id string | story_id string | context string | question string | answer string | paragraph_id string |
|---|---|---|---|---|---|
3830_swa_0 | 3830_swa | MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauzwa... | Ni katika nchi ipi kilimo ni muhimu | Kenya | x |
3830_swa_1 | 3830_swa | MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauzwa... | Mifugo hutupa nini | mbolea | x |
3830_swa_2 | 3830_swa | MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauzwa... | Asilia kubwa ya wakenya wanapenda nini | Mahindi | x |
3830_swa_3 | 3830_swa | MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauzwa... | Ni aslimia gani ya vifaa vinavyouzwa sokoni | 80% | x |
3830_swa_4 | 3830_swa | MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauzwa... | Ni vipi kilimo hupunguza usafiri wa watu kutoka vijiini | Kwa vile watu watajipa kazi wenyewe | x |
3830_swa_5 | 3830_swa | MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauzwa... | Kilimo ni muhimu katika nchi gani | Kenya | x |
3830_swa_6 | 3830_swa | MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauzwa... | Mahindi huuzwa wapi | Ng'ambo na nchini | x |
3830_swa_7 | 3830_swa | MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauzwa... | Vipi maisha huweza kuimarishwa kupitia kwa kuku | Kwa kuuza mayai | x |
3830_swa_8 | 3830_swa | MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauzwa... | Kilimo ni muhimu katika nchi gani | Kenya | x |
3830_swa_9 | 3830_swa | MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauzwa... | Ni nini hutupa mbolea kupitia kwa vinyesi | mifugo | x |
3830_swa_10 | 3830_swa | MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauzwa... | Kilimo cha nafaka gani ni muhimu sana | Mahindi | x |
3830_swa_11 | 3830_swa | MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauzwa... | Asilimia gani ya vifaa vinavyouzwa sokoni ni zao la kilimo | 80 | x |
3830_swa_12 | 3830_swa | MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauzwa... | Kwa nini wakulima wazingatie kilimo | Ili waweze kupata chakula | x |
3213_swa_0 | 3213_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za tekn... | Ni nini maarifa ya sayansi | Tekinolojia | x |
3213_swa_1 | 3213_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za tekn... | Wanafunzi wanasiliana na nini | E-mail | x |
3213_swa_2 | 3213_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za tekn... | Tekinolojia imewafanya wanafunzi kuangalia filamu zipi | Za ngono | x |
3213_swa_3 | 3213_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za tekn... | Kwa nini tekinolojia ina hasara kwa wanafunzi | Wanafunzi hupoteza muda wakifanya mambo ya kiupuzi | x |
3213_swa_4 | 3213_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za tekn... | Walimu wanatumia nini kuwafunza wanafunzi | Mitandao | x |
3213_swa_5 | 3213_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za tekn... | Nchini wanafunzi wengi wanasoma somo lipi | Kompyuta | x |
3213_swa_6 | 3213_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za tekn... | Wnafunzi wanaweza kuwasilana kwa kutumia nini | E-mail | x |
3213_swa_7 | 3213_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za tekn... | Kwa nini wanafunzi wa sekondari huzorotesha masomo yao | Wanapoteza muda mwingi wakifanya mambo ya kiupuzi | x |
3213_swa_8 | 3213_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za tekn... | Tekinolojia imewezesha wanafunzi kutumia nini | Mitandao | x |
3213_swa_9 | 3213_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za tekn... | Shule za Sekondari wanafunzi wanafunzwa somo lipi | Kompyuta | x |
3213_swa_10 | 3213_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za tekn... | Tekinolojia inafanya wanafunzi waangalie filamu za nini | Ngono | x |
3213_swa_11 | 3213_swa | FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za tekn... | Kwa nini masomo ya wanafunzi huzorota | Wanafunzi wanatumia muda mwingi mtandaoni wakifanya mambo ya kipuzi | x |
0189_swa_0 | 0189_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu kilimo au zaraa inafaa kuwekwa kama kitu bora au muhimu. Maana bila kilimo watu hawatokuwa na kazi na wengine watakosa vyakula tatizo la kilimo nchini mwetu Kenya imesababishwa na uvivu wa wakulima na kutojua mbinu za kisasa za kilimo. Ta... | Kilimo ni nini nchini mwetu? | Uti wa mgogo | x |
