imepandwa kwa pamoja pamoja mingine ni midogo na ndio inanawiri saa ina imepandwa na kuachiwa nafasi kubwa kubwa na mimea mingine ni ndogo kwenye shamba hiyo isilojulikana kwa sababu haionekana kwa urahisi
agriculture
Kcy0hZqEiN74mWdYRUn9
15.6
Tafadhali andika maneno yanayosemwa.
ngombe hawa wako zizini na wanakamuliwa kutumia mashine za kukamua zilizoelekezwa kwenye chuchu zao ngombe hawa ni wa rangi nyeupe na nyeusi
agriculture
2HJz5d9orEfeSPS9Ssq2
21.48
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
ngombe wawili wanatembea katika sehemu maalum wakielekea sehemu iliyokuwa na maji wanayozamishwa ndani ili kutolewa wadudu mwilini kando na sehemu hiyo kuna watu wamesimama wema wakiwa wanatazama ngombe hao
agriculture
2nMelBolIlbShYkQ7HKa
17.16
Tafadhali andika kinachosemwa.
kwenye shamba hili kuna mashimo mengi na ndani ya mashimo hayo migomba ya ndizi iliyipangwa kwenye vikundi migomba mengine ni mikubwa na mengine ni michanga ndio
agriculture
wo5yInP989pZYE78vW80
22.5
Andika unachosikia, tafadhali.
ngombe anayekamuliwa maziwa kwa kutumia mashine maalum ya umeme ngombe huyu mwenye rangi meupe na madoa meusi amefungwa kwenye eneo maalum kwa ajili ya kukamua mashine ya kukamulia inaonekana wazi mbele ya ngombe ikiwa imeunganishwa na chombo cha chuma cha kukusanya maziwa
agriculture
o9owgjQFRFeVqmPvihcb
25.620001
Tafadhali andika maneno yanayosemwa.
mwanamume amesimama karibu na gari la kubebea mizigo akivuta ndoo kubwa gari analosimama nalo limepakia ndoo nyingi kubwa zenye rangi nyeupe baadhi ya ndoo hizo zinaonekana kuwa chafu au zimetumika mandhari ya nyuma inaonyesha sehemu ya wazi yenye ardhi kame miti na vichaka
agriculture
cg3pH69obO4FqUusQtB7
23.1
Unaweza kuandika maneno yanayosemwa?
mazingira ni ya vijijini au sehemu ya mashambani mwanaume mmoja amejikunja chini akiwa anafanya shughuli ya kukamua ngombe ngombe huyo anaoneka kuwa wa aina ya zebu na pembe zake ndogo zinaelekea juu mwanaume huyu anatumia ndoo ya buluu kukusanya maziwa
agriculture
Af8DECeD86hfT8muZv0q
19.26
Tafadhali andika chini maneno yanayozungumzwa.
ngombe wawili walio na rangi ya udhurungi wameloa maji ngombe hawa wametoka kupitishwa kwenye sehemu inayotumika kuzamisha ngombe na sasa ngombe hawa wanatembea kutoka sehemu hiyo
agriculture
3pGCB5UpMk5BnhvPCJY8
25.440001
Unaweza kuandika maneno yanayosemwa?
mwanaume mmoja aliyevaa shati ya rangi ya samawati amesimama kando na ngombe watano waliokuwa wamejisitiri kutoka kwa jua katika sehemu fulani iliyotengenezewa ngombe hao kando na ngombe hao kuna chakula cha ngombe kilichokaushwa
agriculture
DwMZipFJJHX4u5kXlC72
25.5
Andika unachosikia, tafadhali.
mwanaume mmoja aliyevaa shati nyeupe na viatu vya mvua vya rangi nyeupe ana glovu mkononi iliyochafu kando yake kuna ngombe kwenye zizi na ngombe hii imesitiriwa na chuma ili isiweze kutoka sehemu hiyo ngombe hii ina rangi nyeupe na nyeusi
agriculture
E2lNuEU8AQ5Q8gU8rhaI
16.98
Andika maneno yanayozungumzwa, tafadhali.
