Datasets:
audio audio | text string | frequency int32 | source string |
|---|---|---|---|
16,000 | kiswahili | ||
Mithali za Sulemani,Mlango 1, Mithali za Suleimani | 22,050 | kiswahili | |
mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli.Kujua hekima na adabu; | 22,050 | kiswahili | |
kutambua maneno ya ufahamu;kufundishwa matendo ya busara | 22,050 | kiswahili | |
katika haki na hukumu na adili.Kuwapa wajinga werevu, na kijana maarifa na hadhari;mwenye hekima asikie na kuongezewa elimu, | 22,050 | kiswahili | |
na mwenye ufahamu ayafikie mashauri yenye njia.Kufahamu mithali na kitendawili, | 22,050 | kiswahili | |
na maneno ya wenye hekima na mafumbo yao.Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.Mwanangu | 22,050 | kiswahili | |
yasikilize mafundisho ya baba yako, Wala usiiache sheria ya mama yako,Kwa maana hayo yatakuwa kilemba cha neema kichwani pako, Na mikufu shingoni mwako. Mwanangu, | 22,050 | kiswahili | |
wenye dhambi wakikushawishi, Wewe usikubali. | 22,050 | kiswahili | |
Wakisema, Haya! Njoo pamoja nasi, Na tuvizie ili kumwaga damu; | 22,050 | kiswahili | |
Tumwotee asiye na hatia, bila sababu; | 22,050 | kiswahili | |
tuwameze hai kama kuzimu, Na wazima, | 22,050 | kiswahili | |
kama wao washukao shimoni.Tutapata mali yote ya thamani, Tutazijaza nyumba zetu mateka.Wewe utashirikiana nasi; | 22,050 | kiswahili | |
Tutakuwa na vitu vyote shirika.Mwanangu, usiende njiani pamoja nao; | 22,050 | kiswahili | |
Uzuie mguu wako usiende katika mapito yao. Maana miguu yao huenda mbio maovuni, Nao hufanya haraka ili kumwaga damu.Kwa kuwa mtego hutegwa bure, | 22,050 | kiswahili | |
Mbele ya macho ya ndege ye yote.Na hao hujiotea damu yao wenyewe | 22,050 | kiswahili | |
Hujinyemelea nafsi zao wenyewe.Ndivyo zilivyo njia za kila mwenye tamaa ya mali; Huuondoa uhai wao walio nayo. | 22,050 | kiswahili | |
Hekima hupaza sauti yake katika njia kuu, Hutoa sauti yake katika viwanja;Hulia penye mikutano mikubwa ya watu, Mahali pa kuyaingilia malango, Ndani ya mji | 22,050 | kiswahili | |
hutamka maneno yake.Enyi wajinga, hata lini mtapenda ujinga? Na wenye dharau kupenda dharau yao, Na wapumbavu kuchukia maarifa? | 22,050 | kiswahili | |
Geukeni kwa ajili ya maonyo yangu; Tazama, nitawamwagia roho yangu, Na kuwajulisheni maneno yangu. | 22,050 | kiswahili | |
Kwa kuwa nimeita, nanyi mkakataa; Nimeunyosha mkono wangu, asiangalie mtu; Bali mmebatilisha shauri langu, | 22,050 | kiswahili | |
Wala hamkutaka maonyo yangu; Mimi nami nitacheka siku ya msiba wenu, Nitadhihaki hofu yenu ifikapo; Hofu yenu ifikapo kama tufani, Na msiba wenu ufikapo kama kisulisuli, | 22,050 | kiswahili | |
Dhiki na taabu zitakapowafikia. Ndipo watakaponiita, lakini sitaitika; Watanitafuta kwa bidii, wasinione. | 22,050 | kiswahili | |
Kwa kuwa walichukia maarifa, Wala hawakuchagua kumcha Bwana.Hawakukubali mashauri yangu, Wakayadharau maonyo yangu yote.Kwa hiyo | 22,050 | kiswahili | |
watakula matunda ya njia yao, Watashiba mashauri yao wenyewe.Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza. Bali kila anisikilizaye atakaa salama, Naye atatulia bila kuogopa mabaya. | 22,050 | kiswahili | |
Mlango wa 2.Mwanangu, kama ukiyakubali maneno yangu, | 22,050 | kiswahili | |