0189_swa_1 | 0189_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu kilimo au zaraa inafaa kuwekwa kama kitu bora au muhimu. Maana bila kilimo watu hawatokuwa na kazi na wengine watakosa vyakula tatizo la kilimo nchini mwetu Kenya imesababishwa na uvivu wa wakulima na kutojua mbinu za kisasa za kilimo. Ta... | Kilimo kina umuhimu gani? ? | Hutoa nafasi za kazi Kwa wakuli, watu hupata vyakula | x |
0189_swa_2 | 0189_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu kilimo au zaraa inafaa kuwekwa kama kitu bora au muhimu. Maana bila kilimo watu hawatokuwa na kazi na wengine watakosa vyakula tatizo la kilimo nchini mwetu Kenya imesababishwa na uvivu wa wakulima na kutojua mbinu za kisasa za kilimo. Ta... | Taja njia za kuimarisha kilimo | Kujenga vituo vya elimisha wakulima kuhusu kilimo, somo la lazima lifanywe lazima ili wakulima wajue njia za kilimo | x |
0189_swa_3 | 0189_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu kilimo au zaraa inafaa kuwekwa kama kitu bora au muhimu. Maana bila kilimo watu hawatokuwa na kazi na wengine watakosa vyakula tatizo la kilimo nchini mwetu Kenya imesababishwa na uvivu wa wakulima na kutojua mbinu za kisasa za kilimo. Ta... | Kwa nini watu huhamia mjini? | Kutafita kazi | x |
0189_swa_4 | 0189_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu kilimo au zaraa inafaa kuwekwa kama kitu bora au muhimu. Maana bila kilimo watu hawatokuwa na kazi na wengine watakosa vyakula tatizo la kilimo nchini mwetu Kenya imesababishwa na uvivu wa wakulima na kutojua mbinu za kisasa za kilimo. Ta... | Kilimo kina matatizo gani? | Uvivu wa watu kulima, kutojua mbinu za kisasa za kilimoza kilimo | x |
0189_swa_5 | 0189_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu kilimo au zaraa inafaa kuwekwa kama kitu bora au muhimu. Maana bila kilimo watu hawatokuwa na kazi na wengine watakosa vyakula tatizo la kilimo nchini mwetu Kenya imesababishwa na uvivu wa wakulima na kutojua mbinu za kisasa za kilimo. Ta... | Ni nini uti wa mgongo wa nchi | Kilimo | x |
0189_swa_6 | 0189_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu kilimo au zaraa inafaa kuwekwa kama kitu bora au muhimu. Maana bila kilimo watu hawatokuwa na kazi na wengine watakosa vyakula tatizo la kilimo nchini mwetu Kenya imesababishwa na uvivu wa wakulima na kutojua mbinu za kisasa za kilimo. Ta... | Taja neno lingine Sawa na kilimo | Zaraa | x |
0189_swa_7 | 0189_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu kilimo au zaraa inafaa kuwekwa kama kitu bora au muhimu. Maana bila kilimo watu hawatokuwa na kazi na wengine watakosa vyakula tatizo la kilimo nchini mwetu Kenya imesababishwa na uvivu wa wakulima na kutojua mbinu za kisasa za kilimo. Ta... | Vituo vijengwe kuelimisha nani | Wakulima | x |
0189_swa_8 | 0189_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu kilimo au zaraa inafaa kuwekwa kama kitu bora au muhimu. Maana bila kilimo watu hawatokuwa na kazi na wengine watakosa vyakula tatizo la kilimo nchini mwetu Kenya imesababishwa na uvivu wa wakulima na kutojua mbinu za kisasa za kilimo. Ta... | Wakulima wapande mimea inayostahili nini | Ukame | x |
0189_swa_9 | 0189_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu kilimo au zaraa inafaa kuwekwa kama kitu bora au muhimu. Maana bila kilimo watu hawatokuwa na kazi na wengine watakosa vyakula tatizo la kilimo nchini mwetu Kenya imesababishwa na uvivu wa wakulima na kutojua mbinu za kisasa za kilimo. Ta... | Kilimo kina matatizo gani? | Wakima kutojua mbinu za kisasa za kilimo | x |
0191_swa_0 | 0191_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI Ufisadi ni wizi wa mali ya umma katika mashirika ya umma au serikali. Ufisadi ulianza kitambo sana kwa sababu katika Biblia Musa amelaani ufisadi. Ufisadi umeenea nchini na kuwa tata sana hivi kwamba unatisha kuharibu misingi ya jamii. Ufisadi unaweza kutokea kwa njia m... | Nani amelaani ufisadi | Musa | x |
0191_swa_1 | 0191_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI Ufisadi ni wizi wa mali ya umma katika mashirika ya umma au serikali. Ufisadi ulianza kitambo sana kwa sababu katika Biblia Musa amelaani ufisadi. Ufisadi umeenea nchini na kuwa tata sana hivi kwamba unatisha kuharibu misingi ya jamii. Ufisadi unaweza kutokea kwa njia m... | Ufisadi wa rushwa husababishwa na nani | wananchi | x |
0191_swa_2 | 0191_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI Ufisadi ni wizi wa mali ya umma katika mashirika ya umma au serikali. Ufisadi ulianza kitambo sana kwa sababu katika Biblia Musa amelaani ufisadi. Ufisadi umeenea nchini na kuwa tata sana hivi kwamba unatisha kuharibu misingi ya jamii. Ufisadi unaweza kutokea kwa njia m... | Wavunja sheria wanapaswa watiwe wapi | mbaroni | x |