kwenye shamba hili la udongo wa rangi ya udhurungi kuna mimea na mimea hii inaonekana kuwa mahindi mimea hii imevamiwa na wadudu wa shambani
agriculture
Hb5oebDwv5yCDYqi1oeg
24.48
Unaweza kuandika maneno yanayosemwa?
katika shamba hili kuna udongo mwingi wa rangi ya hudhurungi chini kwenye udongo huu kuna matawi ya ndizi yaliyoanguka na kukauka shamba hili lina migomba mingi ya ndizi mengine ikiwa ni chache sana mengine ikiwa ni kubwa na ishaota matunda ya ndizi
agriculture
F93lKv3pOvwHLQvqjSzO
19.620001
Weka maneno yanayosemwa katika maandishi.
migomba mingi ya ndizi ii shambanina kando ya shamba hilo kuna nyumba inayoonekana kwa paa tu na paa hiyo ni ya rangi ya hudhurungi kando ya nyumba hiyo kuna uwanja mdogo
agriculture
FTTtk1F4T4O9CE49NyCw
22.200001
Andika maneno yanayozungumzwa, tafadhali.
shamba hili lina ndizi na mgomba mmoja wa ndizi hio umeota matunda ya ndizi ndizi hizi ni mingi na ni refu sana na mgomba huo umesaidiwa kusimama na mti maalum uliotengenezwa kwa kazi hiyo
agriculture
K3StEE9OZzdvbQoYnQD0
18.66
Andika maneno yanayozungumzwa, tafadhali.
ndizi zilizovunwa kutoka shambani na zilizoiva zikawa rangi ya manjano zimewekelewa mahali kuna sakafu mkono wa mtu umeshikilia upande moja wa mkongojo wa ndizi hiyo
agriculture
cCC8v2J6lRLF6MvjADGM
29.52
Tafadhali nakili maneno yanayosemwa.
maindiyaliyoya rangi ya manjano yametolewa maganda ya nje na maganda hayoyametumika kuyafunga mahindi hayo kwenye kamba ndani ya chumba kilichokuwa na moshi uliofanya mahindi hayo ukaweza kuwa nyeusi katika chumba hicho kuna mbao na kwenye mbao hiyo chupa ya rangi ya manjano imeekelewa huko
agriculture
PmYddIkaSEb1U9FuFMMe
16.5
Andika unachosikia, tafadhali.
huku ni sokoni ambako kunauzwa ndizi muuzaji akiwa anaonekana akiwa amezibeba nyuma yake ikiwa ni nyumba iliyojengwa kando yake ikiwa ni miti iliyomea
agriculture
d6GWZkqc8BfFDjiqtOX4
25.379999
Tafadhali andika kinachosemwa.
kundi la watu wakiwemo wanasiasa na wataalamu wakiwa wamekusanyika karibu na pipa mwanamke mmoja amevaa kofia nyeupe na fulana ya pinki anafanya onyesho kwa kutumia kifaa cha kupimia mbele ya watazamaji watu wengine wamevalia kofia nyeupe huku wataalamu wakiwa wamevaa makoti meupe
agriculture
Zfx5WcPoZU3sEaKosLsA
25.200001
Andika maneno yanayozungumzwa, tafadhali.
kundi la ngombe weusi na weupe wakiwa wamesimama kwenye zizi lenye paa la chuma ngombe kadhaa wanaonekana wakitazama mbele huku mmoja wao akiwa amelala chini kuna chombo cha maji kilichojengwa kwa zege mbele yao hali inaonekana kuwa katika shamba la kisasa la ufugaji wa ngombe wa maziwa
agriculture
O2y8tvVbB562NEAx5sw6
16.26
Andika kwa haraka maneno yanayosemwa.
