text
stringlengths
9
2.8M
language
stringclasses
7 values
genre
stringclasses
25 values
source
stringclasses
13 values
title
stringlengths
0
156
story_id
stringlengths
1
56
source_type
stringclasses
2 values
Eight stray elephants invade a village in Mariakani, Kilifi county, in search for water amid the biting drought; KWS officers on the ground working to handle situation. Bolt taxi company is on the spot after a female passenger s hand was hacked in a scuffle with one of its drivers. Wandani wa Ruto wamjibu Tuju Kwenye m...
Tweet
Tweet
Tweet
SalimSwaleh
2800
tweets
LEONARD ONYANGO: Makamishna wa IEBC wasisimamie zaidi ya uchaguzi mmoja Kero ya stima kupotea bila notisi Zimmerman VYAMA VYA KISWAHILI: Chama cha Kiswahili chuoni Laikipia ni jukwaa la uhakika katika makuzi ya lugha na vipaji Huenda Ruto akafukuzwa Jubilee Party Mifuko yatumika kama ushahidi wa mauaji ya wakili Kimani...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeo
2801
tweets
Walinzi wa rais wamnyaka mwanamume akinyemelea jukwaani Lamu Wabunge wandani wa Ruto wapokonywa walinzi, bunduki Walinzi na wafuasi wa Bobi Wine wakamatwa, siku mbili kabla ya uchaguzi Wito shule ziajiri walinzi wenye tajriba kuhakikisha usalama kipindi cha Covid Mahakama yaamuru mbunge Alice Wahome arudishiwe walinzi ...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoAskari
2802
tweets
DNA yaonyesha mjukuu wa Moi ndiye baba ya watoto anaopinga kuwalea Je, Arsenal itadumisha mazoea yake ya kupoteza mechi ya kwanza kila msimu? 3. Rais Uhuru Kenyatta ana kibarua! Kuwashawishi vigogo wa OKA wamuunge mkono 'Baba' aingie Ikulu 2022. Itakuwaje? 4. Matiang'i sasa atafika Bungeni kufafanua kuhusu madai dhidi ...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoBaba
2803
tweets
Lukaku afunga bao lake la 67 katika mechi ya 100 ndani ya jezi ya Ubelgiji
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeobao
2804
tweets
Dereva asimulia jinsi alivyookoa abiria basi lilipovamiwa na magaidi Kadha wanusurika kifo baada ya basi kupoteza mwelekeo Thika Road Zawadi ya basi kutoka kwa Ruto yazua utata Mlima Kenya FATAKI: Ikiwa wewe bahili wa mali na moyo, basi mapenzi yatazidi kukuchenga DINI: Matunda ya kesho yako kwenye mbegu za leo kwa hiv...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoBasi
2805
tweets
Serikali kutafutia bandari biashara Kaunti 10 za Mt Kenya kuondoa ada za biashara AKILIMALI: Kujiamini kumemfanya awe hodari katika ufugaji-biashara Bidco yazidi kupanua biashara zake barani Afrika Bajeti 2021/2022: Biashara ndogondogo na za wastani, Juakali zatengewa mgao wa Sh10 bilioni Serikali kujenga daraja la Sh2...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoBiashara
2806
tweets
Serikali haijaruhusu uagizaji wa chakula chochote cha GMO Munya Rashford ataka fedha zilizochangishwa na mashabiki kukarabati mnara wake zitumiwe kununulia wanafunzi chakula nchini Uingereza Waathiriwa 800 wa mkasa wa moto na mafuriko katika wodi ya landimawe wapokea msaada wa chakula kutoka serikali ya kaunti ya Nairo...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoChakula
2807
tweets
Atletico yakaribia kutwaa taji la La Liga baada ya Suarez kuokoa chombo chao mikononi mwa Osasuna BBI: Kimya chao chazua hofu Injera, Amonde matumaini tele kikosi chao cha SFX10 kitatwaa ufalme wa raga ya World Tens Bermuda Vijana wanaojihusisha na kamari waitaka serikali isikie kilio chao WAKILISHA: Kipaji chao ni kwa...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoChao
2808
tweets
Cheza Ukipenda yateremka dimbani kukabili Country Bus...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoCheza
2809
tweets
Heko Facebook kuzima akaunti za chuki Ethiopia Wazee wakemea matamshi ya chuki 'Hakuna uhuru wa kuchapisha jumbe za mihemko na chuki' Wabunge waliodaiwa kuchochea chuki waachiliwa MBUNGE wa Starehe, Charles Njagua ameachiliwa kwa dhamana ya Sh500,000 pesa taslimu; alikanusha kutoa matamshi ya chuki na kuwabagua wageni ...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoChuki
2810