0191_swa_3 | 0191_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI Ufisadi ni wizi wa mali ya umma katika mashirika ya umma au serikali. Ufisadi ulianza kitambo sana kwa sababu katika Biblia Musa amelaani ufisadi. Ufisadi umeenea nchini na kuwa tata sana hivi kwamba unatisha kuharibu misingi ya jamii. Ufisadi unaweza kutokea kwa njia m... | Viongozi wakipata misaada huwapatia nani? | watu wake | x |
0191_swa_4 | 0191_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI Ufisadi ni wizi wa mali ya umma katika mashirika ya umma au serikali. Ufisadi ulianza kitambo sana kwa sababu katika Biblia Musa amelaani ufisadi. Ufisadi umeenea nchini na kuwa tata sana hivi kwamba unatisha kuharibu misingi ya jamii. Ufisadi unaweza kutokea kwa njia m... | Mbona askari hupewa hongo | ili asipeleke washtakiwa gerezani | x |
0191_swa_5 | 0191_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI Ufisadi ni wizi wa mali ya umma katika mashirika ya umma au serikali. Ufisadi ulianza kitambo sana kwa sababu katika Biblia Musa amelaani ufisadi. Ufisadi umeenea nchini na kuwa tata sana hivi kwamba unatisha kuharibu misingi ya jamii. Ufisadi unaweza kutokea kwa njia m... | Ufisadi ulianza lini | kitambo sana | x |
0191_swa_6 | 0191_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI Ufisadi ni wizi wa mali ya umma katika mashirika ya umma au serikali. Ufisadi ulianza kitambo sana kwa sababu katika Biblia Musa amelaani ufisadi. Ufisadi umeenea nchini na kuwa tata sana hivi kwamba unatisha kuharibu misingi ya jamii. Ufisadi unaweza kutokea kwa njia m... | Nani amelaani ufisadi katika Biblia | Musa | x |
0191_swa_7 | 0191_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI Ufisadi ni wizi wa mali ya umma katika mashirika ya umma au serikali. Ufisadi ulianza kitambo sana kwa sababu katika Biblia Musa amelaani ufisadi. Ufisadi umeenea nchini na kuwa tata sana hivi kwamba unatisha kuharibu misingi ya jamii. Ufisadi unaweza kutokea kwa njia m... | Ufisadi wa rushwa husababishwa na nani | wananchi | x |
0191_swa_8 | 0191_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI Ufisadi ni wizi wa mali ya umma katika mashirika ya umma au serikali. Ufisadi ulianza kitambo sana kwa sababu katika Biblia Musa amelaani ufisadi. Ufisadi umeenea nchini na kuwa tata sana hivi kwamba unatisha kuharibu misingi ya jamii. Ufisadi unaweza kutokea kwa njia m... | Rwanda imechukua nafsi ya ngapi | hamsini na tano | x |
0191_swa_9 | 0191_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI Ufisadi ni wizi wa mali ya umma katika mashirika ya umma au serikali. Ufisadi ulianza kitambo sana kwa sababu katika Biblia Musa amelaani ufisadi. Ufisadi umeenea nchini na kuwa tata sana hivi kwamba unatisha kuharibu misingi ya jamii. Ufisadi unaweza kutokea kwa njia m... | Mbona madaktari wafisadi wafutwe kazi | ili wafundishwe adhabu | x |
0197_swa_0 | 0197_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALI MBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI Ni dhahiri kwamba ufisadi ni mojawapo ya balaa inayokumba nchi yetu. Tunaona kwamba uchunguzi uliofanywa na Shirika la Transparency International hivi karibuni unasema kuwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zimefanya vyema duniani katika kupambana na ufisadi... | Shirika gani lilifanya uchungu I kuhusu namna ya kukabiliana na ufisadi | Transparency international | x |
0197_swa_1 | 0197_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALI MBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI Ni dhahiri kwamba ufisadi ni mojawapo ya balaa inayokumba nchi yetu. Tunaona kwamba uchunguzi uliofanywa na Shirika la Transparency International hivi karibuni unasema kuwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zimefanya vyema duniani katika kupambana na ufisadi... | Kenya ni taifa nambari ngapi ulimwenguni kupiga a na ufisadi | 145 | x |
0197_swa_2 | 0197_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALI MBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI Ni dhahiri kwamba ufisadi ni mojawapo ya balaa inayokumba nchi yetu. Tunaona kwamba uchunguzi uliofanywa na Shirika la Transparency International hivi karibuni unasema kuwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zimefanya vyema duniani katika kupambana na ufisadi... | Taifa gani limedorora katika Vita dhidi ya ufisadi | Kenya | x |