Na kuyaweka akiba maagizo yangu;Hata ukatega sikio lako kusikia hekima, Ukauelekeza moyo wako upate kufahamu; | 22,050 | kiswahili | |
Naam, ukiita busara, Na kupaza sauti yako upate ufahamu; | 22,050 | kiswahili | |
Ukiutafuta kama fedha, Na kuutafutia kama hazina iliyositirika;Ndipo utakapofahamu kumcha Bwana, | 22,050 | kiswahili | |
Na kupata kumjua Mungu. Kwa kuwa Bwana huwapa watu hekima; Kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu; | 22,050 | kiswahili | |
Huwawekea wanyofu akiba ya hekima kamili; Yeye ni ngao kwao waendao kwa ukamilifu; Apate kuyalinda mapito ya hukumu, Na kuhifadhi njia ya watakatifu wake. | 22,050 | kiswahili | |
Ndipo utakapofahamu haki na hukumu, Na adili, na kila njia njema. | 22,050 | kiswahili | |
Maana hekima itaingia moyoni mwako, Na maarifa yatakupendeza nafsi yako;Busara itakulinda; Ufahamu utakuhifadhi.Ili kukuokoa na njia ya uovu, | 22,050 | kiswahili | |
Na watu wanenao yaliyopotoka;Watu waziachao njia za unyofu, | 22,050 | kiswahili | |
Ili kuziendea njia za giza; Wafurahio kutenda mabaya; | 22,050 | kiswahili | |
Wapendezwao na upotoe wa waovu;Waliopotoka katika njia zao; Walio wakaidi katika mapito yao.Ili kuokoka na malaya, Naam, | 22,050 | kiswahili | |
malaya mwenye kubembeleza kwa maneno yake;Amwachaye rafiki wa ujana wake, Na kulisahau agano la Mungu wake.Maana nyumba yake inaelekea mauti, Na mapito yake | 22,050 | kiswahili | |
yanakwenda kwenye wafu.Katika hao wamwendeao harudi hata mmoja | 22,050 | kiswahili | |
Wala hawazifikilii njia za uzima.Ili upate kwenda katika njia ya watu wema, Na kuyashika mapito ya wenye haki. Maana wanyofu watakaa katika nchi, Na wakamilifu watadumu ndani yake.Bali waovu watatengwa na nchi, Nao wafanyao hila watang'olewa. | 22,050 | kiswahili | |
Mlango 3.Mwanangu,usiisahau sheria yangu, Bali moyo wako uzishike amri zangu.Maana zitakuongezea wingi wa siku | 22,050 | kiswahili | |
Na miaka ya uzima, na amani. | 22,050 | kiswahili | |
Rehema na kweli zisifarakane nawe; Zifunge shingoni mwako; Ziandike juu ya kibao cha moyo wako. | 22,050 | kiswahili | |
Ndivyo utakavyopata kibali na akili nzuri, Mbele za Mungu na mbele ya mwanadamu. Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; | 22,050 | kiswahili | |
Katika njia zako zote mkiri yeye, | 22,050 | kiswahili | |
Naye atayanyosha mapito yako.Usiwe mwenye hekima machoni pako; | 22,050 | kiswahili | |
Mche Bwana, ukajiepushe na uovu.Itakuwa afya mwilini pako | 22,050 | kiswahili | |
Na mafuta mifupani mwako.Mheshimu Bwana kwa mali yako, Na kwa malimbuko ya mazao yako yote. | 22,050 | kiswahili | |
Ndipo ghala zako zitakapojazwa kwa wingi, Na mashinikizo yako yatafurika divai mpya.Mwanangu, | 22,050 | kiswahili | |
usidharau kuadhibiwa na Bwana, Wala usione ni taabu kurudiwa naye.Kwa kuwa Bwana ampendaye humrudi, Kama vile baba mwanawe ampendezaye. | 22,050 | kiswahili | |
Heri mtu yule aonaye hekima, Na mtu yule apataye ufahamu. | 22,050 | kiswahili | |
Maana biashara yake ni bora kuliko biashara ya fedha, Na faida yake ni nyingi kuliko dhahabu safi. | 22,050 | kiswahili | |
Yeye ana thamani kuliko marijani, Wala vyote uvitamanivyo havilingani naye. | 22,050 | kiswahili | |
Ana wingi wa siku katika mkono wake wa kuume, Utajiri na heshima katika mkono wake wa kushoto. Njia zake ni njia za kupendeza sana, Na mapito yake yote ni amani | 22,050 | kiswahili | |