tweets
Wauguzi wagomea chanjo ya corona licha ya amri kali Wataka kilio cha wauguzi kisikilizwe kabla BBI Panyako awataka wauguzi kutokubali kutishwa bali waendelee na mgomo Wauguzi Nairobi waendelea kugoma COVID-19: Serikali kuwalinda wauguzi ONYANGO: Wauguzi wawe na vifaa vya kujikinga na virusi Wauguzi wataja nyenzo muhimu...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoDaktari
2811
tweets
MARY WANGARI: Mfumo jumuishi kwa watoto wote utaokoa elimu Kenya MAKALA MAALUM: Matunda ya elimu yamsukuma kuwa mtetezi sugu wa mabinti Watoto 30 kutoka Mukuru wapata ufadhili wa elimu TAHARIRI: Elimu si jukumu la serikali pekee Wito EACC ichunguze maafisa wa elimu EACC yagonga mwamba katika uchunguzi kuhusu vyeti feki...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoElimu
2812
tweets
FAUSTINE NGILA: Usilie ughali wa mafuta, nunua gari la kielektriki Mvutano mitandaoni baada ya Raila kutumia gari la serikali Toyota Kenya kutuza mwanafunzi bora Sh500,000 katika uchoraji gari Mwanamume apata majeraha kwa kugongwa na gari Thika Road AKILIMALI: Hela anazorina kuuza dania, mbegu zake zilifanya auze gari ...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoGari
2813
tweets
TAIFA LEO JUMATATU 1. Raila ashindwa kukwea Mlima Kenya 2. Pigo kwa Raila na Ruto Pwani ikiunda chama kipya 3. Wavuvi wa Kenya kushtakiwa TZ leo Kwa hizi na habari nyinginezo, jinunulie nakala hapa TAHARIRI: Wanaotoa chanjo watoe habari zote TAIFA LEO JUMATATU: 1. Wimbi jipya mlimani; vyama 15 sasa vitakutana kesho kuj...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoHabari
2814
tweets
DOMO KAYA: Kwa sasa nitagomea hiyo stori ya Tanasha KASHESHE: Akanyagia stori kijanja ANA KWA ANA: Stori yake ni kama telenovela KIPENGO: Nataka kukupigia stori. Wacha ibaki stori kwa sasa, kocha wa Gor Mahia... Wacha ibaki stori kwa sasa, kocha wa Gor Mahia Alicious arudi jikoni kuchemsha kibao kilichomtambulisha ili ...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoHadithi
2815
tweets
Hawana jipya hao, Mutua awasuta viongozi wa OKA Matumaini Lionel Messi atatia saini mkataba mpya Barcelona baada ya Joan Laporta kuchaguliwa rais wa miamba hao wa La Liga NDIO! HAPA WIZI TU : Zile fedha ambazo watu hao huwa wanapora kila siku zinazidi Sh2 bilioni. Watu hao ni bure! Wanataka kutwambia ooh, BBI itatumia ...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoHao
2816
tweets
Polisi mpakani wapepeta corona kwa hongo ya Sh2,000
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoHongo
2817
tweets
Hospitali yakiri kulemewa na wagonjwa wa corona SHINA LA UHAI: Huduma mbovu katika hospitali za Kaunti zinavyoua wajawazito Wito wagonjwa wa kawaida wazuru hospitali nyinginezo idadi ya wagonjwa wa Covid-19 ikiongezeka katika hospitali ya Tigoni Hospitali ya Tigoni yatoa hewa ya oksijeni bure kwa wagonjwa Hospitali mpy...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoHospitali
2818
tweets
TAIFA LEO IJUMAA: Jipakulie nakala hapa
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoIjumaa
2819
tweets
TAIFA LEO JUMAMOSI Jinunulie nakala hapa TAIFA LEO Jumamosi. Jinunulie nakala hapa . Karibu 'kijiweni' katika jarida la Pambo Jumamosi hii. Badala ya ugomvi chumbani, mwanamume anafaa kufanya nini? Pata ushauri katika gazeti la leo Taifa Leo Jumamosi TAIFA LEO JUMAMOSI TAIFA LEO JUMAMOSI: Jinunulie nakala hapa Taifa Le...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoJumamosi
2820
tweets
Taifa Leo Jumanne TAIFA LEO JUMANNE Kila Jumanne kwenye jarida lako la Afya na Jamii ndani ya Taifa Leo, tunakupakulia makala kemkem kuhusu jinsi ya kukabiliana na magonjwa mbalimbali TAIFA LEO Jumanne Waziri atangaza Sikukuu Jumanne Waislamu wakiadhimisha Idd-ul-Adha Taifa Leo Jumanne TAIFA LEO JUMANNE Mei 25, 2021 AH...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoJumanne
2821
tweets