0197_swa_3 | 0197_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALI MBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI Ni dhahiri kwamba ufisadi ni mojawapo ya balaa inayokumba nchi yetu. Tunaona kwamba uchunguzi uliofanywa na Shirika la Transparency International hivi karibuni unasema kuwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zimefanya vyema duniani katika kupambana na ufisadi... | Taja Aina moja ya ufisadi | Kutoa na kukubabili rushwa | x |
0197_swa_4 | 0197_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALI MBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI Ni dhahiri kwamba ufisadi ni mojawapo ya balaa inayokumba nchi yetu. Tunaona kwamba uchunguzi uliofanywa na Shirika la Transparency International hivi karibuni unasema kuwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zimefanya vyema duniani katika kupambana na ufisadi... | Kwa nini baadhi ya wazazi hutoa rushwa | Ili watoto wao wopzte kazi | x |
0197_swa_5 | 0197_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALI MBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI Ni dhahiri kwamba ufisadi ni mojawapo ya balaa inayokumba nchi yetu. Tunaona kwamba uchunguzi uliofanywa na Shirika la Transparency International hivi karibuni unasema kuwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zimefanya vyema duniani katika kupambana na ufisadi... | Nini huzorotesha uchumi wa nchi? | Ufisadi | x |
0197_swa_6 | 0197_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALI MBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI Ni dhahiri kwamba ufisadi ni mojawapo ya balaa inayokumba nchi yetu. Tunaona kwamba uchunguzi uliofanywa na Shirika la Transparency International hivi karibuni unasema kuwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zimefanya vyema duniani katika kupambana na ufisadi... | Kubagua watu kutokana na rangi yao ni nini? | Ufisadi | x |
0197_swa_7 | 0197_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALI MBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI Ni dhahiri kwamba ufisadi ni mojawapo ya balaa inayokumba nchi yetu. Tunaona kwamba uchunguzi uliofanywa na Shirika la Transparency International hivi karibuni unasema kuwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zimefanya vyema duniani katika kupambana na ufisadi... | Ukabila unapatikana nchi gani? | Kenya | x |
0197_swa_8 | 0197_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALI MBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI Ni dhahiri kwamba ufisadi ni mojawapo ya balaa inayokumba nchi yetu. Tunaona kwamba uchunguzi uliofanywa na Shirika la Transparency International hivi karibuni unasema kuwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zimefanya vyema duniani katika kupambana na ufisadi... | Rwanda inapatikana eneo lipi la Afrika? | Mashariki | x |
0197_swa_9 | 0197_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALI MBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI Ni dhahiri kwamba ufisadi ni mojawapo ya balaa inayokumba nchi yetu. Tunaona kwamba uchunguzi uliofanywa na Shirika la Transparency International hivi karibuni unasema kuwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zimefanya vyema duniani katika kupambana na ufisadi... | Ufisadi husababisha nini nchini? | Kuongezeka kwa viwango vya ufisadi | x |
0225_swa_0 | 0225_swa | KURIA ADAI BBI INA RIPOTI FICHE. Kulingana naye, Waziri Mkuu angekuwa na manaibu wawili huku idadi ya maeneo bunge ikiongezwa. Anasema kuwa, serikali inataka kubuniwa kwa nafasi za Waziri Mkuu na manaibu wake kwa kuwa haina nyadhifa zozote za kuwapa viongozi wa Upinzani waliokumbatia handsheki. Ripoti ilidumisha maeneo... | Kulingana na taarifa waziri mkuu angekuwa na manaibu wangapi | Wawili | 1 |
0225_swa_1 | 0225_swa | KURIA ADAI BBI INA RIPOTI FICHE. Kulingana naye, Waziri Mkuu angekuwa na manaibu wawili huku idadi ya maeneo bunge ikiongezwa. Anasema kuwa, serikali inataka kubuniwa kwa nafasi za Waziri Mkuu na manaibu wake kwa kuwa haina nyadhifa zozote za kuwapa viongozi wa Upinzani waliokumbatia handsheki. Ripoti ilidumisha maeneo... | Kwa nini serikali inapendekeza kubuniwe nafasi za waziri mkuu na manaibu wake | Haina nyadhifa zozote za kuwapa viongozi wa upinzani waliokumbatia handishake | 2 |
0225_swa_2 | 0225_swa | KURIA ADAI BBI INA RIPOTI FICHE. Kulingana naye, Waziri Mkuu angekuwa na manaibu wawili huku idadi ya maeneo bunge ikiongezwa. Anasema kuwa, serikali inataka kubuniwa kwa nafasi za Waziri Mkuu na manaibu wake kwa kuwa haina nyadhifa zozote za kuwapa viongozi wa Upinzani waliokumbatia handsheki. Ripoti ilidumisha maeneo... | Ripoti ilipendekeza idumishe maeneo bunge na kaunti ngapi | Maeneo bunge 290 na kaunti 47 | 3 |