ukulima wa ndizi unaendelezwa katika sehemu hii kuna shada la ndizi ambapo ndizi ni za rangi ya kijani kibichi na ndizi hizi zimeweza kukomaatuna matawi ya ndizi haya ambayo pia ni ya rangi ya kijani kibichi
agriculture
tP7u9BwQMgVVpU5IH9ts
23.76
Tafadhali andika maneno yanayosemwa.
mwanaume anayetabasamu amekaa mbele ya meza na anashikilia ndizi mbili moja ya ndizi mbichi na nyingine iliomenywa pembeni yake kuna rundo ya ndizi mbili mbichi anaonekana akitoa maelezo kuhusu ndizi hizo nyuma yake kuna ukuta wa matofali meupe
agriculture
ur8VLnRjjBNZCxSuP0Np
22.799999
Andika unachosikia, tafadhali.
mtafiti wa kike aliyevaa koti jeupe la maabara kofia ya nywele ya buluu barakoa na glovu anafanya majaribio ya kisayansi anashika chombo cha plastiki akionekana akichunguza sampuli mezani mbele yake kuna vifaa vingine vya maabara
agriculture
LTkHRZ3wMUKU7JNxLd9x
21.6
Weka maneno yanayosemwa katika maandishi.
shughuli za kibiashara zinaendelezwa katika mtaa huu ikiwa ni biashara ya ndii ndizi hizi ni za rangi ya manjano na pia kuna madoadoa ya rangi nyeusi kuonyesha kuwa ndizi hizo zimeweza kuvaa sana tuna mama ambaye ameweza kubeba ndizi hizi na kuzileta sokoni kwa minajili ya kuuza na nyuma yake tunawateja ambao wameweza ...
agriculture
odZKO50RTyVhmvmmNaAm
24
Tafadhali nakili maneno yanayosemwa.
shughuli za kilimo zinaendelezwa katika eneo hili ikiwa ni ukulima wa ndizi tuna ndizi ambazo ni za rangi ya kijani kibichi ambazo zimeweza kuwekwa chini huku wakulima watatu wakiweza kuzikagua mkulima mmoja ameweza kuvalia nguo za rangi nyeusi huku mama ameweza kuvalia koti la rangi ya hudhurungi na kijana ambaye ames...
agriculture
3wcQ7gP4XOba1G2uKPew
16.08
Unaweza kuandika maneno yanayosemwa?
ngombe tano wa rangi nyeusi na pia madoa doa ya rangi nyeupe wamo uwanjani ngombe wanne wamejikusanya na wanakula nyasi kavu ambazo zimewekwa kwenye gurudumu la gari huku ngombe mmoja amesimama kando ya ngombe hawa
agriculture
mpIcUy19OzQQfLujwabr
18.540001
Andika maneno yanayozungumzwa, tafadhali.
ndama wadogo walio na rangi nyeupe na nyeusi wamesimama katika sehemu ya zizi zizi hii imegawa kwa vikundi vingi na katika vikundi vingine kuna ndama wengine huko pia
agriculture
5azlWRLxQhEWMW7sHlrs
24.24
Andika kwa haraka maneno yanayosemwa.
wanaume wawili wakiwa kwenye kiwanda cha maziwa mwanaume wa mbele anamimina maziwa kutoka kwenye chombo cha chuma kuingia kwenye tanki kubwa huku mwengine akiwa karibu naye akishika chombo kingine wote wamevaa kofia nyekundu na mavazi ya kazi ya rangi nyeusi nyuma yao kuna mitungi mikubwa ya chuma ya kuhifadhia maziwa...
agriculture
vyx6MyeduGNG0pYzxgKp
19.860001
Andika unachosikia, tafadhali.
mwanamme mmoja aliyevaa kofia nyeusi na sweta nyeusi ana tanki mbili za chuma ya maziwa juu ya pikipiki yake kando yake kuna gari kubwa iliyoandikwa mt kenya milk na watu wamesimama nje ya gari hilo
agriculture
EpIPluIjFbvwNHta4QaQ
19.26
Tafadhali andika maneno yanayosemwa.