Yeye ni mti wa uzima kwao wamshikao sana; Ana heri kila mtu ashikamanaye naye. | 22,050 | kiswahili | |
Kwa hekima Bwana aliiweka misingi ya nchi; Kwa akili zake akazifanya mbingu imara; | 22,050 | kiswahili | |
Kwa maarifa yake vilindi viligawanyika; Na mawingu yadondoza umande.Mwanangu, | 22,050 | kiswahili | |
yasiondoke haya machoni pako, Shika hekima kamili na busara.Basi yatakuwa uzima kwa nafsi yako, | 22,050 | kiswahili | |
Na neema shingoni mwako.Ndipo utakapokwenda katika njia yako salama, | 22,050 | kiswahili | |
Wala mguu wako hautakwaa.Ulalapo hutaona hofu; | 22,050 | kiswahili | |
Naam, utalala na usingizi wako utakuwa mtamu.Usiogope hofu ya ghafula, Wala uharibifu wa waovu utakapofika.Kwa kuwa Bwana atakuwa tumaini lako, | 22,050 | kiswahili | |
Naye atakulinda mguu wako usinaswe.Usiwanyime watu mema yaliyo haki yao, Ikiwa katika uwezo wa mkono wako kuyatenda.Usimwambie jirani yako | 22,050 | kiswahili | |
Nenda, urudi halafu, na kesho nitakupa | 22,050 | kiswahili | |
Nawe unacho kitu kile karibu nawe. Usiwaze mabaya juu ya jirani yako, Ambaye anakaa karibu nawe na kujiona salama. | 22,050 | kiswahili | |
Usishindane na mtu bila sababu, Ikiwa hakukudhuru kwa lo lote. | 22,050 | kiswahili | |
Usimhusudu mtu mwenye jeuri, Wala usiichague mojawapo ya njia zake. Maana mtu mkaidi ni chukizo kwa Bwana | 22,050 | kiswahili | |
Bali siri yake ni pamoja na wanyofu.Laana ya Bwana i katika nyumba ya waovu, Bali huibariki maskani ya mwenye haki.Hakika yake huwadharau wenye dharau, Bali huwapa wanyenyekevu neema. Wenye hekima wataurithi utukufu, Bali kukuzwa kwa wapumbavu ni fedheha | 22,050 | kiswahili | |
Mlango 4.wanangu, yasikilizeni mausia ya baba yenu, Tegeni masikio mpate kujua ufahamu. | 22,050 | kiswahili | |
Kwa kuwa nawapa mafundisho mazuri; Msiiache sheria yangu.Maana nalikuwa mwana kwa baba yangu, | 22,050 | kiswahili | |
Mpole, mpenzi wa pekee wa mama yangu. | 22,050 | kiswahili | |
Naye akanifundisha, akaniambia, Moyo wako uyahifadhi maneno yangu; Shika amri zangu ukaishi. | 22,050 | kiswahili | |
Jipatie hekima, jipatie ufahamu; usiusahau; | 22,050 | kiswahili | |
Wala usiyakatae maneno ya kinywa changu.Usimwache, naye atakuhifadhi; | 22,050 | kiswahili | |
Umpende, naye atakulinda. | 22,050 | kiswahili | |
Bora hekima, basi jipatie hekima; Naam, | 22,050 | kiswahili | |
kwa mapato yako yote jipatie ufahamu.Umtukuze, | 22,050 | kiswahili | |
naye atakukuza; Atakupatia heshima, | 22,050 | kiswahili | |
ukimkumbatia.Atakupa neema kuwa kilemba kichwani; | 22,050 | kiswahili | |
Na kukukirimia taji ya uzuri.Mwanangu, | 22,050 | kiswahili | |
sikiliza, na kuzipokea kauli zangu; Na miaka ya maisha yako itakuwa mingi. | 22,050 | kiswahili | |
Nimekufundisha katika njia ya hekima; Nimekuongoza katika mapito ya unyofu.Uendapo, hatua zako hazitadhiikika, Wala ukipiga mbio | 22,050 | kiswahili | |
Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; | 22,050 | kiswahili | |
Mshike, maana yeye ni uzima wako.Usiingie katika njia ya waovu, Wala usitembee katika njia ya wabaya.Jiepushe nayo, | 22,050 | kiswahili | |
usipite karibu nayo, Igeukie mbali, | 22,050 | kiswahili | |
ukaende zako. Maana hawalali isipokuwa wametenda madhara; | 22,050 | kiswahili | |