0225_swa_3 | 0225_swa | KURIA ADAI BBI INA RIPOTI FICHE. Kulingana naye, Waziri Mkuu angekuwa na manaibu wawili huku idadi ya maeneo bunge ikiongezwa. Anasema kuwa, serikali inataka kubuniwa kwa nafasi za Waziri Mkuu na manaibu wake kwa kuwa haina nyadhifa zozote za kuwapa viongozi wa Upinzani waliokumbatia handsheki. Ripoti ilidumisha maeneo... | Ripoti hiyo ilizinduliwa wapi | Katika jumba la Bomas, jinini Nairobi | 5 |
0225_swa_4 | 0225_swa | KURIA ADAI BBI INA RIPOTI FICHE. Kulingana naye, Waziri Mkuu angekuwa na manaibu wawili huku idadi ya maeneo bunge ikiongezwa. Anasema kuwa, serikali inataka kubuniwa kwa nafasi za Waziri Mkuu na manaibu wake kwa kuwa haina nyadhifa zozote za kuwapa viongozi wa Upinzani waliokumbatia handsheki. Ripoti ilidumisha maeneo... | Kamati iliyosimamiwa na seneta haji ilitoa mapendekezo yapi | Kaunti zihimizwe kuunda miungano ya kimaeneo kukuza uchumi kwa hiari | 4 |
0225_swa_5 | 0225_swa | KURIA ADAI BBI INA RIPOTI FICHE. Kulingana naye, Waziri Mkuu angekuwa na manaibu wawili huku idadi ya maeneo bunge ikiongezwa. Anasema kuwa, serikali inataka kubuniwa kwa nafasi za Waziri Mkuu na manaibu wake kwa kuwa haina nyadhifa zozote za kuwapa viongozi wa Upinzani waliokumbatia handsheki. Ripoti ilidumisha maeneo... | Ni wapi Naibu rais alikokutanana jumbe? | Sugoi, kaunti ya Uasin Gichu | 1 |
0225_swa_6 | 0225_swa | KURIA ADAI BBI INA RIPOTI FICHE. Kulingana naye, Waziri Mkuu angekuwa na manaibu wawili huku idadi ya maeneo bunge ikiongezwa. Anasema kuwa, serikali inataka kubuniwa kwa nafasi za Waziri Mkuu na manaibu wake kwa kuwa haina nyadhifa zozote za kuwapa viongozi wa Upinzani waliokumbatia handsheki. Ripoti ilidumisha maeneo... | Jumbe lililopokelewa na Dkt Ruto linatoka eneo lipi? | Bonde la Ufa | 2 |
0225_swa_7 | 0225_swa | KURIA ADAI BBI INA RIPOTI FICHE. Kulingana naye, Waziri Mkuu angekuwa na manaibu wawili huku idadi ya maeneo bunge ikiongezwa. Anasema kuwa, serikali inataka kubuniwa kwa nafasi za Waziri Mkuu na manaibu wake kwa kuwa haina nyadhifa zozote za kuwapa viongozi wa Upinzani waliokumbatia handsheki. Ripoti ilidumisha maeneo... | Dkt Ruto amekuwa akipokea jumbe kwa muda upi? | Kwa miaka mitatu iliyopita | 3 |
0225_swa_8 | 0225_swa | KURIA ADAI BBI INA RIPOTI FICHE. Kulingana naye, Waziri Mkuu angekuwa na manaibu wawili huku idadi ya maeneo bunge ikiongezwa. Anasema kuwa, serikali inataka kubuniwa kwa nafasi za Waziri Mkuu na manaibu wake kwa kuwa haina nyadhifa zozote za kuwapa viongozi wa Upinzani waliokumbatia handsheki. Ripoti ilidumisha maeneo... | Dkt Ruto anatumia mikutano kujipigia debe kuhusiana na uchaguzi wa lini? | Uchaguzi wa 2022 | 5 |
0225_swa_9 | 0225_swa | KURIA ADAI BBI INA RIPOTI FICHE. Kulingana naye, Waziri Mkuu angekuwa na manaibu wawili huku idadi ya maeneo bunge ikiongezwa. Anasema kuwa, serikali inataka kubuniwa kwa nafasi za Waziri Mkuu na manaibu wake kwa kuwa haina nyadhifa zozote za kuwapa viongozi wa Upinzani waliokumbatia handsheki. Ripoti ilidumisha maeneo... | Mbona jamii ya magharibi imeamua kusimama na Naibu rais? | Amedhihirisha kujali maslahi na ataifanyia mengi jamii akitwaa urais | 11 |
0227_swa_0 | 0227_swa | UHURU AJISALITI Hatua ya Rais Kenyatta kujaribu kuvuruga mpango wa madiwani wa Nairobi kumtimua Gavana Mike Sonko, imetajwa kuwa ishara ya kutojitolea kwake katika kupigana na ufisadi na pia kuhakikisha uongozi bora. Wadadisi wanasema kuwa jaribio hilo la kuwaomba madiwani wasimtimue Bw Sonko, ambaye anakabiliwa na kes... | Ni nani anakabiliwa na wizi wa mamilioni ya pesa | Sonko | 2 |
0227_swa_1 | 0227_swa | UHURU AJISALITI Hatua ya Rais Kenyatta kujaribu kuvuruga mpango wa madiwani wa Nairobi kumtimua Gavana Mike Sonko, imetajwa kuwa ishara ya kutojitolea kwake katika kupigana na ufisadi na pia kuhakikisha uongozi bora. Wadadisi wanasema kuwa jaribio hilo la kuwaomba madiwani wasimtimue Bw Sonko, ambaye anakabiliwa na kes... | Ni nani alikiri kuwa uongozi wa Sonko ni duni | Uhuru Kenyatta | 4 |
0227_swa_2 | 0227_swa | UHURU AJISALITI Hatua ya Rais Kenyatta kujaribu kuvuruga mpango wa madiwani wa Nairobi kumtimua Gavana Mike Sonko, imetajwa kuwa ishara ya kutojitolea kwake katika kupigana na ufisadi na pia kuhakikisha uongozi bora. Wadadisi wanasema kuwa jaribio hilo la kuwaomba madiwani wasimtimue Bw Sonko, ambaye anakabiliwa na kes... | Idara za uchukuzi, afya, ujenzi na mipango zilichukuliwa na serikali gani | Kuu | 5 |