TAIFA JUMAPILI, Agosti 29, 2021 TAIFA JUMAPILI Jinunulie nakala hapa TAIFA JUMAPILI, Agosti 15, 2021 Katika TAIFA JUMAPILI kesho: 1. Polisi wageuka wanyama kipindi cha corona. Wameua watu 25 wakati wa kafyu... 2. Je, kunani mgeni wa Ruto kunyakwa na polisi wa kupambana na ugaidi?... 3. Yaibuka walimu wanamumunya hongo ...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoJumapili
2822
tweets
Makanisa yatoa onyo kuhusu ghasia 2022 Serikali yanyenyekea kuhusu amri kwa makanisa Serikali yanyenyekea kuhusu amri kwa makanisa Wanderi Kamau: BBI: Kimya cha makanisa kwa hakika chatamausha ARVs: Makanisa yaunga usambazwaji wa haraka Muungano wa makanisa chini ya mwavuli wa FEICCK walaani kitendo cha polisi kuvamia ...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoKanisa
2823
tweets
Kesho katika Taifa Leo: 1. Corona sasa inafyeka maisha ya watu hadi vijijini. Je, idadi ya wananchi walioangamizwa na corona inayotangazwa kila siku ni ya kweli? 2. Kwa sasa Arsenal imesimama kileleni mwa jedwali la EPL, lakini kesho watavaana na Brentford kufungua msimu mpya Malkia Strikers warejea uwanjani kesho dhid...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoKesho
2824
tweets
UMBEA: Kabla kuhukumu keti chini utathmini kwa nini alionja nje
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoKeti
2825
tweets
Kijana ajeruhiwa baada ya kushambuliwa na kiboko Korti yacharaza Uhuru kiboko mara nyingine ikisema alipuuza Katiba DOMO KAYA: Mtakuja kupigwa kiboko! Adhabu ya kiboko shuleni yapingwa TAHARIRI: Tusiwe na pupa ya kurudisha kiboko Serikali sasa yapanga kurudisha kiboko shuleni Himizo adhabu ya kiboko irejeshwe kukabili ...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoKiboko
2826
tweets
CECIL ODONGO: Kifo cha BBI chaweka OKA hatarini zaidi 2022 Mbunge na abiria 30 wanusurika kifo ndege ikiharibika angani Rais Suluhu, SADC waomboleza kifo cha waziri wa ulinzi wa TZ Rais wa Mali anusurika kifo katika sala za Idd al-Adha 'Hakuna kifo kutokana na corona jana Jumatano' Mhudumu wa bodaboda anusurika kifo kw...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoKifo
2827
tweets
Polisi wahoji kijana aliyekiri kuteka na kuua watoto 13 AKILIMALI: Kijana hodari wa uchoraji aliyejigundua kwenye makao ya watoto alikokulia Kijana 'hasla' Evans Makokha amuuzia Naibu Rais William Ruto, kuku Sh5,000 wakati wa hafla ya Kanisa Indangalasia eneo la Matungu, Kaunti ya Kakamega. Picha/ Isaac Wale DENNIS MUD...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoKijana
2828
tweets
Kocha Brendan Rodgers amtunuka sifa fowadi Jamie Vardy Kocha Marcelo Bielsa arefusha muda wa kuhudumu kwake Leeds United Atlanta yamtimua kocha Gabriel Heinze baada ya kusimamia mechi 13 pekee za MLS Kocha aliyechagua kufunza uwanjani badala ya darasani Harry Kane haondoki Spurs - kocha Nuno Espirito Mashabiki wataka k...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoKocha
2829
tweets
Aunda programu za kompyuta kuifaa mikahawa Aibu msafishaji kuiba kompyuta ya NMG Mtoto wa miaka 13 ashangaza kuunda kampuni ya programu za kompyuta TEKNOLOJIA: Watoto wa Mombasa wanavyounda programu za kompyuta Matunda ya karakara si 'vifaranga vya kompyuta', Chiloba aambiwa na Wakenya mtandaoni Watu sasa watumia simu ...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeokompyuta
2830
tweets
Watoto 88 wazaliwa Krismasi Eldoret Wakazi wa Nairobi walia Krismasi imekuwa 'kavu' Jinsi ya kuwepa wahalifu unapomumunya Krismasi Wasichana wengi zaidi wakeketwa msimu wa Krismasi Krismasi bila shangwe Krismasi ya dhiki TAHARIRI: Nuru ya Krismasi ni kuwajali wengine Polisi zaidi watumwa kulinda Wakenya Krismasi TAIFA ...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoKrismasi
2831
tweets
Wazee Kisumu wataka serikali iwarejeshee joka lao la Omieri Brighton wapoteza penalti mbili nalo bao lao la utata dhidi ya West Brom likifutiliwa mbali na VAR MWANAMUME KAMILI: Lau wangalijua utamu wa kuvivalia viatu chaguo lao! BBI ni mradi wa kundi la wanasiasa ambao lengo lao kuu ni kutwaa mamlaka ya serikali na nch...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoLao
2832
tweets