Huondolewa usingizi, ikiwa hawakumwangusha mtu.Maana wao hula mkate wa uovu, Nao hunywa divai ya jeuri.Bali njia ya wenye haki | 22,050 | kiswahili | |
ni kama nuru ing'aayo, Ikizidi kung'aa hata mchana mkamilifu. | 22,050 | kiswahili | |
Njia ya waovu ni kama giza; Hawajui ni kitu gani kiwakwazacho.Mwanangu, sikiliza maneno yangu; | 22,050 | kiswahili | |
Tega sikio lako, uzisikie kauli zangu.Zisiondoke machoni pako; Uzihifadhi ndani ya moyo wako.Maana ni uhai kwa wale wazipatao, | 22,050 | kiswahili | |
Na afya ya mwili wao wote.Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.Kinywa cha ukaidi | 22,050 | kiswahili | |
ukitenge nawe, Na midomo ya upotovu uiweke mbali nawe.Macho yako yatazame mbele, | 22,050 | kiswahili | |
Na kope zako zitazame mbele yako sawasawa. Ulisawazishe pito la mguu wako, Na njia zako zote zithibitike;Usigeuke kwa kuume wala kwa kushoto; Ondoa mguu wako maovuni. | 22,050 | kiswahili | |
Mlango 5.Mwanangu, | 22,050 | kiswahili | |
sikiliza hekima yangu; Tega sikio lako, mzisikie akili zangu;Upate kuilinda busara, Na midomo yako iyahifadhi maarifa. | 22,050 | kiswahili | |
Maana midomo ya malaya hudondoza asali, Na kinywa chake | 22,050 | kiswahili | |
ni laini kuliko mafuta;Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga; Ni mkali kama upanga wa makali kuwili. | 22,050 | kiswahili | |
Miguu yake inatelemkia mauti; Hatua zake zinashikamana na kuzimu;Hata asiweze kuiona njia sawa ya uzima; Njia zake | 22,050 | kiswahili | |
ni za kutanga-tanga wala hana habari. Basi, wanangu, nisikilizeni sasa, | 22,050 | kiswahili | |
Wala msiache maneno ya kinywa changu.Itenge njia yako mbali naye, Wala usiukaribie mlango wa nyumba yake. | 22,050 | kiswahili | |
Usije ukawapa wengine heshima yako, Na wakorofi miaka yako;Wageni wasije wakashiba nguvu zako; | 22,050 | kiswahili | |
Kazi zako zikawa ndani ya nyumba ya mgeni;Nawe ukaziombolea siku zako za mwisho, | 22,050 | kiswahili |
End of preview. Expand in Data Studio
Kiswahili Tts Dataset
Dataset Description
Kiswahili (Swahili) TTS dataset combining two sub-collections: (1) the 'A Kiswahili Dataset for Development of Text-To-Speech System' corpus (Kiswa-XXXXX studio recordings with Biblical and general-domain text), and (2) crowdsourced Swahili speech (swh_XXX recordings at 16kHz, studio quality). Covers topics relevant to East Africa.
Languages
- Language: Kiswahili / Swahili (sw)
- BCP-47:
sw
Source tag
kiswahili — value of the source column in every row.
Dataset Structure
| Column | Type | Description |
|---|---|---|
audio |
Audio | Raw WAV audio at original recording frequency |
text |
string | Transcription of the spoken content |
frequency |
int | Sample rate in Hz of the audio |
source |
string | Origin label (kiswahili) |
Splits
| Split | Samples |
|---|---|
| train | 11245 |
Related Work
Prepared in the context of East African speech technology research. See also the Sunbird AI SALT dataset — a multi-language parallel corpus covering Luganda, Acholi, Swahili, Runyankole, Lugbara, and Ateso, used as a benchmark for TTS/ASR in East Africa.
License
Citation
@dataset{kiswahili_tts,
author = {Bateesa},
title = {Kiswahili Tts Dataset},
year = {2025},
publisher = {HuggingFace},
url = {https://huggingface.co/datasets/Bateesa/kiswahili-tts-dataset}
}
- Downloads last month
- 28