0227_swa_3 | 0227_swa | UHURU AJISALITI Hatua ya Rais Kenyatta kujaribu kuvuruga mpango wa madiwani wa Nairobi kumtimua Gavana Mike Sonko, imetajwa kuwa ishara ya kutojitolea kwake katika kupigana na ufisadi na pia kuhakikisha uongozi bora. Wadadisi wanasema kuwa jaribio hilo la kuwaomba madiwani wasimtimue Bw Sonko, ambaye anakabiliwa na kes... | Kaunti za Kiambu, Kajiado na Machakos zinapakana na jiji lipi | Nairobi | 11 |
0227_swa_4 | 0227_swa | UHURU AJISALITI Hatua ya Rais Kenyatta kujaribu kuvuruga mpango wa madiwani wa Nairobi kumtimua Gavana Mike Sonko, imetajwa kuwa ishara ya kutojitolea kwake katika kupigana na ufisadi na pia kuhakikisha uongozi bora. Wadadisi wanasema kuwa jaribio hilo la kuwaomba madiwani wasimtimue Bw Sonko, ambaye anakabiliwa na kes... | Nani aliwasilisha hoja ya kutaka kumtimua Sonko | Peter Imwatok | 19 |
0227_swa_5 | 0227_swa | UHURU AJISALITI Hatua ya Rais Kenyatta kujaribu kuvuruga mpango wa madiwani wa Nairobi kumtimua Gavana Mike Sonko, imetajwa kuwa ishara ya kutojitolea kwake katika kupigana na ufisadi na pia kuhakikisha uongozi bora. Wadadisi wanasema kuwa jaribio hilo la kuwaomba madiwani wasimtimue Bw Sonko, ambaye anakabiliwa na kes... | Uhuru anataka kuvuruga mipango ya madiwani wa wapi | Nairobi | 1 |
0227_swa_6 | 0227_swa | UHURU AJISALITI Hatua ya Rais Kenyatta kujaribu kuvuruga mpango wa madiwani wa Nairobi kumtimua Gavana Mike Sonko, imetajwa kuwa ishara ya kutojitolea kwake katika kupigana na ufisadi na pia kuhakikisha uongozi bora. Wadadisi wanasema kuwa jaribio hilo la kuwaomba madiwani wasimtimue Bw Sonko, ambaye anakabiliwa na kes... | Raisi alikiri kuwa uongozi wa Sonko ni nini | duni | 4 |
0227_swa_7 | 0227_swa | UHURU AJISALITI Hatua ya Rais Kenyatta kujaribu kuvuruga mpango wa madiwani wa Nairobi kumtimua Gavana Mike Sonko, imetajwa kuwa ishara ya kutojitolea kwake katika kupigana na ufisadi na pia kuhakikisha uongozi bora. Wadadisi wanasema kuwa jaribio hilo la kuwaomba madiwani wasimtimue Bw Sonko, ambaye anakabiliwa na kes... | Mwanauchumi mashuhuri anaitwa nani | Dkt. David Ndii | 11 |
0227_swa_8 | 0227_swa | UHURU AJISALITI Hatua ya Rais Kenyatta kujaribu kuvuruga mpango wa madiwani wa Nairobi kumtimua Gavana Mike Sonko, imetajwa kuwa ishara ya kutojitolea kwake katika kupigana na ufisadi na pia kuhakikisha uongozi bora. Wadadisi wanasema kuwa jaribio hilo la kuwaomba madiwani wasimtimue Bw Sonko, ambaye anakabiliwa na kes... | Raisi anafaa awache madiwani wa Nairobi wamtimue nani | Sonko | 7 |
0227_swa_9 | 0227_swa | UHURU AJISALITI Hatua ya Rais Kenyatta kujaribu kuvuruga mpango wa madiwani wa Nairobi kumtimua Gavana Mike Sonko, imetajwa kuwa ishara ya kutojitolea kwake katika kupigana na ufisadi na pia kuhakikisha uongozi bora. Wadadisi wanasema kuwa jaribio hilo la kuwaomba madiwani wasimtimue Bw Sonko, ambaye anakabiliwa na kes... | Prof. Makau Mutua anasema kuwa Raisi Kenyatta hana nia ya kupambana na nini | Ufisadi | 6 |
0232_swa_0 | 0232_swa | MAGAVANA KUPINGA UAMUZI KUFURUSHWA OFISINI BARAZA la Magavana linawaza kwenda mahakamani kupinga agizo ambalo huhitaji magavana kutoingia afisini wanaposhtakiwa kwa madai ya ufisadi. Agizo hilo lilianza kutolewa wakati Jaji Mumbi Ngugi alipomfungia nje Gavana wa Samburu, Moses Lenolkulal. Akizungumza Nairobi jana, Mwen... | Ni baraza lipi linawazia kwenda mahakamani | Magavana | 1 |
0232_swa_1 | 0232_swa | MAGAVANA KUPINGA UAMUZI KUFURUSHWA OFISINI BARAZA la Magavana linawaza kwenda mahakamani kupinga agizo ambalo huhitaji magavana kutoingia afisini wanaposhtakiwa kwa madai ya ufisadi. Agizo hilo lilianza kutolewa wakati Jaji Mumbi Ngugi alipomfungia nje Gavana wa Samburu, Moses Lenolkulal. Akizungumza Nairobi jana, Mwen... | Ni nani mwenyekiti wa baraza la magavana | Oparanya | 3 |
0232_swa_2 | 0232_swa | MAGAVANA KUPINGA UAMUZI KUFURUSHWA OFISINI BARAZA la Magavana linawaza kwenda mahakamani kupinga agizo ambalo huhitaji magavana kutoingia afisini wanaposhtakiwa kwa madai ya ufisadi. Agizo hilo lilianza kutolewa wakati Jaji Mumbi Ngugi alipomfungia nje Gavana wa Samburu, Moses Lenolkulal. Akizungumza Nairobi jana, Mwen... | Oparanya alisema wanatafuta ushauri kutoka mkuu yupi | Mwanasheria | 5 |