KINA CHA FIKIRA: Wakati ni sasa, tumia leo kutengeneza kesho yako TAIFA LEO, Septemba 8, 2021 TAIFA LEO, Septemba 7, 2021 TAIFA LEO, Septemba 6, 2021 TAIFA LEO JUMAMOSI Jinunulie nakala hapa TAIFA LEO IJUMAA: Jipakulie nakala hapa Taifa Leo Septemba 2, 2021 TAIFA LEO JUMATANO 1. Hivi, umejua mo...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoLeo
2833
tweets
Cheruiyot tayari kuonyesha bingwa wa Olimpiki Ingebrigtsen kivumbi Diamond League
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeOlimpiki
2834
tweets
MBWEMBWE: Kiungo Di Maria ni mwenye guu la Almasi, ana magari na makasri ya kutisha
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoMaGari
2835
tweets
Maji ya mafuriko Mto Ngong yatatiza usafiri kati ya mitaa ya Kayaba na Hazina NMS yafungua rasmi mradi wa maji uliokamilika sokoni Muthurwa Ondoa chunusi usoni kwa kutumia maji ya mshubiri(Aloe vera). Ondoa chunusi usoni kwa kutumia maji ya mshubiri(Aloe vera). Moraa atesa mbio za mita 800 nchini Finland kinadada Waken...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoMaji
2836
tweets
Mtaalamu awaponda akina mama wanaodai wana maziwa kidogo Mama aomba Korti imnyime dhamana mwanaume aliyewapiga polisi risasi FAUSTINE NGILA:Akina mama washauriwe kuchangia uchumi dijitali Akina mama washauriwe kuchangia uchumi dijitali Mama mmoja amesimulia mahakamani jinsi alivyopata chooni mifupa ya mwanawe na mjukuu...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoMama
2837
tweets
CHOCHEO: Siri ya mapenzi yenye raha na yanayodumu FUNGUKA: Mapenzi mtandaoni raha! Douglas Mutua: Ndoa, talaka na fumbo linaloitwa mapenzi MWANAMUME KAMILI: Ukipenda ama kupendwa jamani sichezee mapenzi! Bintiye Keroche alikiri Lali alimpagawisha kwa mapenzi, nduguye aambia mahakama Askofu aonya wanaume dhidi ya kutumi...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoMapenzi
2838
tweets
AKILIMALI: Mkulima hodari wa blueberries ajikakamua kuziba pengo la uhaba wa matunda hayo Handisheki ni matunda ya uongozi mbaya - Mutua Karakara ni matunda ya thamani na rahisi kuyastawisha Mtaalamu aelezea kiini cha stroberi zako kukosa kuzaa matunda Mikakati na mipango yangu kambini mwa Arsenal itaanza kuzaa matunda...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoMatunda
2839
tweets
Mkenya Mudibo achaguliwa naibu rais wa tenisi ya mezani Afrika, aahidi kuboresha mchezo Kenya na kote barani Mkenya Mudibo achaguliwa naibu rais wa tenisi ya mezani Afrika, aahidi kuboresha mchezo Kenya na kote barani DIMBA MASHINANI: Kigogo mchezo wa jadi usiobagua umri, hadhi CHOCHEO: Kukataa mchezo wa huba ni kuhata...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoMChezo
2840
tweets
Kaizer Chiefs anayochezea Mkenya Akumu mguu mmoja fainali ya Klabu Bingwa Jeraha la mguu kumnyima Jota fursa ya kuchezea Liverpool katika mechi mbili za mwisho wa msimu huu Jeraha la mguu kumweka nje nahodha wa Aston Villa, Grealish, kwa mwezi mmoja ujao Kane kusalia nje kwa muda mrefu baada ya kupata jeraha la kifundo...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoMiguu
2841
tweets
Ruto ainua mikono TAIFA LEO Alhamisi. 1. Ruto sasa ainua mikono 2. Kenya yapata dhahabu ya kwanza Olimpiki 3. Meya wa zamani sasa ni mwanabodaboda Jipakulie nakala hapa Real Madrid wakamilisha kampeni za msimu huu wa 2020-21 mikono mitupu Bobi Wine sasa ainua mikono, amwachia Mungu Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msing...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoMikono
2842
tweets
AKILIMALI: Hivi viazi vitamu ni spesheli kwa njia moja muhimu: havina sukari! Familia moja Gatuanyaga yaomba msaada baada ya jamaa wao kuuawa kinyama Vijana waliofariki mikononi mwa polisi Embu kuzikwa kwenye kaburi moja Kuna pilipili mboga za rangi tofauti, kila moja ina faida yake mwilini KEG yatangaza tarehe za mjad...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoMoja
2843
tweets
Maporomoko yaua 23 mvua ikiponda jiji Wavuvi washauriwa wawe waangalifu msimu wa mvua Mvua yazua mafuriko na yaletea wakazi hasara BENSON MATHEKA: Serikali itimize onyo la wataalamu kuhusu mvua Serikali yaonya mvua yaja mwezi ujao kwa kishindo kikuu Mvua ya mabao Everton wakidengua Tottenham kwenye raundi ya tano ya Ko...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoMvua
2844
tweets
Kocha wa Kenya Morans Liz Mills atuzwa mpira wa dhahabu kwa kuwa mwanamke wa kwanza kuongoza timu ya wanaume AfroBasket
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoMWanamke
2845
tweets
Mwanaume ashtakiwa kwa ubakaji MWANAUME KAMILI: Haiwezekani kushiriki uovu ukaepuka dosari! Mwanaume (35) afariki baada ya kuburudika kingono na mjane (50). Alikuwa amemeza vidonge vya kuongeza nguvu Mwanaume ahadaa majirani anazika paka, kumbe ni mwananwe! Mwanaume avamia shule kwa nyundo na kujeruhi watoto 20 Mwanaum...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoMWanamume
2846
tweets
UMBEA: Hakuna mpenzi mzuri au mbaya inategemea tu ikiwa mnafaana ULIMBWENDE: Mwonekano mzuri wa uso wa mwanawake Mikutano ya uhamasisho BBI iwe na utaratibu mzuri - Karua JUHUDI: Mkulima asema kukiwa na utaratibu mzuri, ni rahisi kujenga mabwawa CHEBUKATI atorokwa na makamishna watatu. Makamishna Margaret Mwachanya, Co...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoMzuri
2847
tweets
Mwanatenisi Okutoyi atupwa chini nafasi sita, anashikilia nambari 161 duniani sasa Shujaa yaridhika nambari mbili Madrid 7s Lionesses ikivuta mkia Tunaomba nambari yako ya simu kwa mawasiliano zaidi. Tuma hapa taifa.nationmedia.com. Shukran. Kenya yapanda vikapuni kwa nafasi saba zaidi hadi nambari 115 kwenye orodha ya...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoNambari
2848
tweets
BURUDANI: Berin Bosibori Koroso, msanii wa nyimbo za Rhumba na Zouk BURUDANI: Larota aweka zingatio katika kuimba nyimbo za mawaidha kwa wanaume Jowie Sasa Ageukia Usanii Wa Nyimbo Za Injili Mwanamuziki nyota wa nyimbo za Country, Kenny Rogers afariki Wabunge walivyoimba nyimbo za kusifu Nyayo bungeni Jinsi Moi alivyoe...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoNyimbo
2849
tweets
Auza nyumba ya babake akimdai Sh200,000 Mbunge atilia shaka nyumba za Buxton ujenzi wazo ukiendelea kucheleweshwa Familia 100 zilizopoteza nyumba zao katika kisa cha moto South B hazijarudi makwao mwezi mmoja baada ya tukio Familia 15 zalala nje baada ya nyumba kubomolewa usiku Raia 104 wa Ethiopia watiwa mbaroni baada...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoNyumba
2850
tweets
DPP Haji asema anaiangalia upya faili ya kesi ya mtoto Pendo ili kuwashtaki maafisa wanaohusishwa na kifo chake kwenye machafuko ya baada ya uchaguzi Agosti 2017 MAKAMANDA 6 walioongoza oparesheni ambapo mtoto Pendo aliuawa 2017, Nyalenda wapatikana na hatia ya kifo chake. Makamanda waliochangia kifo cha mtoto Pendo Ki...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoPendo
2851
tweets
Amerika yafungia Taliban pesa Yaibuka Wizara ya Utalii imemumunya mabilioni ya pesa za umma IEBC motoni kuhusu pesa za kampeni FUNGUKA: Haja yangu pesa tu! Wanachama 500 waliogura UDA wasema chama hicho kinajihusisha zaidi na shughuli za kutengeneza pesa na kufumbia macho matakwa yao Pesa za wazee ziwafae wajane Wadai ...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoPesa
2852
tweets
Madiwani wataka kupewa bunduki kupambana na polisi Raila amtaka Mutyambai asafishe polisi kuondoa uozo Kianjokoma: Polisi mahabusu waomba DPP azimwe Polisi wasaka mshukiwa wa ugaidi aliyekwepa mtego wao Polisi amuua mpenzi wa pembeni aliyelazwa hospitalini Polisi sita wanaohusishwa na mauaji ya ndugu wawilli wa Embu wa...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoPolisi
2853
tweets
Ongea kwa sauti yenye mamlaka basi be kind Sauti imetosha Sam Soft - When Jesus Says Yes Followers Kusema sana sio kujua na kukaa kimya sio ujinga. Ni utambuzi wa mtu kujua ni nini kinastahili kusemwa na wakati gani na ktk mazingira gani. Ukimya waweza kuwa na sauti kubwa na kueleweka vyema.... Nazipinga sana tozo na k...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoSauti
2854
tweets