migomba mingi ya ndizi iliyopandwa kwenye vikundi ndani ya shamba imenawiri sana migomba mengine ni michanga na mengine ni mikubwa kando ya shamba hilo kuna nyasi zilizomea hapo
agriculture
uije71RSd3eCSuKidOgN
16.799999
Andika unachosikia, tafadhali.
mikungu ya ndizi mbichi za kijani ikiwa bado kwenye migomba yake migomba hiyo imepangwa wima ardhini na udongo wa rangi ya kahawia unaonekana chini ndizi zimepana kwa wingi kwenye kila kungu
agriculture
500ioZGi9scKqR1dbNxd
22.08
Andika unachosikia, tafadhali.
mkulima yupo pomoni mwake ambapo anaangalia ngombe zake vile zinapita kwa mistari ili waingie kibandani waweze kukamuliwa nyasi iko chini wanayokula pamoja na miti iko nyuma yake
agriculture
p2hHdiZZtTEsbRwCtOK1
17.280001
Andika kwa haraka maneno yanayosemwa.
mkulima ameivisha ndizi tamu na kuzipeleka sokoni amewekelea juu kwa vibanda vingi ili aweze kuuzia wateja ameonyesha mfano wa ndizi anazouza kwa bei nafuu
agriculture
RUiD9nYKqMo6LlpYRDEu
19.860001
Tafadhali andika maneno yanayosemwa.
wanunuzi na wauzaji wamo sokonipanapo ndizi mingi zimepangwa kwa mistari wengine wanakata na kuweka ndani ya viondo hili wachukue nyumbanimifuko imepeperushwa juu
agriculture
klsAIqvNVJQpnLdZRyaY
16.08
Tafadhali andika kinachosemwa.
kijana amesimama pembezoni mwa rundo kubwa la ndizi mabichi shambani likiwa limezungukwa na miti ya migomba amevalia fulana ya kijivu na suruali ya jinsi na buti za kazi huku mikono ikiwa imeegezwa kwenye mbao wima
agriculture
zccmSr0FGHZwYJxCTCQU
16.620001
Tafadhali andika maneno yanayosemwa.
mwanamke anafanya usafi wa ngombe kwa kutumia bomba la maji ndani ya banda lenye mifugo mengine ngombe wamesimama kwenye sehemu yao maalum wakitazama mbele na wanatumia miricha wa rangi ya kijani
agriculture
eJmCdLEnhXMUI3hM54MG
21.48
Weka maneno yanayosemwa katika maandishi.
watu wanagawanya chakula kwenye bakuli la plastiki za kijani kila bakuli imeekwa ugali wa rangi nyeupe mikono kadhaa inashikilia vijiko kwa ajili ya kugawa wanawake wamevaa mavazi ya rangi mbalimbali zenye mapambo shughuli inaonekana kufanyika katika mazingira ya kijijini
agriculture
qu6U9jfAoqfX6qSz0nEZ
19.799999
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
mtu anamkamua ngombe maziwa yanakusanywa kwenye ndoo ya plastiki ya rangi ya bluu ngombe huyu yuko katika sehemu yenye udongo kwao nyuma kuna miti michache na uhusio wa kienyeji mtu huyo amevaa shati la mikono mirefu na suruali
agriculture
3a1Y0NwyLtWtHgKrAGdL
19.02
Tafadhali andika maneno yanayosemwa.
mzinga wa ndizi ulioiva vizuri rangi ya matunda ni ya manjano yenye kungaa kila tunda limeunganishwa kwenye shina moja kuu mzinga huo umesimama wima juu ya sehwmu ya ukuta ndizi zimepangwa kwa mistari kuzunguka shina
agriculture
TsAMPv8vh5eU4dmL9iDP
19.440001
Tafadhali andika maneno yanayosemwa.