0232_swa_3 | 0232_swa | MAGAVANA KUPINGA UAMUZI KUFURUSHWA OFISINI BARAZA la Magavana linawaza kwenda mahakamani kupinga agizo ambalo huhitaji magavana kutoingia afisini wanaposhtakiwa kwa madai ya ufisadi. Agizo hilo lilianza kutolewa wakati Jaji Mumbi Ngugi alipomfungia nje Gavana wa Samburu, Moses Lenolkulal. Akizungumza Nairobi jana, Mwen... | Ni kaunti ipi ambayo haijakuwa na naibu wa gavana | Nairobi | 8 |
0232_swa_4 | 0232_swa | MAGAVANA KUPINGA UAMUZI KUFURUSHWA OFISINI BARAZA la Magavana linawaza kwenda mahakamani kupinga agizo ambalo huhitaji magavana kutoingia afisini wanaposhtakiwa kwa madai ya ufisadi. Agizo hilo lilianza kutolewa wakati Jaji Mumbi Ngugi alipomfungia nje Gavana wa Samburu, Moses Lenolkulal. Akizungumza Nairobi jana, Mwen... | Sonko amependekeza nani awe naibu gavana | Miguna | 9 |
0232_swa_5 | 0232_swa | MAGAVANA KUPINGA UAMUZI KUFURUSHWA OFISINI BARAZA la Magavana linawaza kwenda mahakamani kupinga agizo ambalo huhitaji magavana kutoingia afisini wanaposhtakiwa kwa madai ya ufisadi. Agizo hilo lilianza kutolewa wakati Jaji Mumbi Ngugi alipomfungia nje Gavana wa Samburu, Moses Lenolkulal. Akizungumza Nairobi jana, Mwen... | Baraza za magavana linawazia kwenda wapi | Mahakamani | 1 |
0232_swa_6 | 0232_swa | MAGAVANA KUPINGA UAMUZI KUFURUSHWA OFISINI BARAZA la Magavana linawaza kwenda mahakamani kupinga agizo ambalo huhitaji magavana kutoingia afisini wanaposhtakiwa kwa madai ya ufisadi. Agizo hilo lilianza kutolewa wakati Jaji Mumbi Ngugi alipomfungia nje Gavana wa Samburu, Moses Lenolkulal. Akizungumza Nairobi jana, Mwen... | Jaji gani alimfungia nje gavana wa Samburu | Mumbi Ngugi | 2 |
0232_swa_7 | 0232_swa | MAGAVANA KUPINGA UAMUZI KUFURUSHWA OFISINI BARAZA la Magavana linawaza kwenda mahakamani kupinga agizo ambalo huhitaji magavana kutoingia afisini wanaposhtakiwa kwa madai ya ufisadi. Agizo hilo lilianza kutolewa wakati Jaji Mumbi Ngugi alipomfungia nje Gavana wa Samburu, Moses Lenolkulal. Akizungumza Nairobi jana, Mwen... | Mwenyekiti wa baraza la magavana anaitwa nani | Wyclife Oparanya | 3 |
0232_swa_8 | 0232_swa | MAGAVANA KUPINGA UAMUZI KUFURUSHWA OFISINI BARAZA la Magavana linawaza kwenda mahakamani kupinga agizo ambalo huhitaji magavana kutoingia afisini wanaposhtakiwa kwa madai ya ufisadi. Agizo hilo lilianza kutolewa wakati Jaji Mumbi Ngugi alipomfungia nje Gavana wa Samburu, Moses Lenolkulal. Akizungumza Nairobi jana, Mwen... | Miguna amepangwa kurudi nchini mwezi upi | Januari | 10 |
0232_swa_9 | 0232_swa | MAGAVANA KUPINGA UAMUZI KUFURUSHWA OFISINI BARAZA la Magavana linawaza kwenda mahakamani kupinga agizo ambalo huhitaji magavana kutoingia afisini wanaposhtakiwa kwa madai ya ufisadi. Agizo hilo lilianza kutolewa wakati Jaji Mumbi Ngugi alipomfungia nje Gavana wa Samburu, Moses Lenolkulal. Akizungumza Nairobi jana, Mwen... | Sonko anatarajiwa kushtakiwa kulumbana na nani | Polisi | 11 |
0282_swa_0 | 0282_swa | Dkt Khalid Omar Mohammed Kitito-mwalimu, mwandishi, mhadhiri na mtafiti wa Kiswahili. zaidi ya kuzamia taaluma zao mbalimbali ipo haja kwa vijana kujifundisha kazi mbalimbali za mikono. Hatua hii itawapa njia mbadala za kujipatia riziki hasa ikizingatiwa mabadiliko ya mara kwa mara katika mfumo wa maisha. Ukiona vyae... | Kitito alizaliwa mwaka upi | 1969 | 6 |
0282_swa_1 | 0282_swa | Dkt Khalid Omar Mohammed Kitito-mwalimu, mwandishi, mhadhiri na mtafiti wa Kiswahili. zaidi ya kuzamia taaluma zao mbalimbali ipo haja kwa vijana kujifundisha kazi mbalimbali za mikono. Hatua hii itawapa njia mbadala za kujipatia riziki hasa ikizingatiwa mabadiliko ya mara kwa mara katika mfumo wa maisha. Ukiona vyae... | Alianza masomo ya chekechea mwaka upi | 1975 | 7 |
0282_swa_2 | 0282_swa | Dkt Khalid Omar Mohammed Kitito-mwalimu, mwandishi, mhadhiri na mtafiti wa Kiswahili. zaidi ya kuzamia taaluma zao mbalimbali ipo haja kwa vijana kujifundisha kazi mbalimbali za mikono. Hatua hii itawapa njia mbadala za kujipatia riziki hasa ikizingatiwa mabadiliko ya mara kwa mara katika mfumo wa maisha. Ukiona vyae... | Alijiunga na shule ya Msingi ipi | Mtopanga | 8 |
0282_swa_3 | 0282_swa | Dkt Khalid Omar Mohammed Kitito-mwalimu, mwandishi, mhadhiri na mtafiti wa Kiswahili. zaidi ya kuzamia taaluma zao mbalimbali ipo haja kwa vijana kujifundisha kazi mbalimbali za mikono. Hatua hii itawapa njia mbadala za kujipatia riziki hasa ikizingatiwa mabadiliko ya mara kwa mara katika mfumo wa maisha. Ukiona vyae... | 1989 Kitito alijiunga na chuo kikuu kipi | Moi | 10 |