Uhuru, Raila wahudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais Hichilema Covid yalazimu baadhi kwenda Tz kwa sherehe Covid yalazimu baadhi kwenda Tz kwa sherehe Waislamu Kenya gizani kuhusu kuhudhuria sherehe za hija Benson Matheka: Rais hakufaa kutumia sherehe kutishia mahakama Mombasa yatoa kanuni za sherehe za Idd kuzuia maa...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoSherehe
2855
tweets
Wakosoa Magoha kutosajili shule Shule yakosa kupata wanafunzi wa kidato cha kwanza Covid-19: UN yarai mataifa kuanza kufungua shule zao TAHARIRI: Suluhu yahitajika shule za sekondari Wazazi wakiwa kwenye foleni katika benki ya KCB mjini Kakamega ili kulipia watoto wao karo wakati shule zikifunguliwa. Picha/ Isaac Wale ...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoShule
2856
tweets
Taliban wawapa wanajeshi wa Amerika siku 7 waondoke Serikali yapewa siku 7 kuzuia mgomo wa wahadhiri Corona yavuruga mipango ya vikosi siku chache kabla ya kipute cha EPL kuanza Siku 365 za kufa kupona Lakini nakala ya kidijitali ipo tu. Kwa siku zilizopita. Unaweza kuipakua hapa UMBEA: Siku hizi makahaba hawapo tena b...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoSiku
2857
tweets
Rais abadilisha simu baada ya jaribio la wadukuzi dhidi yake Ruto apigia debe mgombeaji wa UDA Kiambaa kupitia simu Je, unafahamu kuwa Kiswahili huzungumzwa katika mataifa 15 barani Afrika? Je, ni mara ngapi umejipata ukipimgia mwenzio simu kwa lugha ya Kiswahili? Bila shaka ni mara nyingi, lakini ni mara ngapi umemtum...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoSimu
2858
tweets
Kocha wa Kenya Morans Liz Mills atuzwa mpira wa dhahabu kwa kuwa mwanamke wa kwanza kuongoza timu ya wanaume AfroBasket
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoSoka
2859
tweets
TAHARIRI: Spoti: Serikali iwazie miundomsingi zaidi Wanahabari wa spoti wa NMG watwaa tuzo Zack Kinuthia afichua kuhusu mpango wa Sh5.6 bilioni kukuza vipaji vya spoti mashinani TAHARIRI: Kuwe na ari ya kufufua spoti Kocha afutwa Valencia, naye mkurugenzi wa spoti ajiuzulu TAHARIRI: Tutumie fursa hii kulainisha spoti T...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoSpoti
2860
tweets
JAMVI: Sura za kikosi cha Ruto katika BBI Uchafu Mto Ngong waharibu sura na sifa ya Nairobi Hospitali ya Igegania Gatundu kupata sura mpya Avuna kwa sura kama ya Uhuru Sura mbili za Raila kuhusu masaibu ya Waiguru Sura nne za Nyayo Muungano wa vijana dhidi ya ukeketaji waanza kuibadilisha sura ya Isiolo Hatujali sura y...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoSura
2861
tweets
GoK... don't try us...Why can't you distribute immune boosters to Elderlies wether unwell or not..so that we know u av good intentions..msituchezee tafathari
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoTafadhari
2862
tweets
Wavamiwa na nyuki baada ya kuiba mtungi wa gesi na televisheni Wakenya wakerwa na mbunge kuzindua televisheni Vituko vya ucheshi vimemfanya kuteka jicho na sikio la mashabiki wa televisheni kwa muda mrefu sasa. Siri ni nini na ana mpango upi wa siku za usoni? Bangaiza nasi kwenye Bambika Ijumaa hii LEO MAHAKAMANI: Mwan...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoTelevisheni
2863
tweets
Guardiola kuagana na Man-City 2023 akimezea ukocha wa timu ya taifa Shevchenko aacha kazi ya ukocha katika timu ya taifa ya Ukraine Kikosi cha Waterworks Kabete chajiimarisha licha ya kuwa miongoni mwa timu za jeshi zinazochipuza vipaji vya soka kwa kiota cha Ulinzi Stars NDONDI: Timu ya taifa yaimarisha maandalizi ya ...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoTimu
2864
tweets
FAUSTINE NGILA: Toka mjini, uchumi wa kidijitali umefika vijijini Mfumo wa kuinua uchumi bottom-up umetajwa kwenye Biblia Ruto CHARLES WASONGA: Serikali ikubali wazo la ODM uchumi ufunguliwe FAUSTINE NGILA: Toka mjini, uchumi wa kidijitali umefika vijijini Dkt Ruto: Shida si Katiba, shida ni uchumi na viongozi Ruto aig...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoUchumi
2865
tweets
UDAKU: Usicheze na Georgina, mapambo yake pekee ni bei ya Toyota Prado mbili!