watu watatu wamesimama karibu na mikungu ya ndizi ambayo imepangwa juu ya majani makubwa ya migomba mtu aliyevaa nguo nyeusi amesimama juu ya jani akionyesha kitu mwingine aliyevaa shati la kahawia anaonekana kushika kifaa mkononi
agriculture
wvPEULePOBK3BNCv01Uf
17.879999
Unaweza kuandika maneno yanayosemwa?
mtu anakamua ngombe mwenye maziwa na amevaa suruali yenye mistari na blausi ya mikono mirefu kikombe kikubwa cha chuma kimeshikwa chini ya kiwele maziwa yanaingia ndani ya chombo kitaratubu
agriculture
8E2hRpcRrOyx79dyhWhX
18
Tafadhali andika kinachosemwa.
shamba la migomba lililoko kwenye udongo mwekundumiti ya migomba imeota kwa umbali wa karibumanjani yake ni marefu na yenye rangi ya kijani kibichisehemu ya chini ya migomba inaonekana mashine yaliyokauka
agriculture
i8944STYtRudq80u8YJQ
21.719999
Tafadhali andika kinachosemwa.
mtu amesimama karibu na mgomba mwenye matunda mengi ndizi zikiwa bado mbichi zina rangi ya kijani kibichi shina la mgomba limefungwa kwa kuni kama msaada udongo unaonekana mwekundu na wenye rutuba kuna migomba mingine nyuma yenye majani mapana
agriculture
ZBy5evFfIuUVqvgtIWC9
18.9
Andika kwa haraka maneno yanayosemwa.
mtu amevaa mavazi ya kinga ya rangi ya njano amebeba pampu ya kunyunyizia mgongoni anaelekeza bomba la dawa kuelekea kwa ngombe ngombe yuko ndani ya zizi la mbao anaonekana kuwa ameinua kichwa
agriculture
LQuHz7U9jkLXc1JfB4gv
19.26
Unaweza kuandika maneno yanayosemwa?
shamba lenye mimea ya migomba iliyo ota vizuri majani yake ni mapana na ya kijani kibichi miti imepangwa kwa mistari ya asili shambani kuna msitu ya mimea mingine nyuma ya migomba mandhari yanaonekana yenye rutuba
agriculture
PiAAEoPwCOfs5FCB6AL2
19.08
Tafadhali andika kinachosemwa.
shamba lenye mimea ya migomba iliyostawi mkulima amesimama katikati ya shamba hilo udongo unaonekana kuwa na rutuba nzuri miti ya migomba imepangwa kwa mstari mkulima amevaa koti la rangi ya kijivu
agriculture
uLoZWjOKin425UkC1M3b
17.34
Tafadhali andika chini maneno yanayozungumzwa.
miti ya migomba yenye majani marefu ya kijani migomba imepandwa karibu na uzio wa nyasi kavu kuna kivuli kinachoonyesha mchana wa jua nyuma yake kuna miti mingine mirefu
agriculture
Sfin2yNFo7nr5e7k2v3z
19.139999
Andika kile kilichosemwa.
ngombe wawili wenye rangi nyeupe na nyeusiwamesimama karibu na uzio wa mbao uliowekwa kwenye bandazipo vifuli vinavyoonyesha mwanga wa jua unawamulikaeneo la chini linaonekana kuwa na udongo uliokauka
agriculture
MgJtYuEh9acTJkATlZ5U
20.639999
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
kikapu cha mianzi kilichojaa unga mweupe kikapu hicho kimetengenezwa kwa mikono kwa kutumia nyuzi za asili unga umejazwa hadi karibu na ukingo wa kikapu mwangaza wa jua unaonekana kuguza sehemu zote za kikapu
agriculture
ud6YDsvXzAEPInQQmqxM
22.08
Tafadhali nakili maneno yanayosemwa.