0282_swa_4 | 0282_swa | Dkt Khalid Omar Mohammed Kitito-mwalimu, mwandishi, mhadhiri na mtafiti wa Kiswahili. zaidi ya kuzamia taaluma zao mbalimbali ipo haja kwa vijana kujifundisha kazi mbalimbali za mikono. Hatua hii itawapa njia mbadala za kujipatia riziki hasa ikizingatiwa mabadiliko ya mara kwa mara katika mfumo wa maisha. Ukiona vyae... | Mohamed na Onyango walimtia Kitito nini | Hamasa | 11 |
0282_swa_5 | 0282_swa | Dkt Khalid Omar Mohammed Kitito-mwalimu, mwandishi, mhadhiri na mtafiti wa Kiswahili. zaidi ya kuzamia taaluma zao mbalimbali ipo haja kwa vijana kujifundisha kazi mbalimbali za mikono. Hatua hii itawapa njia mbadala za kujipatia riziki hasa ikizingatiwa mabadiliko ya mara kwa mara katika mfumo wa maisha. Ukiona vyae... | Ni kazi zipi zitawapa vijana njia mbadala ya kujipatia riziki | Mikono | 1 |
0282_swa_6 | 0282_swa | Dkt Khalid Omar Mohammed Kitito-mwalimu, mwandishi, mhadhiri na mtafiti wa Kiswahili. zaidi ya kuzamia taaluma zao mbalimbali ipo haja kwa vijana kujifundisha kazi mbalimbali za mikono. Hatua hii itawapa njia mbadala za kujipatia riziki hasa ikizingatiwa mabadiliko ya mara kwa mara katika mfumo wa maisha. Ukiona vyae... | Usidhubutu kujenga nini kwa siku moja baada ya kudodoshwa mate na kasri la jirani | Nyumba | 4 |
0282_swa_7 | 0282_swa | Dkt Khalid Omar Mohammed Kitito-mwalimu, mwandishi, mhadhiri na mtafiti wa Kiswahili. zaidi ya kuzamia taaluma zao mbalimbali ipo haja kwa vijana kujifundisha kazi mbalimbali za mikono. Hatua hii itawapa njia mbadala za kujipatia riziki hasa ikizingatiwa mabadiliko ya mara kwa mara katika mfumo wa maisha. Ukiona vyae... | Ni nani alizaliwa mnamo waka wa 1969 katika mtaa wa Floringi | Kizito | 5 |
0282_swa_8 | 0282_swa | Dkt Khalid Omar Mohammed Kitito-mwalimu, mwandishi, mhadhiri na mtafiti wa Kiswahili. zaidi ya kuzamia taaluma zao mbalimbali ipo haja kwa vijana kujifundisha kazi mbalimbali za mikono. Hatua hii itawapa njia mbadala za kujipatia riziki hasa ikizingatiwa mabadiliko ya mara kwa mara katika mfumo wa maisha. Ukiona vyae... | Kizito alianza masomo yake ya chekechea katika shule ya msingi ipi | Tononoka | 6 |
0282_swa_9 | 0282_swa | Dkt Khalid Omar Mohammed Kitito-mwalimu, mwandishi, mhadhiri na mtafiti wa Kiswahili. zaidi ya kuzamia taaluma zao mbalimbali ipo haja kwa vijana kujifundisha kazi mbalimbali za mikono. Hatua hii itawapa njia mbadala za kujipatia riziki hasa ikizingatiwa mabadiliko ya mara kwa mara katika mfumo wa maisha. Ukiona vyae... | Kizito alijiunga na chuo kikuu kipi mnamo mwaka wa 1989 | Moi | 9 |
2312_swa_0 | 2312_swa | Mke-mwenza mwenye wivu Hapo kale kulikuwa na wake wenza wawili. Waliishi katika nyumba moja na mume wao. Kwa muda mrefu hakuna mke aliyejaliwa kupata watoto. Hatimaye, mke wa kwanza alishika mimba. Alipojifungua mtoto, mume wao hakuwa nyumbani. Mke wa pili aliwaonea wivu mke wa kwanza na mtoto wake. Alian... | Wake wenza walikuwa wangapi | Wawili | x |
2312_swa_1 | 2312_swa | Mke-mwenza mwenye wivu Hapo kale kulikuwa na wake wenza wawili. Waliishi katika nyumba moja na mume wao. Kwa muda mrefu hakuna mke aliyejaliwa kupata watoto. Hatimaye, mke wa kwanza alishika mimba. Alipojifungua mtoto, mume wao hakuwa nyumbani. Mke wa pili aliwaonea wivu mke wa kwanza na mtoto wake. Alian... | Mke wake wa kwanza alijifungua nini | mtoto | x |
2312_swa_2 | 2312_swa | Mke-mwenza mwenye wivu Hapo kale kulikuwa na wake wenza wawili. Waliishi katika nyumba moja na mume wao. Kwa muda mrefu hakuna mke aliyejaliwa kupata watoto. Hatimaye, mke wa kwanza alishika mimba. Alipojifungua mtoto, mume wao hakuwa nyumbani. Mke wa pili aliwaonea wivu mke wa kwanza na mtoto wake. Alian... | Mke wa pili alimuwazia nini mke mwenza | Kifo | x |
2312_swa_3 | 2312_swa | Mke-mwenza mwenye wivu Hapo kale kulikuwa na wake wenza wawili. Waliishi katika nyumba moja na mume wao. Kwa muda mrefu hakuna mke aliyejaliwa kupata watoto. Hatimaye, mke wa kwanza alishika mimba. Alipojifungua mtoto, mume wao hakuwa nyumbani. Mke wa pili aliwaonea wivu mke wa kwanza na mtoto wake. Alian... | Zamani watu walikula vyakula namna gani | mbichi | x |
2312_swa_4 | 2312_swa | Mke-mwenza mwenye wivu Hapo kale kulikuwa na wake wenza wawili. Waliishi katika nyumba moja na mume wao. Kwa muda mrefu hakuna mke aliyejaliwa kupata watoto. Hatimaye, mke wa kwanza alishika mimba. Alipojifungua mtoto, mume wao hakuwa nyumbani. Mke wa pili aliwaonea wivu mke wa kwanza na mtoto wake. Alian... | Kwa nini mke wa pili alimuwazia kifo | Ili abaki mke wa pekee | x |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.