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoUdaku
2866
tweets
Hakimu ashuku ipo njama kuchelewesha kesi ya ufisadi dhidi ya Jumwa Aisha Jumwa ashindwa kushawishi mahakama iahirishe kesi yake ya tuhuma za ufisadi Kesi za ufisadi: Haji ajitetea Watakaofichua sakata za ufisadi katika idara za serikali kutunukiwa Sh2 - 5 milioni kila mmoja DPP aagizwa kufichua ushahidi wa kesi ya ufi...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaleoUfisadi
2867
tweets
Natembeya awatimua maafisa wa usalama Serikali yakiri kudaiwa Sh16m za usalama wa baharini Wanawake sasa walilia usalama katika kampeni KINA CHA FIKRA: Kuteka watoto nyara ni unyama na hatari kwa usalama Mary Wangari: Mageuzi katika sekta ya kilimo yazingatie pia usalama wa raia Serikali kuhakikisha wakazi wa mitaa ya ...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoUsalama
2868
tweets
Natembeya aagiza vituo vya pombe vifungwe kijijini Hodi Hodi, Nakuru kuzuia vifo na maafa zaidi Vifo vinavyotokana na kufanya kazi kwa saa nyingi vimeongezeka duniani - WHO Vifo 174 na mahangaiko Israeli ikizidi kuwalipua Wapalestina Ajali ya mabasi mawili Kwa Shume yasababisha vifo vya si chini ya watu 14 Douglas Mutu...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoVifo
2869
tweets
Baadhi ya wanasoka wa haiba kubwa waliowahi kuondoka katika vikosi vyao wakiwa wachezaji nguli kabla ya kurejea Raila, Kalonzo wapeleka vita vyao Mt Kenya Mabeki Maguire na Tierney kurejea katika vikosi vyao vya kwanza wakati wa mechi ya Euro kati ya Uingereza na Scotland KAMAU: Viongozi wapalilie historia kwa kuandika...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoVyao
2870
tweets
Mutua ataka wizara ikomeshe mtindo wa wanafunzi kufika shuleni mapema sana Kamishna ataka serikali impe ndege ya kusaka wanafunzi
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoWanafunzi
2871
tweets
Wanasiasa watoroka mazishi ya Chidzuga kwa kuzuiwa kupiga siasa Viongozi wa kidini wasuta wanasiasa kupepeta corona Wanasiasa wakuu watatii kanuni au wataendelea kupepeta corona? Mizozo ya wanasiasa yaua ziara ya Uhuru Ukambani MAKALA MAALUM: Wanasiasa lawamani kwa kuwapa vijana mihadarati WANASIASA WALIPUA MLIMA Leona...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeowanaSiasa
2872
tweets
DOMO KAYA: Wanaume twakwama wapi? Matokeo mseto kwa Cereals Board handiboli, kina dada walimwa wanaume waking ara Wanaume wa Kenya wajikwaa dhidi ya Nigeria voliboli ya Afrika ya ufukweni Wanaume wahimizwa kuwajibikia vilivyo majukumu yao katika familia Ronaldo avunja rekodi ya ufungaji wa mabao kwenye soka ya Euro kwa...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoWanaume
2873
tweets
Ni kisasi, vita vya ubabe kati ya Faith na Hassan fainali 1500m wanawake leo China yavunja rekodi ya dunia kwenye uogeleaji wa 4x200m relay kwa upande wa wanawake Wanawake saba wakamatwa kwa kutengeneza pombe haramu katika mtaa wa mabanda MAKALA MAALUM: Mahangaiko tele ya kupata tiba yalazimu wanawake wa hapa kuwaendea...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoWanawake
2874
tweets
CF Montreal anayochezea Wanyama yang'ata Cincinnati Ligi Kuu ya MLS Peter Wanyama: BBI: Uamuzi wa korti waweza kukosolewa Nitajituma kufa kupona hadi Harambee Stars waingie Kombe la Dunia Qatar 2022 - Wanyama Olunga, Johanna na Wanyama wafurahisha waajiri wao katika soka ya majuu TAHARIRI: Serikali iige hisani yake Wan...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoWanyama
2875
tweets