mfugaji ameshika bomba la maji lenye rangi ya kijaningombe mweupe amesimama karibu na sehemu ya kukunyesheakuna mifugo mingi ikionekana nyumaeneo likionekana kuwa banda la kisasa la mifugomaji yanayoelekezwa kwa mnyama kwa ajili ya kunywa au kasafishwa
agriculture
iwQ7U93tPzZKXomLOiN2
21
Andika kwa haraka maneno yanayosemwa.
wanaume wawili wamevaa kofia nyekundu mmoja anamimina maziwa kwenye chombo vyombo vya chuma vimepangwa mezani watu kadhaa wamesimama nyuma yao jengo lina kuta za rangi ya bluu na nyeupe shughuli inaonekana kufanyika sehemu ya kukusanya maziwa
agriculture
NRXUbURXQXFpxOweyCa2
19.68
Tafadhali andika chini maneno yanayozungumzwa.
shamba la migomba michanga majani yake ni ya kijani kibichi na yameenea vizuri udongo unaonekana kuwa na unyevu wa kutosha migomba imepangwa kwa nafasi sawa sanamiyale ya jua inaangaza juu ya mimea
agriculture
BlivK61w4VbYuTqzJyJB
21.24
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
mtu akiwa ameshika tunda la ndizi mbichi amekaa juu ya mti wa ndizi yakiwa yakifanywa uvunaji majani makubwa ya kijani yamezunguka sehemu hio miale ya jua inapita kupitia matawi ya miti ndizi ziko kwenye shahada kubwa yenye rangi ya kijani kibichi
agriculture
w2uOzlH2PHEMaupevIR3
17.34
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
mitungi ya maziwa iliyojazwa mashine maalumu imeunganishwa kwenye kiwele cha ngombe maziwa meupe yanaonekana ndani ya mitungi ya plastiki vifaa vya vyuma na mpira vimefungwa kwa umakini
agriculture
744s8QudFM76a2DhCHVH
18.84
Tafadhali andika chini maneno yanayozungumzwa.
mwanaume akiwa anamimina maziwa kutoka kwenye chombo cha chuma nyuma yake kuna mitungi mingi ya kuhifadhia maziwa anga lina mawingu mepesi yanayoashiria mvua nyuma zaidi kuna jengo lenye paa la rangi ya kijani
agriculture
GnToqkU29OmvFT2U1LX2
19.98
Tafadhali andika kinachosemwa.
bakuli kubwa la chuma lenye uji mikono mitatu inashikilia vijiko vikubwa vya mwiko vijiko vimetengezwa kwa mbao za asili uji inaonekana kuwa na rangi ya manjano hafifu sehemu ya juu ya bakuli ina mabaki ya chakula
agriculture
7wAUvI50GamuzpoBRUDg
19.68
Tafadhali andika kinachosemwa.
madumu makubwa ya chuma yenye maziwa yakiwa yamepangwa karibu na jengo kuna mtu amesimama akiwa amevalia jaketi la rangi ya manjano pikipiki zimeegeshwa kando kusubiri kupakia mizigo baadhi ya madumu yako kwenye sehemu ya mbele ya picha
agriculture
urizMjkgGSV7bwbyFPEB
19.26
Andika maneno yanayozungumzwa, tafadhali.
mahindi shambani ambapo koji koja la mahindi limeoza na kushambuliwa na ukungu mweusi hali hii husababishwa na fangasi inaweza kutokea kutokana na unyevu mwingi uhifadhi wa shamba au uharibifu maganda
agriculture
88UidRp9RCGwVJO6tOtD
18.780001
Tafadhali andika maneno yanayosemwa.
kundi la watu waliovaa makoti meupe ya maabara na kofia wakiwa kwenye eneo linaloonekana kama kiwanda au kituo cha usindikaji wa chakula mtu aliye mbele akiwa amevaa fulana ya cspinkcs na kofia nyeupe
agriculture
End of preview. Expand in Data Studio
README.md exists but content is empty.
Downloads last month
566