Man-United wakomoa Leeds United na kutuma onyo kwa washindani wao wakuu EPL Viongozi wa OKA wataka Moi ataliki Uhuru ajiunge na muungano wao Washirika wa vigogo wasisitiza mwaniaji wao ndiye astahili Polio: Wazazi wahimizwa kuwapeleka watoto wao kwa chanjo West Brom wakataa ofa ya West Ham kwa ajili ya kipa wao raia wa...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoWao
2876
tweets
Msichana akiri kubadilisha vipimo vya mimba kuokoa aliyemnajisi Mtahiniwa wa KCPE afa baada ya kujifungua, familia ya mtahiniwa mwingine yaomboleza baada ya msichana kuteleza darajani na kufariki Mwalimu amkata mwenzake wakipigania msichana wa chuo Msichana aliyefufuka avutia umati Mwili wa msichana wapatikana bila mac...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoWasichana
2877
tweets
Watalii wafurika kupokea chanjo wenyeji wakisusia Balala awaonya watalii watundu WASONGA: Tufungulie watalii kutoka nchi za nje kwa uangalifu Watalii wafurika Kenya kuona pundamilia wa kipekee Ndani kwa kutumia bintiye kutapeli watalii Afisa wa sensa anaswa kwa kuiba pombe ya watalii BIASHARA YA UREMBO: Vipepeo wanavyo...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoWatalii
2878
tweets
Shule zakosa maji ya kupikia watoto Mjukuu wa Moi akubali watoto aliokana awali DCI yachunguza kisa cha watoto kufungwa
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoWatoto
2879
tweets
Kiunjuri abadilisha wimbo, sasa asakata Reggae ya BBI Ruto aongoza wimbo akirejea kanisani kwa kishindo Msanii Brother Nassir atunga wimbo wa mahadhi ya Kihindi kuangazia Covid-19 Huu wimbo wa Reggae kamwe haumlengi Ruto Raila Kalonzo ageuza wimbo, asema hataki Waziri Mkuu mwenye mamlaka JAMVI: Wimbo wa utachochea Wake...
Tweet
Tweet
Tweet
TaifaLeoWimbo
2880
tweets
MWANGAZA WA CHEPALUNGU Msitu uliharibika baada ya machafuko ya uchaguzi 2007/2008 Miti ya kiasili iliyokuwa kwenye msitu huu ilikuwa imekatwa Juhudi zinafanywa kuuokoa na kurejesha nuru ya msitu huu Mustakabali Wa OKA: Vinara na wanasiasa wa muungano huu wakutana Naivasha Mkutano unatarajiwa kupanga mikakati ya uchaguz...
Tweet
Tweet
Tweet
uchaguzi
2881
tweets
Kilimo biashara: Nyuni wa mapambo wanafugwa kwa sababu ya urembo. Nyama na mayai ni ya kipekee huku ndege mmoja akigharibu shilingi 40,000, sharti idhini kutoka kwa KWS. Walimbwende wa Trans Nzoia: Mashindano ya urembo. Malalamiko ya wanamitindo Urembo wa jiji wamponza Sonko: Gavana ajipata pabaya alipohojiwa na masene...
Tweet
Tweet
Tweet
urembo
2882
tweets
Vijana Wa ODM: Baadhi ya viongozi wa vijana wa ODM wataka Wafula Chebukati ajiuzulu Vijana wa ODM wadai mwenyekiti wa IEBC hayuko tayari kusimamia uchaguzi MAPUUZA KUHUSU CORONA Viongozi wa kidini wakemea wanasiasa wanaofanya mikutano ya hadhara Muheria: Suala la matatu kubeba abiria 100% linaongeza maambukizi Kenya ya...
Tweet
Tweet
Tweet
viongozi
2883
tweets
Mayatima Wapewa Ufadhili: Mayatima wanne waliokosa karo Mombasa wapewa ufadhili wa masomo Mwakilishi wadi wa Kaloleni Omar Ahmed na wahisani wawalipia karo Wazazi wa wanafunzi hao walifariki katika hali tatanishi Mombasa #SemaNaCitizen https://t.co/TNDgRDfKO2 Sodo kutoka polisi: Maafisa wa polisi watoa sodo kwa wa...
Tweet
Tweet
Tweet
wanafunzi
2884
tweets
Washukiwa Wa Utapeli Wanaume 3 wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha Narok Kaskazini Mwingine mmoja amefikishwa mahakamani kuhusiana na ulaghai Watu hao walikamatwa baada ya Benki ya Equity kuwasilisha malalamishi
Tweet
Tweet
Tweet
wanaume
2885
tweets
Uzazi Bila Mpango: Wanawake zaidi ya 60% hawapangi uzazi katika kaunti ya Samburu Kina mama wafunzwa mbinu za kupanga uzazi kaunti ya Samburu Wazazi wengi wateseka kwa kushindwa kuwalea watoto wengi Samburu Hamasisho Kwa Wanawake: Maafisa wa polisi Kisii wazuru maeneo ya vijijini kutoa hamasisho. Polisi watoa mafunzo k...
Tweet
Tweet
Tweet
wanawake
2886
tweets